nyuma

Tom Nyuma (died January 26, 2014) was a Sierra Leonean military commander and the chairman of the Kailahun District council. He was elected as chairman of Kailahun District council on July 6, 2008 with 87% of the vote running on the opposition Sierra Leone People's Party (SLPP) ticket.
Nyuma was born in Kailahun, and was very popular in the Southern and Eastern regions of the country. In March 2012, Nyuma left the SLPP and joined the All People's Congress (APC) of President Ernest Bai Koroma.He was at the rank of Lieutenant Colonel in the Republic of Sierra Leone Armed Forces before he retired. On 29 April 1992, Nyuma was one of the young officers in the Sierra Leonean army who ousted the APC government led by Joseph Saidu Momoh. They established the National Provisional Ruling Council (NPRC) to run the government. During the NPRC administration, Nyuma was the commander of the Eastern Province. He was a member of the Kissi ethnic group and an alum of Ohio State University in Columbus, Ohio U.S.A.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya mwanaume aliefeli?

    Embu tuangalie uhalisia duniani kuna population kubwa ya wanaume masikini zaidi ya wanaume matajiri. Kuna rate kubwa ya wanaume wanaoanguka katika biashara na ajira zaidi ya wanaofanikiwa. If behind every succesfull man there is a woman, then who is behind a failure man? Himself? He get blame...
  2. JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

    Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya. Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu. Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia...
  3. JamiiForums Tanzania Wahitimu msing'ang'anie kuomba kazi bongo pekee hata kama uridhiki na ajira uliyonayo muda haurudi nyuma fursa popote

    Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania ikitokea ukapata nafasi ya kurudisha nyuma muda ukiwa na miaka 20, ni vitu gani usingerudia kuvifanya

    Nilipomaliza form 6 sikujua vizuri cha kwenda kusomea chuoni, Nilisoma kozi nayoipenda bila kulisoma soko la ajira, connections, n.k. Mbaya zaidi nilisoma chuo cha private hakina uzito, isingekuwa shida kama ningepata mkopo ila nikizifikiria milioni 12 za wazazi naumiaga, nimejipata nje kabisa...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Fisi wenye plate number: Ni kwamba Simiyu wapo mbele ya wakati au serikali ipo nyuma ya wakati?

    Tuziite plate number au chapa, kwa vyovyote ni utambulisho wenye mfumo unaoeleweka na wenye kuonesha umiliki. Kama kuna MALLA N7, basi MALLA N1, N2, N3, etc wapo pia, pengine kuna MALLA N2347, nani anajua? Huu mfumo wa utoaji plate number au chapa kwa fisi nani anausimamia? Tumezoea kuona plate...
  6. JamiiForums Tanzania Kabla Simba hajapigwa Zile 5 Kulikua na Trend ya Yanga Kufunga goli 5 kwenye Michezo ya Nyuma yake Msimu huo ni kama Msimu huu tu.

    Mashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili. Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi? Nenden mkajikumbushe games 5 za nyuma za Yanga kabla hajaja kuwapiga Zile 5 alikua anashinda Kwa goli ngapi ngapi...
  7. JamiiForums Tanzania Najihisi kuchoka na haya maisha ila nigerudisha siku nyuma ningefanya hivi.

    Wakuu I'm fed up with life Nimechoka na haya maisha Familia yangu ilikuwa sawa even my kids Ila wamei-block Biashara zangu wame-block Everything is down now. Kwa mtu yeyote anayejijua ni mchapakazi na mtu anayejitambua don't expose ur progress to anybody. hasa familia yako. Maaumzi yangu...
  8. JamiiForums Tanzania Uzuri wa LISSU hatungi, Hotuba zake zote Hurejelea yalosemwa huko nyuma, Suala la Katiba, Tume huru ya uchaguzi lilisemwa na tume ya Jaji Nyalali !

    Yakasemwa na tume ya Jaji Kisanga, yakarudiwa na tume ya Jaji Bomani yakaja kurudiwa zaidi na tume Jaji Warioba.( Hizo ni tume zilizoundwa na wasomi huru sio machawa). Ukweli ni kwamba , wajinga wengi , wasopenda kusoma Wala kufatilia, ambao hata hawajui chochote kuhusu hizi time zote...
  9. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) waingia duru ya pili. Odinga atashinda?

    Raila 21 na mgombea wa djibouti,Mohamed youssef kura 24,ila mambo bado,tusubiri
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini M23 wanazidi kuwa na nguvu kuna nini nyuma yake

    Waasi wa M23 wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ambao wanaungwa mkono na Rwanda wanaripotiwa kuuteka uwanja wa ndege wa kimkakati wa Kavumba karibu na Bukavu, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini. Uwanja huo wa ndege upo takribani kilomita 20 kutoka mji wa Bukavu ambapo wakaazi...
  11. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke Wabunge wa zamani kuanzia 2010 kurudi nyuma

    Ikiwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu, leo nimeona tuwakumbuke wabunge wa zamani na hapa tuanzie mwaka 2010 kurudi nyuma. Mimi naanza na Idd Mohamed Simba, alikuwa mbunge wangu wa Ilala. Endelea…
  12. JamiiForums Tanzania Kama nyuma mwiko na singida zote zingepigwa tungepoteza mtu baraza la mawaziri nusura nyuma mwiko kupata sare!

    Muda huu kungekuwa na msiba mzito kwenye baraza la mawaziri kama nyuma mwiko angefungwa, Naona wanajeshi bado wana mishahara yao wamegomea bahasha na kocha wala hana shobo na nyuma mwiko.....aibu kwa refa aliyepokea bahasha amejitahidi kuongeza dk zake lakini la kuvunda halina ubani refa apewe...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania bila wachaga ingekuwa nyuma sana kimaendeleo

    Habarini! Kama ni mtu uliyezunguka angalau robo tatu ya hii nchi na ukiangalia biashara kubwa kubwa zinazoingiza mapato ya pesa nyingi serkalini basi kama siyo mmiliki ni mchaga basi wachaga hao hao kwa kiasi kikubwa wanachangia kwenye mzunguko wa hyo biashara kwa kufanya manunuzi ya Hali ya...
  14. JamiiForums Tanzania National Interest: Kuna nini nyuma ya pazia na watu hawa, kwanini hawaipendi Tanzania, why? Usalama wetu ni salama kiasi gani?

    Ndugu zangu Umofia kwenu, Tanzania kama ilivyo nchi nyingi duniani ina wahamiaji wasio halali ( nachelea kusema harama kwa kuwa binadamu hawez kuwa haram) Tofauti na nchi nyingine, pengine watu hawa wameachwa wakawa na sauti sana katika jamii yetu, uthibitisho? Matendo na maneno yao.. Hawa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwakua Sasa Damu ya JWTZ imemwaga, Tukirudi Nyuma, tutakua tumewakosea Mashujaa wetu waliofia Vitani , Kagame APIGWE ,DRC alindwe.

    Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja. Kagame apigwe, M23...
  16. JamiiForums Tanzania Ulikuwa mpenzi wa gazeti gani miaka ya nyuma?

    Habarini wakuu! Hakika miaka inakwenda. Miaka ya nyuma, magazeti yalikuwa na mvuto sana kuanzia front pages hadi ndani. Yalikuwepo magazeti mengi sana ila Binafsi nilikuwa mpenzi wa magazeti ya Sani na Kiu. Hao jamaa walikuwa wabunifu sana, kurasa za mbele zilipambwa kwa picha nzuri za mastaa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Wasiomini Mungu Wameongezeka Sana Siku Za hivi Karibuni?

    Wanabodini Habari.. Siku Za hivi Karibuni Hapa Jukwaani Na Hata Mitaani Nimeshuhudia Ongezeko Kunwa La Watu Wasioamini Uwepo Wa Mungu.. Mnadhani Shida Ni Nini? Na Nini Kifanyike Kutukomboa Sisi Na Kizazi Chetu Toka Kwenye Hii Laana?? Je Kuna Motive Behind Ya Hili Swala? Au Waabudu Shetani...
  18. JamiiForums Tanzania Kijana unaishi kwa dadaako huna mbele wala nyuma, unalala dago, halafu unatuvimbia wapangaji!

    Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa tukiamua kumpa hi dogo aniitika kwakujisikia sana. HIVI inakuaje mtu asie na mbele wala nyuma anakua na...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Side mnyamwezi awashauri vigogo wa timu nyuma mwiko kuhamia ligi ya south Africa baada ya kugundua NBC ligi ni dhaifu!

    Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hasa Wasifu wa huyu Mtu aitwae 'Waziri' ninayemuona 24/7 akiwa nyuma ya Rais Samia huku akiwa anasikilizwa na hata Kuogopwa pia?

    Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…