nyerere

  1. M

    Kashfa ya Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere mbona Zitto Kabwe uko kimya kulikoni?

    BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo. Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya...
  2. UFISADI: Mpina aibua tuhuma za upigaji wa Sh. Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameibua tuhuma nzito bungeni kuhusiana malipo ya shilingi triliioni 1.5 ambazo hazijulikani zilipo alizotakiwa kulipa Mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kama malipo ya CSR na faini kuchelewesha mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa miaka miwili kinyume cha...
  3. Nyerere kuweka Bendera kwenye Mlima Kilimanjaro alikuwa na maana gani? Alikuwa anatimiza unabii?

  4. Kukopa Trillion 4 ndani ya wiki 1 huku Mradi wa Bwawa la Nyerere umekwama kwa kukosa pesa si busara

    Hizo trillion 4 zinaenda wapi wakati hata pesa za miradi muhimu kabisa hakuna?! Ni kwanini tusikope fedha kukamilisha miradi strategic ambayo tumeshaianza?
  5. Tangu tumepata uhuru ni hayati Julius Nyerere na hayati John P. Magufuli waliujua kwa undani na umaskini wa watanzania wengi na kuwaonea huruma

    Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula. Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila mabeberu na vibaraka wa mabeberu walimkwamisha. Hayati John Pombe alipambana masikini wasihangaike...
  6. I

    JULIUS KAMBARAGE NYERERE GENIOUS OF BONGOLAND

    Huyu mzee ndio GENIOUS SISI LEO TUNAIAHI VIZURI ILA ALIKAA NA WAZUNGU KWA AKILI ZAKE NYINGI AKACHUKUA NCHI ANGEAMUA KUWA DICTATOR ANGEWEZA ILA MIAKILI YAKE NCHI NZIMA TUNA UHUURU WETU RESPECT TO THE FATHER OF THE NATION
  7. Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT)

    Serikali kutoa Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT). Chuo kikuu cha sokoine kilianzishwa mwaka 1984 hadi leo wasomi wake wanahaha mitaani hawana ajira na wameshindwa kujiajiri, wengine wameamua kutengeneza mapanya ya...
  8. Nyerere DAY 2022: Picha adimu

    NYERERE DAY 2022: MWANZO WA HARAKATI ZA KUDAI UHURU - UCHAGUZI WA TAA 1953 (NYONGEZA YA PICHA) Katika video iliyotangulia kipindi cha Zumari watu wengi wamevutiwa na historia ya uchaguzi wa TAA wa 1953 katika ya Abdul Sykes na Julius Nyerere. Maswali yamekuwa mengi kwangu kuwa imekuwaje miaka...
  9. Nyerere Day 2023: Mwanzo wa harakati za kudai uhuru

  10. K

    Nyerere and Nkrumah: Towards African Unity

    Nyerere and Nkrumah: Towards African Unity From the Book written by Godfrey Mwakigile Book title "Nyerere and Africa End of an Era" THEY WERE some of the most influential...
  11. M

    NAUZA Biography(Vitabu) za Nyerere, Mkapa na Obama

    Wadau, Nauza Biography za Viogozi wa zamani Mkapa, Nyerere na Obama zenye picha hapo chini. Hii ni baada ya kuwa nimemaliza kuvizoma.
  12. Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia, yupi Rais bora kwako?

    Kwa vyovyote vile hakuna duniani mtu mwenye uwezo wa kurekebisha Historia. Kwa ivo hawa ndiyo walikuwa marais wetu na Samia ndiye Rais wa Tanzania kwa sasa. Kwa mtazamo wako hawa ukiwaweka kwenye mizani yupi amekuwa Rais bora kwako na kwa nini ukiangalia changamoto alizokabiliana nazo na jinsi...
  13. Nyerere Day 2022: Kevin Lameck Bongo TV na Mohamed Said Sehemu ya Pili

  14. J

    Manyara: RC Nyerere afungua kongamano la watu wasioona

    Na John Walter-Manyara Mkuu wa mkoa wa Manyara Charles Makongoro Nyerere amesema serikali itaendelea kushirikiana na watu wenye ulemavu katika kuwapatia huduma zote zinazohitajika kama watu wengine. Amezungumza hayo katika kongamano la watu wasioona linalofanyika katika ukumbi wa chuo kikuu...
  15. Nyerere Day 2022: Nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma Mtaa wa New Street na Kariakoo

    NYUMBA ALIYOJENGA NA ALIYOISHI MWALIMU MTAA WA IFUNDA MAGOMENI 1958 Tulipomaliza mahojinao yetu nje ya nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma nyumba ambayo iko nyuma ya Ofisi Ndogo ya CCM tukaelekea Magomeni Mtaa wa Ifunda kwenye nyumba aliyojenga Mwalimu mwaka wa 1958 na akaishi pale kwa kipindi...
  16. Nyerere Day 2022: Special branch na tasjila ya TANU

  17. Uchaguzi wa TAA Arnautoglo Hall 1953

    Uchaguzi wa TAA Arnautoglo Hall 1953
  18. Siioni Yanga ya enzi za Nyerere ikijirudia kwenye Ligi ya Mabingwa CAF kwa miaka 50 mbele

    Ukitizama kwa mbali unaona Yanga (Utopolo) malengo yao ni kuifunga Simba tu, ukisogea karibu kumbe ni kweli bwana! Wakati timu za Afrika zikiweka malengo Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho, wao Yanga wamewekeza akili zao Derby ya Watani😅 . Inajithibitisha usajil wa hovyo kuikomoa Simba...
  19. Nyerere Day 2022: Mwalimu na Edouard Masengo 1958

    NYERERE DAY 2022: EDOUARD MASSENGO ALIPOKUTANA NA JULIUS KAMBARAGE NYERERE Jioni hii rafiki yangu moja kutoka Ulaya kanipitia kunijua hali na kaniletea CD ya muziki wa Edouard Masengo na Mwenda Jean Bosco. Ikawa kanikumbusha kuwa Masengo alipata kuja Dar es Salaam wakati akiwa katika kilele...
  20. S

    Nitakulipa vizuri ukinipa hotuba ya Nyerere kama India Republic Day Guest of Honour, 26 January 1971

    Natafuta sana hii hotuba ya Nyerere aliyotoa India pale alipoalikwa kama mgeni rasmi katika sherehe za India kuwa Jamhuri, tarehe 26 January, 1971. Kuna jambo kubwa sana alilisema ambalo tunapaswa tuliandike katika herufi za dhahabu katika historia ya Tanzania na India Nimeuliza ubalozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…