nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Mange Kimambi mbona haji tena na swaga la Jeshi lipo na nyie?

    Naangalia youtube hapa kwenye TV namsikia kidada anasema Watanzania wasirudi nyuma, ohhh vijana endeleeni kweli? ahaaa ahaaaa ahaa yaani anachochea bado tu na wajinga waje wakubali ? KWELI WATANZANIA TUMELOGWA ndo maana kiboko ya wachawi mkongomani alisema Watanzania ni wajinga sana naanza...
  2. Hivi mnamjua Paul Makonda nyie?

    Huyu ambaye alimlaghai GSM kuwa Rais Magufuli anataka kujengewa nyumba, Aliyetaka kupitisha biashara yake bandarini kwa kisingizio cha kusaidia meza na viti waalimu wa Dar Huyu bwana ukimweka kwenye kundi la walafi wa madaraka na matumizi mabaya ya madaraka ni namba moja kwa Tanzania hivi sasa...
  3. Mkikubali maridhiano ina maana kweli nyie ndo mlikuwa nyuma ya GenZ na mna kesi ya kujibu, huo ni Mtego Polepole alikataa Maridhiano

    Kuna mtego. Mkikubali maridhiano, mjue mmekubali kuwa nyie ndiyo waandaaji wa vijana wa GenZ. Oktoba 29 kesi zimewekwa pending, mkikosea kidogo wanawarudisha ndani na mtapata kesi ya kujibu tena. GenZ ni nguvu ya umma, maridhiano yanaweza kuwa mtego wa kuwanasa. Chadema, kuweni makini. Polepole...
  4. Serikali imekuja na propaganda ya kuonyesha Mali zilizohalibika Wananchi na Nyie Endeleeni kuonyesha Maiti za Marehemu

    Propaganda ya kuonyesha mali ni nzuri wananchi nao waendelee kuonyesha Maiti za Marehemu tuone vitu vinarudishwa uhai wa watu Je?
  5. N

    Wakenya kuanzia sasa tutadeal na nyie kweli kweli namaanisha kweli kweli

    1. Rais wa Tanzania ameshaapishwa uvumi umeisha na maisha yataendelea 2. G z Tanzania nawashauri ebu jifunzeni kidogo kuhusu wanaotangaza prpaganda huwa wana nia gani na tujifunze kwa serikali nyingi zenye neema ya rasilimali huwa zinaandamwa na foreign forces na influences ebu TUIPENDE NCHI...
  6. Vijana wa KIDATO Cha NNE na chapili jiandaeni na mitihani. Wazazi iungeni serikali mkono watoto wavuke salama

    Mnahamasisha maandamano hamjui wiki ijayo baada ya hiyo TAREHE yenu watoto wanatakiwa kufanya mitihani Kwa utulivu nchi nzima? Tumia akili mtanzania usiendeshwe na mihemko.
  7. R

    Nyie watu wa JF nipe msaada, mbona mnakuwa wakorofi?

    Ni VPN gani naweza tumia kwenye desktop computer?
  8. Mlinogewa sana kuua waTanzania nyie watu, nyie ndiyo sababu hakukuwa na amani nchini

    Na kila aliyehusika na haya mauaji ya ndugu zetu atalipia. Haijalishi kama ulitubu, ulichangia ujenzi wa makanisa, ulichangia misikiti, ulifuturisha, ulianzisha kituo cha kulea watoto yatima. Kama umehusika kwenye kupora uhai wa mtanzania yoyote lazima utalipia. Hakuna muda tena wa...
  9. GE2025 CCM ina pesa nyie

    Jana maeneo ya ubungo zimepita v8 kibao aisee. Afu kilicho nishangaza kuna v8 moja imebeba spika yaan ile ya kupiga P. A gari ya mil 200 inabeba spika inapiga nyimbo za mama hizi ni dharau. hakika pesa mnazo aisee Over.
  10. Yaani mliamini mtaweza kuwadanganya Mababu zetu, Mababa zetu, na watoto pia??? Nyie watu mmeshindwa kusoma nyakati

    Yaani watu waone kabisa nchi yao inaibiwa na hakuna wakuitetea kabisa, watulie tu, eti kwasababu watatekwa na kupewa kesi. Yaani nione watu wanauliwa na kutekwa na hakuna wakuwatetea, mimi nitulie kwasababu wale sio ndugu zangu??? Mnadhani kila mtu ni mjinga hivyo. Yaani nione wamama hospitali...
  11. Nyie mnao nitumie meseji ya JITOKEZE NASEMA HIVI, "mnikome"

    Nasema live nawachukia nyinyi mnao jiita JITOKEZE tena nasema mnikome tafadhali sana staki mazoea na nyinyi Mnaniambia nijitokeze KUPIGA kura wakatinajua hata mlo Mmoja sijala Nina siku ya NNE, alafu nikayachague majizi ya fedha za UMMA ?
  12. Police nyie ni jamaa zetu na ndugu zetu pia. Punguzeni kutumia nguvu kubwa tunajua mpo kazini

    Ndiyo police nyie ni ndugu zetu na wengine ni marafiki zetu na jamaa zetu pia. Tunajua nyie mko kazani lakini punguzeni kutumia nguvu kubwa pasipo na ulazima. Tukio la leo mahakamani sio tukio la kiungwana watanzania bado ni watu ambao wanaelekezeka bila hata kutumia nguvu kubwa. Tutawatia...
  13. N

    Hivi nyie mliofunga Dm zenu ni kwamba ni mastaa sana au vipi ?

    Wakuu habari, Hivi hawa wenzetu wanaofunga Dm zao mnawaelewa kweli ?
  14. Hii picha nimeona mtandaoni, nimeona sio mbaya nishare na nyie

    Nchi hii yetu ni masikini sana lakini ina gapu kubwa sana kati ya walichonacho na wasiokuanavyo. Tafadhari wafundisheni watoto wenu kuwa watoto wa vijana wenzenu walio na hali duni sio kwamba baba zao ni wavivu au fikra mbovu, ni basi tu fursa uliopata hakubahatika kuipata. Mfundishe kuwa kuna...
  15. M

    Nguvu ya Uingereza Ulaya ni ipi exactly?

    Unaweza kujiuliza Uingereza ipo wapi na inafanya nini, katika huu mgogoro mkubwa wa dunia, mwisho wa siku ukagundua kwamba “power” ya Uingereza ipo Google na magazetini. Wakati Juha anaivamia Ukraine, Rais Macron alikuwa ni kiongozi wa kwanza duniani kulaani uvamizi ule, kusimama na Ukraine na...
  16. Sijui kwanini nikiona picha za gen z Kenya huku nikisikiliza ngoma za lucky dube huwa Kuna vibe flani hivi la uzalendo embuu jaribuni na nyie

    Nikiona picha za gen z Kenya halafu mda huo nasikiliza Ngoma za lucky dube huwa Kuna vibe flani hivi la kuingia rodi hiyo tarehe 29 nikikumbuka asili ya mtanzania ni uoga mpaka mtandaoni nachoka
  17. Haya nyie ambao Polepole ndio karata yenu ya mwisho vipi kuna matumaini?

    Wapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa. Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini. Wengine wako upinzani kwakuwa wamekosa ajira rasmi. Wanadhani kuwa kinyume na serikali kutawaondolea stress. Hizo press za...
  18. M

    Wasukuma na waha mna shida gani? Yaani nyie mkizamia Tanga ndiyo hamtaki kurudi kwenu?

    Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute kwanini ulimwambia hivyo yaani huku Tanga unaweza kukutana na msukuma au Muha ana miaka zaidi ya 30,20 au...
  19. Hii ndio ilikuwa original bongoflava, vijana waliumiza kichwa sana but all for nothing

    Maudhui yalikuwa bongo flava ila kila mmoja alikuja na style yake kupelekea wawe authentic na kitu walichotoa na sisi wapokeaji tulipata vitu quality ambavyo hadi hatutakaa kusahau. WIMBO UNAUKUMBUKA SANA? https://youtu.be/i-qPIcfoOwA?si=-mI_dTpLqlR3WXvA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…