nyumba

  1. Nyumba inauzwa Kigamboni

    Nyumba inauzwa ipo Kigamboni Kiwanja sqm 899 Ina vyumba 5 vya kulala Viwil (2) master Nyumba ina fensi yote Bei Milion 120 Top. Full Document hakuna mgogoro wowote Nipigie simu Kwa ukaguzi📱0754693556
  2. Jiwe la Kumbukumbu la Nyumba Aliyolala Mwalimu Nyerere Ujiji 1954 Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/zZS4uioW6_g
  3. G

    Viongozi Kuanzia Rais Hadi madiwani wanapaswa kwanza kushukuru wananchi Kwa kuwalipa mishahara posho, magari, nyumba pensheni na Bado kuna wizi

    Ni kiwango kikubwa sana Cha ujinga maboss kuanza kuwashukiru waajiri wao waliowajiri Cha ajabu hao maboss hawaambulii chochote Cha kwao binafsi ila wanawalipa waajiri wao Kwa wakati Kila mwisho wa mwenzi bila kukosa . HIki kiwango Cha juu Cha ujinga Kwa wananchi kuwashukiru kwanza waajiri wao...
  4. IPE NYUMBA YAKO MUONEKANO WA KISASA KWA LANDSCAPE KALI KUTOKA KWETU 0624004650

    IPE NYUMBA YAKO MUONEKANO WA KISASA KWA LANDSCAPE KALI KUTOKA KWETU 0624004650 HAPA TUMEHUSIKA FROM DESIGN IDEAS PERGOLA AND OUTDOOR LOUNGE POOL CONSTRUCTION TUPIGIE UPATE KAZI BORA
  5. Kiwanja nyumba kinauzwa Goba Kwa Olomi

    Namtaka bingwa wa kuona Mbali. Mwenye macho ya Eagle 🦅 Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa Goba Kwa Olomi. Hizo nyumba mbili unazoziona. Moja ina Rangi ya light blue na nyingine imeezekwa Kwa bati ya Rangi ya maruni zipo ndani ya kiwanja. Sqm 629.78 Hati Safi Hakuna mgogoro Dakika moja Hadi...
  6. Nyumba ya ghorofa (apartment) inauzwa – Upanga 🏢

    📍 Eneo: Upanga 🏠 Aina: Apartment (Floor ya Kwanza) 🚫 Jengo halina lift ✨ MAELEZO YA NYUMBA: ✔️ Vyumba 3 vya kulala ✔️ Master Bedroom 1 ✔️ Sebule kubwa ✔️ Jiko ✔️ Inafaa kwa matumizi ya Makazi au Biashara 💰 BEI: 👉 Tsh 300,000,000 (Bei ni FIXED) 📞 MAWASILIANO: 0784 225 000 📌 Wasiliana nasi kwa...
  7. Wanaostaafu sasa wanapewa Nyumba?

    Wakati CHADEMA inapinga uuzwaji wa nyumba za Serikali Kwa hoja kuwa sababu zilizotolewa kwa nini nyumba zile ziliuzwa zilikuwa za uongo, watu wengi hawakuelewa. CCM walisema zoezi la kujenga na kuwauzia nyumba watumishi wa Serikali litakuwa endelevu. CCM watuambie wafanyakazi wa umma...
  8. Nyumba inauzwa Mbezi Malamba Mawili sqm 800

    Uwekezaji mzuri huu. NYUMBA SAFI 2 ZOTE KWA PAMOJA ZINAUZWA MBEZI MALAMBA MAWILI NJIA YA KUELEKEA TABATA KINYEREZI NA KUENDELEA. BEI: 260 MILLION MAONGEZI YAPO BOSS. LOCATION MBEZI MALAMBA MAWILI NYUMBA IMEGUSA LAMI PIA KUNA FREM MBILI NJE ZA BIASHARA KILA FREM MOJA KODI LAKI MBILI KILA...
  9. Nyumba inauzwa Goba Majengo Sqm 844

    Nyumba nzuri saana. Nyumba nzuri ya Kisasa Inauzwa milioni 190 maongezi yapo. IPO GOBA MAJENGO - Dar es salaam - Tanzania Ina Vyumba Vinne vya Kulala Vyumba viwili ni self Conteinard Stady room Master Bedroom Sitting room Dining room Kitchen Store Public toilet Ukubwa wa kiwanja: sqmt 844...
  10. R

    Mwekezaji abaomoa nyumba ya Mzee wa miaka 90, familia yalala nje

    Familia ya Mzee wa Mila afahamikae kwa jina la Chacha Wasinyo Changu (90), Mkazi wa Kitongoji cha Mirimisi, kijiji cha Mrito, Wilaya ya Tarime, inalazimika kulala nje kwa siku ya 5 mfululizo baada ya makazi yao kubomolewa. Tukio hilo linadaiwa kufanywa na Samweli Ngocho, Mkazi wa Kijiji cha...
  11. M

    Siku nilioyomuona mama anauza dhahabu zake ilikuwa ni kunusuru nyumba isiuzwe, baada ya miezi 6 walirudi, hakukuwa na cha kuwapooza nyumba ikauzwa

    Zilikuwa ni pete, bangili, hereni na cheni. Watu walikuwa wajia mara nyingi kumuulizia mama wakiwa wameshika bahasha zenye nyaraka. Kuna siku mama alichukua vito vyake vya dhahabu, sikuwahi kuviona tena na tuliishi bila usumbufu kwa miezi sita. Baada ya hapo wale watu wanaobebea nyaraka...
  12. Hii inamaanisha nini, BUNDI kukaa nje ya Nyumba zaidi ya Mwezi kila Usiku na haondoki?

    Wakuu wa Jukwaa, leo na mimi nina swali ambalo linakua linanitatiza sana kichwani kwangu kwa muda kidogo sasa. Nimekua napitia hali ya kujiuliza maswali mengi sana juu ya kiumbe hiki kinachoitwa BUNDI. Bundi ni ndege mwenye sifa kede wa kede. Sitaki kuzungumzia sifa za ndege huyu, leo nimeona...
  13. Nyumba Inauzwa Bahari Beach Simba/Mugeta st

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  14. Ushauri: Rangi ya kupaka ndani ya nyumba

    Salama wakuu. Naombeni idea ya rangi nzuri ya kupaka ndani ya nyumba. Nimejaribu kuperuzi rangi nyingi mbali mbali nimeshindwa kufika muafaka. Ni rangi gani nzuri ikipakwa ndani panakaa murua. Nategemea kutumia kampuni ya plascon.
  15. A

    Wakazi wa maji chumvi walia na uchimbaji haramu wa mchanga unaotishia kuangusha nyumba zao

    Wakazi wa Majichumvi Mtaa wa Tembomgwaza-Kimanga, wilayani Ilala jijini Dar wamefunua vinywa vyao kulalamikia uchimbaji haramu wa mchanga pembeni ya Mto Luhanga unaofanywa na vijana, hivyo kusababisha mmomonyoko unaohatarisha kuanguka kwa nyumba zao. Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa eneo hilo...
  16. Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  17. Hivi inakuwaje mtu anauziwa kiwanja/ nyumba bondeni ambako hata bajaji haiingii. Ni matatizo ya akili?

    Dar es salaam ukifika huko mbezi juu kuna mahali mtu kajenga nyumba tena zingine za gharama lakini hawezi kuingia nyumbani kwake na gari . Wengine ni pabaya mno hata pikipiki haiingii. Sasa unajiuliza huyu mtu kichwani zipo timamu kweli? Huko Keko nako nimekaa aisee asubuhi mpaka jioni ni kunusa...
  18. Njombe: Mvua na upepo mkali vyabomoa na kuezua nyumba tano Makambako

    Soma pia: Bukoba: Zaidi ya nyumba 300 zazingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha Mvua yabomoa, kuezua mabati kwenye nyumba tano huko Makambako mkoani NjombeNyumba tano zilizopo Mtaa wa Idofi, Kata ya Mlowa mjini Makambako mkoani Njombe zimeharibiwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na...
  19. R

    Bobi Wine asema nyumba yake imewekwa chini ya Ulinzi na Jeshi baada ya kutishiwa kuuawa na Jenerali Muhoozi

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, amesema kuwa nyumba yake imewekwa chini ya udhibiti wa kijeshi huku Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, akimtishia kumuua na kutoa agizo la saa 48 ajisalimishe. Bobi Wine amesema wanajeshi bado wamepiga kambi ndani ya nyumba...
  20. Confirmed, Nyumba ya Stevin Wassira ilichomwa moto kwenye MO29

    Mzee wasira alikua na mdomo aswaaa, kwenye kampeini alikuwa anaongea Kwa dharau, kebehi na majivuno. Mungu si Abdul Wala Mchengerwa kwenye MO29, vijana walipiga kiberiti nyumba ya Wasirra. Hii habari nilileta humu watu wakabisha Leo Mzee Butiku amedhibitisha kuwa nyumba ya Wassira ilipigwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…