Rafiki yangu mpendwa,
Bill Gates ajaye hataanzisha Microsoft.
Mark Zuckerberg ajaye hataanzisha Facebook.
Elon Musk ajaye hataanzisha Tesla.
Na Bakhresa ajaye hataanzisha Azam.
Lakini ni vitu gani ambavyo watu wapo ‘bize’ kufanya?
Kuiga wale waliofanikiwa, kufanya kama walivyofanya wao wakiona...