nyumba

  1. Akopea nyumba ya jirani Milioni 200 kwa Hati Feki. Malalamiko yalifika hadi Ikulu danadana nyingi

    Mtu mmoja ambaye ametajwa kwa jina la Mkwabi Nyanda akishirikiana na Mkewe wanadaiwa kugushi nyaraka za hati ya nyumba ya Jirani yao eneo la Kinondoni Jijini Dar es salaam na kutumia hati feki kukopea benki Jijini Arusha Tsh. milioni 150 mwaka 2016 na kisha milioni 200 mwaka 2017 na kupelekea...
  2. B

    Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba - Ep 2

    Nawasalim kwa jina la jmt... Nilileta thread hapa kuomba ushauri kuhusiana na mama mwenye wangu kunipa wakati mgumu sasa hali naona ndo inazidi kuwa mbaya yani kama moto ndo kama umemwagia petrol kibaya zaidi kashapata na namba yangu baasi ma msg kila nishamuonya suala kunitafuta mimi siitaki...
  3. Kwa nini nyumba za watu wa imani hazina sehemu za ibada?

    Watu wa imani sala ndio kila kitu. Yaani wakati wasio na imani wanajisifia nyumba ni choo, wao wanatakiwa kusema nyumba ni chumba cha sala. Watu wengi wa kipato cha kati wakifikilia kujenga, ramani ni masterbedroom, chumba cha vijana wa kike, cha vijana wa kiume, choo cha ndani, sebule na...
  4. Nyumba ya Vyumba 3 inapangishwa - Nkuhungu, Dodoma (bila dalali)

    Nyumba ya vyumba vitatu. Ina store ya jikoni, ina dining area. Ipo kwenye compound yenye nyumba mbili, ila nyumba hii inajitegemea kila kitu - Umeme, na Maji. Pia kuna heater za maji ya moto. Hakuna udalali. Kodi 350,000/= (napokea ya miezi minne, tano au sita), kama unalipa ya miezi 8...
  5. B

    Msiandike mikataba ya ununuzi wa nyumba/ viwanja mahakamani, mahakimu hawaruhusiwi kufanya hivyo

    MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO. Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike mikataba yenu ya ununuzi wa nyumba/ viwanja Mahakamani kwani inakatazwa. Huwa mnaamini kwamba ukinunua...
  6. House4Sale Nyumba inauzwa Chanika

    Nyumba iko Chanika, Talian. Ina vyumba vitatu tayari vimesimama, sebule na dining bado. Msingi umeinuliwa wote. Karibu bei ni kitongq inaanzia milion 10 tu. Mwenyewe anarudisha gharama tu za ujenzi ana shida.
  7. Utata kwenye nyumba tuliyopanga

    kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ndugu zangu kuna mpangaji mwenzangu naona kabisa sio mtu mzuri kwanza anazungumza sana kuhusu uganga na mambo ya kuogofya kwenye simu tena kwa kupayuka kingene pindi ana hamia alikuja na vidada viwili miaka 17 na 18 tukajua ni nduguze ila sio nduguze kumbe...
  8. Nyumba inaitajika

    Nahitaji Nyumba ya kununua ofa ni milioni 10 Lazima iwe ndani ya mkoa wa Dar. Maeneo ya Bondeni ❌ Piga simu usitume sms 0749979776
  9. Teknolojia mpya ya 3D kuchapa nyumba

    Dunia imeingia kwenye teknolojia mpya ya kuchapa nyumba badala ya kujenga, teknolojia hii inaitwa 3D HOUSE PRINTING, badala ya kujenga sasa unatumia printa inafanya kazi kama printa ya kawaida japo yenyewe wino wake ni kama zege! Hii mashine inamwaga zege kwa kuzunguruka kufuatana na ramani ya...
  10. H

    Napata wapi ramani ya kujenga nyumba?

    Nyumba ya vyumba vitatu
  11. Umewahi kufukuzwa na mwenye nyumba wako?

    Je umewahi kufukuzwa na mwenye nyumba wako na kwanini?
  12. Waziri wa Ardhi azuia mchakato wa kutaka kubomoa nyumba zaidi ya 100 zilizopo Mapinga

    Baada ya Mdau kuelezea kuhusu mchakato wa kubomoa nyumba zaidi ya 100 zilizopo Mapinga Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani, Serikali imechukua hatua ya kusitisha mchakato huo, malalamiko ya awali soma hapa ~ Nyumba zaidi ya 400 za Mapinga (Bagamoyo) kuwekewa X ili zivunjwe kuna harufu yenye shaka...
  13. A

    Michango ya ujenzi wa nyumba za ibada idhibitiwe!

    Unakutana na kundi la vijana wamevaa kanzu na kobazi wanakutaka uchangie ujenzi wa nyumba ya ibada huku mkononi kabeba karatasi yenye majina. NB: Hawana utambulisho wowote
  14. Kuna ubaya kuuza nyumba ya urithi ili hali marehemu enzi za uhai wake alikataa

    Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
  15. Vipi huko kwenye nyumba za kupanga hivi ratiba za usafi zinafuatwa?

    Kwenye nyumba nyingi kuna ratiba ya kufanya usafi kama vile usafi wa chooni ,kufagia uwanja n.k sasa vipi wewe uliko panga je utarabu huo upo na unafuatwa kama ulivyopangwa,share nasi hapa
  16. Ughaibuni kuna majini wengi majumbani kupelekea nyumba nyingi kutelekezwa

    Ushawahi kujiuliza nchi ughaibuni kuna vituko vingi vya majini kuliko mikasa ya hapa. Na rafiki yangu ni mganga ambaye hupata safari nyingi nchi za kiarabu kwa ajili ya kwenda kupambana nayo. Unaambiwa alifika Oman ile nyumba walikuwa wana naswa vibao sana na hawafahamu ni nani na kila mtaalamu...
  17. A

    KERO Wakazi wa Malela, Tuangoma (Kigamboni) tunaishi kwa mashaka sasa

    Kwanini kipindi chote raia wanajenga Nssf isiwastopishe? Mmeacha mpaka watu wamemaliza ujenzi na kuamia katika makazi yao alafu leo hii nyumba zote zimewekwa X-Bomoa! Muda wote mlikuwa wapi kuzuia watu wasijenge kwenye hayo maeneo? Naomba serikali iangalie kwa jicho la pekee wananchi wake...
  18. W

    Wakala wa rangi za nyumba (plascon)

    Habari karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira Karibu sana mawasiliano 0789 026 963 calls & Sms Whatsapp 0715 128 827
  19. House4Sale Nyumba inauzwa, ipo Michamvi, Zanzibar

    Location: Michamvi, Unguja, Zanzibar karibu na Karafuu Hotel Price: 33,000,000/= Tshs Contact: +255742004658 (WhatsApp only) •Ina vyumba viwili na vyote ni self-contained •Sebule •Dining room •Jiko •Kifusi ndani kishajazwa •Shimo la choo tayari limechimbwa
  20. Jamaa alibadili boeing kuwa nyumba ya kuishi

    Anaitwa Campbell huko Oregon nyumba hiyo akawa anaishi kuanzia mwaka 1999 na kama una event yako unaweza kukodisha.. Nzuri Sana tazama picha zake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…