Tom Nyuma (died January 26, 2014) was a Sierra Leonean military commander and the chairman of the Kailahun District council. He was elected as chairman of Kailahun District council on July 6, 2008 with 87% of the vote running on the opposition Sierra Leone People's Party (SLPP) ticket.
Nyuma was born in Kailahun, and was very popular in the Southern and Eastern regions of the country. In March 2012, Nyuma left the SLPP and joined the All People's Congress (APC) of President Ernest Bai Koroma.He was at the rank of Lieutenant Colonel in the Republic of Sierra Leone Armed Forces before he retired. On 29 April 1992, Nyuma was one of the young officers in the Sierra Leonean army who ousted the APC government led by Joseph Saidu Momoh. They established the National Provisional Ruling Council (NPRC) to run the government. During the NPRC administration, Nyuma was the commander of the Eastern Province. He was a member of the Kissi ethnic group and an alum of Ohio State University in Columbus, Ohio U.S.A.
Habari za muda huu Wana JamiiForums!
Leo katika jukwaa letu, nawaletea kumbukumbu safi kabisa ya Zilipendwa, ikiwa ni muendelezo wa makala zetu za kiweledi zinazoangazia nyimbo za zamani zilizoacha alama kubwa barani Afrika. Kwa vijana wa sasa na wahenga wenzangu waliobahatika kuishi zama za...
Habari za wakati huu Wana-JamiiForums (Wana-JF).
Leo katika Jukwaa la Burudani (Entertainment), ningependa tuwajadili magwiji wawili wa muziki wa Soul ambao ni ndugu wa damu, pamoja na uchambuzi wa kina wa wimbo wa kihistoria unaofahamika kama "Piece of My Heart" (ambao kwa mkanganyiko wa...
Wakuu, habari za wakati huu.
Leo naomba tuangalie kidogo upande wa pili wa sarafu wa moja kati ya nyimbo za R&B na Soul zenye mvuto mkubwa zaidi kuwahi kutokea duniani—wimbo "Sexual Healing" wa maestro Marvin Gaye, uliotoka mnamo Oktoba 1982 kwenye albamu ya Midnight Love.
Kinyume na maoni ya...
Hakuna haja yoyote Lissu kuendelea kukaa nyuma ya Nondo hata kama anataka kujitoa kafara kwa ajili ya wengine kama ndio anafikiri hivyo binafsi naiita kafara ya kipuuzi tu.
Huwezi kujitosa kupambania maiti.Watanzania waachwe kama walivyo na maisha waliochagua kuishi.
https://youtu.be/QrXjLBGOxs8?si=b9Zx6K6tVjtfRNhE
🔥 SIMBA, YANGA, GULLIT NA RIJKAARD: KUMBUKUMBU ZA MOHAMED SAID ZISIZOZEEKA!
⚽ Kutoka London na Arsenal hadi Misri mwaka 1988 na historia ya soka la Tanzania!
Miaka inapita, miji inabadilika, lakini kumbukumbu hubaki. Kwa Mohamed Said, soka ni...
Licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na serikali katika kuwekeza na kuboresha sekta ya elimu nchini, hali halisi bado inaonyesha uwepo wa pengo kubwa la miundombinu.
Katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, shule nyingi za msingi na sekondari, zinakabiliwa na changamoto kubwa ya upungufu...
Nchi yetu barabara kuu km za
1. Dsm-Moro-Iringa-Mbeya-Tunduma(T001)
2. Chalinze-Moshi-Arusha-Namanga(T002)
3. Morogoro-Dodoma-singida-Nzega-Shinyanga-Mwanza(T003/T004) zilitakiwa njia ziwe njia 4 magari yasipishane.
Badala yake angalia vipaumbele vya hovyo vya Magufuli;
1. Uwanja wa ndege wa...
Wakuu, habari za majukumu. Hakuna anayeweza kubisha kuwa jukwaa hili la JamiiForums limekuwa kimbilio letu kubwa la kupata habari mbadala ambazo mara nyingi hazipati nafasi kwenye vyombo vikuu vya habari (mainstream media). Hata hivyo, hali ya uhuru wa kutoa maoni na usalama wa wale wanaotafuta...
Nyumba Inauzwa.
-Iko Mita 100 kutoka kituo cha abiria Victoria.
-Iko nyuma ya Tanzanite House na barabara ya Uporoto.
Maelezo;
-Nyumba yenye Sebule, Vyumba viwili kimoja Master bedroom, public toilet, jiko na baraza na baccon, choo cha nje, chumba cha kufulia na chumba cha stoo, CCTV camera...
Nimebahatika kuona maisha ya nchi mbali mbali za afrika ila niseme wazi nchi nyingi za kusini mwa afrika kuanzia kenya, Uganda na Tanzania kushuka chini mpaka south africa wana maisha mazuri ukiondoa malawi kidogo. ila balaa lipo nchi za afrika ya kati na magharibi.
Nchi kama Cameroon ni nchi...
Dotto Magari pamoja na kuwa mtu mjinga na chawa mkubwa wa CCM na Samia ila katika suala la ushoga ana msimamo sahihi kwa 99% kuliko Watanzania wengi hata wale wenye digrii tatu.
Tatizo upande wa Dudubaya ndio una watu wengi Tanzania ukiwaunganisha hadi CHADEMA na CCM, watawala na watawaliwa...
Asubuhi hii tu nimeona bodaboda Tano (zimebeba mishikaki) zote zimewaweka wanawake nyuma, yaani ule mfumo wa mwanaume, mwanaume, mwanamke.
Enzi zetu mwanaume lazima akae nyuma ya mwanamke, siku hizi ku nani wakuu?
Monetary doctor.
Wakuu wa jukwaa hili, natumai mko salama.
Kuna jambo zito la kiutamaduni na kifamilia limenileta mezani leo kutoka kwa rafiki myangu wa karibu sana wa kiume. Kijana yuko hatua za mwisho za kwenda kutoa mahari na kuoa, lakini amegundua mchanganyiko fulani kwenye familia ya binti unaomnyima...
Habari da Mai, huyo kaka alie muua mkewe Iko hivi, huyo kaka alienda kupiga akabainika na saratani ya utumbo, baada ya kumjuza mkewe ndio likaibuka sakata la kubadili hati ya nyumba, kumbuka hapo jamaa haja jua hata anatibiwaje mke kesha anza kabadili hati ya nyumba Ina mana alikua kesha jua...
1: Uchawi na ushirikina
2: Madeni yasioisha
3: Wadada wenye makebo makubwa
4: Pombe, beer, spirits, matapu tapu
5: Tabia na hurka zako binafsi
6: Fitina na Kufanyiziwa
7: Kipato kidogo
8: Matumizi makubwa na wategemezi wengi
9: Hauna ajira au kutokuwa na ajita ya kuaminika
10: Uraibu wa...
Je, kuna mtu ana uhakika kama ni halisi? Vipi kama ile Connection ni Ai(Akili kinemba).?
Kama ni kweli, kwanini anakosa umakini vitani? Ataficha wapi sura yake?🙈🙈🙈
Tatu: kama kweli Polisi walimshikilia Mbunge wa CCM Mariam Ditopile kwa wiki mbili kwa kinachodaiwa ni tuhuma za kwamba alihusika...
Wana-Jamii Forums salamu,
Kama mnavyofahamu, nchi imeshuhudia taharuki na usumbufu mkubwa kufuatia mgomo wa ghafla wa madereva wa mabasi ya mikoani na malori unaopinga utekelezaji wa mfumo mpya wa Jeshi la Polisi wa kukata pointi kwenye leseni za udereva kila wanapofanya makosa.
Binafsi...
Mama Dr Samia suluhu Hassano, nina tumah u mzima wa Afya, na umemaliza Eda ya kifo cha mumeo salama salimini.
Nina uhakika mwenyezi Mungu Baba Wa Mbinguni atakuwa amepokea dua zako ulizokuwa unamwombea Mumeo.
Dr Samia suluhu Hassani mimi ni mtanganyika, mkazi wa kanyigo, jumapili ya leo...
Ningependa kutoa mrejesho kuhusu thread ya malalamiko niliyowasilisha hapo awali kuhusu kutolipwa fedha za kujikimu kwa watumishi wa Halmashauri ya Mufindi, Mkoa wa Iringa.
Soma: Mufindi: Watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu...
Anonymous
Thread
fedha
fedha za kujikimu
halmashauri
hapo
iringa
kuhusu
kujikimu
nyuma
thread
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.