nyumba

  1. Meya Kinondoni: Wamiliki wa Swimming kwenye hoteli na nyumba binafsi watalipa laki 1 ya Usajili na 50, 000 kila baada ya miezi 6

    Akizungumza katika mahojiano na Millard Ayo Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge, ameendelea kushikilia msimamo wa kutoza ushuru na ada ya usajili kwenye Swimming Pools usajili huo utahusu mabwawa yaliyopo katika maeneo mbalimbali yakiwemo mahoteli, shule, na nyumba binafsi. Utaratibu...
  2. Achukuliwa nyumba kisa kumdhamini rafiki mkopo

    #HABARI Mwanamke mmoja jijini Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina Gift Mtanda, amekumbwa na mkasa mkubwa baada ya nyumba yake kupigwa mnada kufuatia mkopo wa benki alioudhamini kwa rafiki wa familia. Inadaiwa kuwa nyumba hiyo iliwekwa dhamana benki ili kumsaidia rafiki huyo kupata mkopo...
  3. Nyumba yenye vyumba 6 inahitaji tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi?

    Jamaniiiiii habari za asubuhi! Kuna fundi anaeweza kunisaidia kukadiriae...? Nikitaka kujenga nyumba yenye vyumba 6 .. nahitaji kutumia tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi? Na bati ngapi?
  4. Angalieni hii ramani ya nyumba alafu mnishauri kitu

    Ndugu Je hii ramani inaenea kwenye eneo la aquare mita 150 na kubakiza sehemu ya kupaki kagari na kuanika nguo.... Naombeni mawazo yenu ikibidi sana naombeni na vipimo Mimi nilikuwa na waza icheze kwenye square mita 72 au 81 square meter... Naombeni mawazo yenu na vipimo vizuri kadiri muwezavyo
  5. Si busara kuchanganya nyumba ya makazi binafsi na ya wapangaji

    Uamuzi wa kutokuchanganya nyumba yako ya kuishi binafsi na nyumba za wapangaji kwenye kiwanja kimoja ni mada yenye mashiko sana kwa wataalamu wa ujenzi na uwekezaji. Ingawa wengi hufanya hivi ili "kusogeza kodi karibu," kuna changamoto nyingi za kijamii na kiuchumi zinazoweza kujitokeza. Hizi...
  6. Bundi kwenye Paa la Nyumba Yangu na hataki kuondoka

    Leo wakati nakwenda kazini nilimwona ndege huyu kwenye sehemu ya paa langu hivi; asubuhi tulikuwa na snow kidogo. Niliporudi nyumbani baada ya kazi saa 10 jioni nilimkuta bado yupo ila nilipofungilia geti, ule mlio wa geti ukamshtua akarukia juu ya paa kuu kama inayoonekana hapa huku akiacha...
  7. Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  8. House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Maramba Mawili

    INASIFA ZIFUATAZO; Room 3 moja Master, sitting Room, Kitchen,Daining room, Store, public toilet, na jiko, Baraza mbele na nyuma. Ukubwa wa eneo lake ni sqm 380 tu. Maji Dawasa tayari tumevuta yapo Umeme ni kushusha nguzo ipo uwanjani Nyumba ipo mbezi Maramba mchikichini. Kutoka Zinapoishia...
  9. M

    Uchawi wa kupeperushwa unaosahaulisha mtu kuhamia nyumba iliyokamilika, kusahau kiwanja, kuhesabu mzigo wa dukani, kusahau deni, n.k

    watu hurogana kwa aina nyingi za uchawi ila kuna huu uchawi mwengine ambao wengi hamjawahi kuusikia KUPEPERUSHWA - Ni uchawi wa kumsahaulisha mtu asifuatilie mali zake Baadhi ywa watu wanapojenga nyumba zao huwa wanaweka watu wengine kuwa walinzi wa nyumba zao , lakini ujenzi ukikamilika...
  10. Nyumba inapangishwa Mbezi Maramba

    Nyumba inapangishwa Mbezi maramba Unashuka Kituo cha Makuti Ni Chumba master na sebule na jiko Kutoka lami Mpaka nyumba ilipo unatembea kwa miguu dk 8 Kodi 100,000 x miezi 6 Umeme unajitegemea pekee yako Mtakua Wapangaji 2 tu,Mwenye nyumba hakai hapo 0675 065906 Utanipoza kidogo ya udalali
  11. Ssebo hakujenga nyumba Dar?

    Nimeshangaa msiba kuwekwa kwa wakili msomi mwingine badala ya Nyumbani kwake. Hii imekaaje Wadau? Au mambo ya apartment kama Le Mutuz?
  12. Nauza nyumba bei 14M Vikindu

    NAUZA NYUMBA SIFA ZA NYUMBA 1: Ina vyumba viwili vyote master na sitting room 2: Ina umeme 3: Ina maji ya bomba 4: Ina hati ya serikali ya mtaa 5: Tyres vyumba vyote Gharama ya ukaguzi ni bure Location; Vikindu, kilomita moja na nusu kutoka lami, nauli ya bajaji Tsh 5,00 Ukubwa wa kiwanja...
  13. House4Rent Nyumba inapangishwa Sinza - Kodi TZS 2Million kwa mwezi

    Nyumba ya kupanga Kali sana Ina nyumba viwili vya kulala vyote master Ina sitting room majiko Balcony nyuma na mbele. Full AC Kodi ni miliioni 2 kila mwezi. Nipigie simu Kwa ukaguzi📱0754693556 Note:sitozi services charge mkuu.
  14. Tume mgogoro Ngorongoro: Serikali isitishe ujenzi wa Nyumba kwa ajili ya Wananchi wanaohamia Msomela, Kitwai (B) na Saunyi badala yake wapewe pesa

    Mapendekezo ya Tume ya Rais iliyofanya tathimini kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari, Ngorongoro Eng. Musa Iyombe amesema uamuzi wa Serikali kujenga nyumba kwa wakati huo ulikuwa sahihi hata hivyo imebainika kuwa utekelezaji wake ulikuwa na dosari zinazohitaji kufanyiwa kazi. Tume...
  15. Baada ya kuwauliza Matajiri wakubwa kuhusiana na tuhuma za kutokuhudhuria nyumba za Ibada walinijibu kama ifuatavyo

    Mimi kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya kazi za matajiri wengi sana ikafikia mahali Matajiri wale wakawa wananialika kwenye shuhuli zao Sasa kawaida binadamu kuna wakati tunazungumza mambo mengi Siku moja nikachomeka swala la Ibada Nikawauliza kuwa kuna shutuma kuhusiana na matajiri kuwa...
  16. Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  17. Je, unahitaji taa za kisasa kwa ajili ya Finishing ya Nyumba yako?

    Je, Unahitaji Taa Za kisasa kwaajiki ya Finishing ya Nyumba yako? Luxe Light Craft, tumekuja kwaajili yako. Karibu ujipatie taa bora na za kisasa kutoka kwetu. Tunazo Taa Aina zote! Tunapatikana kariakoo📍 Wasiliana nasi kwa whatsapp namba +255764379293
  18. Waziri Mkuu, Wananchi wa Kipunguni wanalipwa lini pesa zao? Wezi wanavamia nyumba, kumebaki mapori tu

    Mh Waziri Mkuu, Hongera kwa Mungu kukupa nafasi uliyonayo na kazi unayoifanya. Pongezi kubwa kwako. Nianze kutoa malalamiko yangu kuhusu yanayoendelea Kipunguni. Wananchi wa Kipunguni wanakusubiri urudi waje ofisini kupiga magoti. Wanaumizwa na majambazi, wanakufa kwa presha, kisukari na...
  19. Live from Nairobi: Africa Editors Congress, Wahariri wa Africa Kujadili Changamoto za Media, Deo Balile wa TEF na Mkuu Max wa JF Ndani ya Nyumba!.

    Wanabodi, Niko hapa ukumbi wa Aga Khan University, kuwaripotia live, kinachoendelea kwenye huu mkutano ambapo Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile, atawasilisha mada ya Media Sustainability amid Digital Era. Miongoni maw watu muhimu nimewaona hapa, ni Boss wa JF, Mkuu...
  20. Je una chumba, apartment au nyumba inayofaa kwa ajili ya Airbnb? Njoo tushirikiane

    Moja kwa moja kwenye mada. Je una chumba, nyumba au apartment inayofaa kwa Airbnb? Natafuta watu wenye apartment, room au house nzuri ambayo inaweza kufaa kuwa listed kwa Airbnb. Kama una chumba au nyumba ambayo mara nyingi haitumiki au ungependa ipate wageni wa muda mfupi, tunaweza kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…