nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu hii hali huwa mnaichukuliaje?

    Kwa mfano kabla hamjaanza mechi, demu anakuambia kabanwa kukata gogo.akitoka kukata hilo gogo huwa bado unakua na mzuka wa kumtia kama ulokua nao mwanzo? Mimi binafsi hii kitu imenishindwa,naona kinyaa.
  2. JamiiForums Tanzania Dufu Lina vibe nyie

    Disco limevamiwa na Masai
  3. JamiiForums Tanzania Kama Lengo ni Kumfunga Kisha Msamaha, eti apoteze Haki zake za Kisiasa, futeni kabisa huo ujinga nyie Vilaza wa CCM !! Dunia haitokubali Kamwe

    Kama ambavyo alikataa Mabilioni ya kuachana na Siasa. Kama ambavyo alikataa kwenda Ulaya . Kama ambavyo amekataa MARIDHIANO ya Kiiinga . Ndivo ambavyo Dunia itasimama kwa ajili yake kukataa UHUNI wa Kumpora Lissu Hali yake ya Kisiasa !!. Hili liwakae kichwani !!.
  4. JamiiForums Tanzania ROMA CATHOLIC INA MPAKA MAFUVU YA MASHAIDI WA KALE NYIE WASABATO MNA NINI?

    Roman Catholic imeanzia kale sana, tofauti na hawa wanaojibagaiza kutoka kanisa la kwanza huku wakiwa hawana ushahidi wowote! zaidi ya kuwa na Biblia kubwa kama kitanda. Anyway tuachane na hayo hapo juzi Tulifanya sherehe kubwa ya mtakatifu Agatha wa sicily. Huyu Bi dada alikuwa mtu na nusu...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa SERIKALI kuhusu FOLENI ZA dar! Mkipuuzia hii basi nyie wendawazimu

    1. Wenye ICD za DAR wapewe VIZIMBA HUKO KWALA halafu ICD za mjini zoote zitoke SERIKALI aifanye biashara ya ICD ikusanywe Kodi Kwa kukodisha! 2. Kuna NJIA ilikuwa inatumiwa na SGR wakati wa ujenz wake! Iwekewe LAMI iwe ya maroli ya mafuta na ya KUBEBA visivyopelekeka ICD ijengwe mpaka chalinze...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wapinzani wenzetu hivi nyie hamli, hamnywi, hamfanyi mazoezi?

    Ndugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa. Tunafanya kazi, tunapata hela, tunakula, tunavaa, tunalea familia, tunafanya mazoezi...
  7. JamiiForums Tanzania Kongole Yas, Vodacom Fanya ivi na nyie

    Yas wanajitahidi Sana Upande wa renovation yani Wana service Fulani nzuri nzuri hata Lipa namba yako na App pia ni nzuri Saivi naona wamekuja na huduma ya Kujua aliyekupigia wakati upo offline ila pia uliyempigia akiwasha simu unaletewa pia ujumbe kuwa mteja uliye karibu kumtafuta kwa sasa yupo...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha ni haya haya

    Najua shida ni sehemu ya maisha ila muda mwingine, tufanye kuweka shida chini, halafu mikono juu, maisha ni haya haya tu🍻🍻🍻🍻🍻
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Ufupi NCHIMBI ,anawaambia Watanzania ,Komaeni tu hapohapo shikilieni, ACHANENI NA MARIDHIANO, NYIE KOMAENI TU

    CCM na Genge lao Wana ujinga wanauita "MARIDHIANO" . Huuuu ujinga, ndio ambao NCHIMBI, anaupiga Vita . Anawaambia Watanzania, 'Msiingie kwenye huo mtego'
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nyie mmepata mshahara wa mwezi huu wa saba?

    Wakuu humu ndani vp mshahara wa mwezi huu wa saba mmepata? Mimi mbona kwangu ni bila bila sijaona meseji?
  11. JamiiForums Tanzania Nyie wanawake wa siku hizi mnaojitafuta kwanza kabla ya ndoa nani atawaoa?

    Naona saiv hili suala la wanawake kujitafuta kiuchumi kabla ya kuolewa lmekua common sasa. Zamani tulizoea mwanaume ndo anajitafuta kwanza kisha aoe lkn saiv meza imepinduka, kila mwanamke unaekutana nae kwenye mahusiano anakwambia anajitafuta kwanza ndo aolewe, anataka anunue kiwanja ajenge...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana nyie wajinga sana

    Kuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho, analeta...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Na nyie vitu vya ndani huwa vinaisha kwa wakati mmoja kwa kufuatana?

    Kuna hili jambo la vitu kuisha kwa wakati mmoja, tena huwa vinaanza pale ambapo hata akiba ya pesa ipo kidogo. Mara Gesi imeisha, hujakaa sawa unga unakata, mchele, sukari yaani ni kama vinapeana taarifa ya kuisha unakuta ndani ya wiki moja vitu vitatu vinaisha ila ukiwa na hela vipo tu Hii...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa sio kazi shida mahari. Mnazo tupimia vijana nyie wazazi muwage. Mnafikiria

    Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile unanikomoa. Yaani sijui huwa mnafikiria kiukweli au huwa mnaamua tu kuropoka. Mnatufanya tuendelee kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tukisema polisi na Tiss nyie ndio mnasimamia CCM sasa mnaweza kubisha .Maana kesi zenu mlalamikaji ni nani ?.

    Kwa sasa ukiwa mpinzani unaweza shangaa umefunguliwa kesi kuwa wewe ni bra bra bra. Sasa aliyefungua kesi hiyo ni nani?. Ina maana sasa chama cha CCM kimejivisha kazi yenu kiujumla.
  16. JamiiForums Tanzania Hawa Standup Comedy wa Tanzania, nyie wana JF wanawachekeshaga?

    Hell... Nazungumzia hawa kama wanajiita sijui Watubaki na cheka tu. Naonaga matangazo yao kiukweli naona watu wanacheka vitu ambavyo hata havichekeshi. Au ni mimi ndiye nina stress. Maana ule ni usimuliaji tena hata kwa vitu havichekeshi. Na style ni stori utotoni ilikua hivi mara vile.
  17. JamiiForums Tanzania Mnaowaita ombaomba wana maisha mazuri kuliko nyie

    Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine...
  18. JamiiForums Tanzania Watu wanajipa muhimu nyie, acheni tu

    Shikamoon wakubwa zangu wote Wadogo zangu hamjambo. Hebu niulize,kwann baadhi ya wand wanajifanya kumjua mtu zaidi ya anavyojijua yeye. Nakumbuka wakati najiunga humu aliyenisaidia aliniambia hupaswi,kutumia jina halisi au picha halisi, nilivyo muuliza sababu nini kwanini isiwe hivyo,alinipa...
  19. JamiiForums Tanzania Early 2027 to 2029, its either us, or you but not them- 2027 mpaka 2029 huenda ni sisi, au nyie ila sio wale

    Hii ni tofauti na iliopita, walioshinda kwa sasa hawana cha kupoteza, usisimame kama unatambua miguu haina stamina, na hauna uwezo wa kukinga ukiwa hewani. Uzuri wa sayansi ya kufikiria ilio na vitendo kisha kupelekea matokeo, inahitaji uharaka wa kujua mienendo, namna utakavyo himili tendo...
  20. JamiiForums Tanzania Na nyie mmeliona hili kwa mabinti wa kuanzia 2000-2005?

    Salam sio kipaumbele sana. Kiukweli hawa mabinti wanastahajabisha sana, eti unamleta ghetto ambalo maji yapo ya kutosha tu, lakini unamchimba vilivyo, mwisho unamuonesha bafuni akatoe vumbi ili andoke vizuri yeye anabinua mabega juu kuashiria hayuko tayari kwenda kuoga!, sasa najiuliza hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…