nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Nipo katika wakati mgumu sana. Nimejaribu namna nyingi bado sijapatiwa Ufumbuzi

    Jumamosi nlikuwa na wife tunaenda Bagamoyo kutembea. Tukiwa njiani nilijikuta namsimulia wife habari ya mchepuko wangu ambaye kwa kweli ananisumbua sana kichwa. Amenichanganya sana. Tulikuwa tunazungumza tu mambo ya maisha na wanawake nikamwambia wanawake wa siku hizi pesa mbele. Hawana hata...
  2. Hispania: Waziri Edelmira Barreira amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa mara nyingi Zaidi.

    Hahahah! Make hapa kwanza ncheke, basi bwana sijui niseme ni jambo la kushangaza au nikawaida huko Uhispania bwana wameanzisha kampeni ya kuhamasisha watu wafanye tendo la ndoa kardi uwezavyo. Edelmira Barreira ambae amechaguliwa kuwa Waziri wa Wizara ya kuhamasisha watu kushiriki tendo la ndoa...
  3. Ambao hawakumtaka kwenye chama chake huenda walimjua vizuri kuliko sisi

    Kuna tetesi nyingi baada ya msiba wa baba, baba wadogo na marafiki wa baba waliweka vikao vya siri. Wakipinga katakata mama asiwe msimamizi wa mirathi. Wakisisitiza uwezo wake ni mdogo kuongoza nyumba kubwa yenye watoto watukutu. Ila wajomba wakongwe walimkingia kifua. Wakiamini kuwa baba...
  4. Je, hali ya ofisi nyingi na makampuni mengi kutaka interns na volunteers ni jambo sahihi?

    Siku hizi kumeibuka tabia ya mashirika na makampuni binafsi na ya serikali kupenda ma intern/volunteer/wa kujitolea kwa sana. Je, ni jambo jema? Wengine hawalipwi kabisa, wengine wanalipwa kidogo. Pia wanatoa ahadi hewa za kukupa ujuzi au kukupa mkataba ambao hautaupata bila connection. NB...
  5. Zipo sababu nyingi sana za kusema hili taifa ni la ovyo, moja wapo ni michakato ya ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira

    Taifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara! Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini? Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa? Hili li taasisi...
  6. Tujikumbushe wachezaji waliosajiliwa pesa nyingi kisha wakaflop

    Mimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea. Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?
  7. Dawa inapenya mtulie: Mara Hamuwezi kumsajili Aziz Ki, mara zile picha ni feki. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili kwa Pesa nyingi

    Mara Hamuwezi kumsajili,,Mara Zile Picha ni feki, mara Fyoko Fyoko. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili Kwa Pesa nyingi, Kwani Pesa zenu au za Shangazi zenu? Kinawauma nini hata tukimsajili bure au kwa Mamilioni?
  8. Ndoto zimekuwa na nafasi muhimu katika maisha ya watu. Njoo nikutafsirie ndoto yako

    Usipuuzie ndoto, tafsiri ya ndoto huleta maarifa ya kina kunako ujumbe husika. Ndoto ni jambo la kushangaza ambalo hufanyika na kutokea majira ya usiku na huwa ina maana ya ndani zaidi nyuma ya uzoefu huu wa ulimwengu wa kawaida. Ndoto ni hifadhi ya ujuzi na uzoefu, lakini mara nyingi hupuuzwa...
  9. M

    Mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika sababu wanawake wamesahau kuwa mwanaume ameumbwa kuheshimiwa

    Heshima ya kila namna anahitaji mwanaume. Kuanzia kupikiwa na kuandaliwa chakula mpaka kupewa unyumba. Mwanaume anataka heshima. Sio dharau na kiburi kwa namna yoyote. Ndio maana mahusiano na ndoa nyingi zinavunjika.
  10. Waziri Ummy Mwalimu: Tunafanya mapitio ya vigezo vya polyclinics, nyingi ni vichochoro vya wizi dhidi ya NHIF

    Na Englibert Kayombo WAF – Dar Es Salaam. Serikali imesema haikusudii kufuta Kliniki za Kibingwa (Polyclinics) zilizopo nchini bali inapitia vigezo vya kuwa na Polyclinics ambazo hivi karibuni zimeibuka kliniki nyingi ambazo zimekuwa ni vichochoro vya udanganyifu dhidi ya Mfuko wa Taifa wa...
  11. Hivi ni kweli bara la Afrika lina rasilimali nyingi?

    Nimesikia watu wakisema bara la Africa Lina utajiri mkubwa wa rasilimali. Cha kushangaza ktk somasoma yangu naona kama hatumo kivile. Kwenye mafuta middle east, Canada, Russia, USA, Venezuela wanatamba. Kwenye gas ni haohao. Madini ya chuma naona china, Iran, Chile, USA wanatamba. Kwenye rare...
  12. M

    Sisi wenye 'Testasterone' nyingi tunaonekana wahuni, mtusamehe bure

    Unakuta mtu anajisifu kuwa yeye hapendi mademu kumbe ana kiwango kidogo cha testasteron mwilini. Sisi wenye kiwango cha juu cha testasteron tunaonekana wahuni kisa tuna michepuko mingi. Mtusamehe sio sisi bali ni hormone zimezidi hatuna jinsi zaidi ya kupeleka moto kwa hawa viumbe. Kama una...
  13. Kulipa BIMA kidigital kumeondoa Kanjanja wengi Mitaani. Ofisi nyingi zimefungwa na Mabango yameondolewa

    Wana Jf Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja huku ukilipishwa kitu hewa ilimradi tu umepewa stika trafiki asikubuguzi huku waliomba Mungu usipate...
  14. L

    Makundi yanayopinga nchi nyingine hayafuati utaratibu wa pande nyingi

    Kundi la Nchi Saba (G7)na Jumuiya ya Mkataba wa Atlantiki ya Kaskazini (NATO) hivi karibuni kwa nyakati tofauti vitafanya mikutano ya kilele. Nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani zinachukulia makundi hayo mawili kama majukwaa ya kupinga nchi nyingine, kitendo kinachokwenda kinyume na...
  15. Kumbe tunauza zaidi Kenya kuliko wao wanavyouza kwetu! Ila mbona bado wanatuuzia sabuni nyingi hivi?

    Urari wa biashara kati ya Tanzania na Kenya umeimarika sana. Leo niliona bungeni Rashid Shangazi akiliongelea hili nikaona nijiridhishe. Kulingana na data za benki kuu ya Kenya kuishia mwaka jana Tanzania iliuza Kenya bidhaa zenye thamani ya trilioni 1.15 huku yenyewe ikinunua zenye thamani ya...
  16. SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara... Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu...
  17. Jambo lililojificha kwenye familia changanyikeni...

    Wengi wetu tumepitia maisha haya, kwa kukaa sehemu moja familia changanyika kiasi unakosa hadi mahali pa kulala, kisa tu huenda; Wenye nyumba ndie anauwezo ukoo mzima Anahuruma ya kupitiliza Anapenda jopo la watu n.k Kwahiyo hujikuta wanaishi haya maisha ya ugeni mwingi usio kikomo. Baadhi...
  18. Prof. Lipumba: Bajeti iliyosomwa ni mbovu haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Takwimu nyingi haziko sahihi

    Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti. Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea. ========= Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameikosoa bajeti ya Serikali...
  19. Usitumie hela nyingi kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa.. weka stock ya kutosha.

    Kwa Tanzania hasa kwenye miji mikubwa hili limekuwa tatizo kubwa. Wafanyabiashara wadogo tena wanaoanza biashara utakuta wanatumia hela nyingi za mtaji kuwekeza kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa anazouza. Vijana wengi hasa kwenye biashara ya nguo wamejikuta wanafunga biashara zao chini...
  20. M

    Kumbe Ukraine imepewa silaha nyingi kuliko ilivyoomba: lakini kila siku inalilia silaha kama kisingizio cha kushindwa vita

    Ukraine imeelemewa katika uwanja wa vita japo kila siku inasingizia kuwa haina silaha za kutosha. Mwishowe nchi za magharibi zimeweka wazi kuwa Ukraine hadi sasa imeshapewa silaha nyingi sana kuliko kiasi ilichoomba!! Imepewa mifumo ya kushambulia vifaru kwa kiasi kikubwa mno kuliko idadi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…