nyerere

  1. Safari ya kwanza UNO 1955 Nyerere alisafiri bila ya chanjo

    SAFARI YA KWANZA UNO 1955 MWALIMU NYERERE ALISAFIRI BILA YA KUPATA CHANJO Abdul Sykes anamwambia mdogo wake Abbas, ''Nyerere anasafiri kwenda UNO na lazima adungwe sindano (vaccination). Mimi siwaamini hawa Waingereza wasije wakamdhuru. Hakikisha kuwa Nyerere anapata ''vaccination...
  2. Hongera Yeriko Nyerere kwa kutwaa Tuzo

    (hapa inakaaga salamu) Itoshe tu kusema ulistahiri TUZO hii. Tunaofuatilia kazi zako ni wengi kuliko idadi unayo kadiria. Umepeperusha bendera ya Tanzania ==== Leo nilifika mbele ya Wizara ya Wizara ya sanaa ambapo Wizara iliandaa hafla ya kuwapongeza Watanzania waliotwaa tuzo za Kimataifa...
  3. KERO Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kitulipe refund zetu

    Habari za wakati huu, Asilimia kubwa ya Wanafunzi tunaohitimu masomo ya Shahada ya Kwanza katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) ambacho kipo Kigamboni hatujalipwa fedha zetu za refund. Uongozi wa chuo ulituahidi kuwa utakuwa umekamilisha malipo yetu kabla ya Siku ya Graduation...
  4. Yericko Nyerere ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Tuzo hizo zilizoandaliwa na Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye makao makuu nchini Zambia zimefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili, Novemba 19, 2023 nchini humo. Mara baada ya kutangazwa mshindi kwa kuwashinda washindani wenzake nane kutoka Botswana, Uganda, Zambia na Zimbabwe...
  5. Kuelekea kumtangaza Mwl. Nyerere kama Mtakatifu, ninasihi Kanisa Katoliki wafanye jambo kwa ajili ya CCM kutambua mchango wa chama kwa Mwalimu

    Akiwa mwasisi wa CCM, Hayati Mwalimu Nyerere aliungwa mkono na chama kwenye uongozi wake hadi kukawa na msemo wa "ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI"... Kwa hakika kwenye maisha yake CCM ilikuwa bega kwa bega na Mwalimu Nyerere. Ninawasihi wakatoliki wafikirie kufanya jambo kwa ajili ya Chama Cha...
  6. C

    Pensheni za Wastaafu za TISS hasa DGIS, DEO na DIO tokea wa Awamu ya Nyerere hadi ya Samia ni Kiasi gani?

    DGIS namaanisha Wakurugenzi Wakuu waliostaafu Kazi. DEO namaanisha Wakurugenzi wa Nje (Majasusi hasa) DIO namaanisha Wakurugenzi wa Ndani (Kachero hasa) Wajuzi karibuni ili mnielimishe hapa.
  7. Taifa stars iitwe Nyerere boys labda tutatoboa AFCON

    USHAURI TU Nimeeona leo vijana wa Karume Boys wa un 15 waliyotoboa uganda na kutwaa ubingwa Ukiacha kucheza kwa jihadi vijana walikuwa wakisikiaaa karumeee wengine wanaaita boys wakawa kama wehu uwanjani uganda waliona hii vita isiwe taabu twende matuta Matutaa Karume Boys mabingwa congs sana...
  8. E

    Makonda atatua kero ya lift ofisi za CCM Mwanza

    Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya Nyerere. Mwenezi wa taifa Makonda kaamuru hiyo lift itengenezwe mara moja, safi sana sasa hivi adha ya kupanda kwa ngazi hasa kwa wazee walemavu na...
  9. Ya nini huyo Makamu wa Mwenyekiti abembelezwe? Kawa Nyerere?

    Ifahamike, huyo Makamu si Hayati baba wa Taifa kwamba eti aendelee kubembelezwa kama mtoto. Yeye si lolote kwamba Chama na Taifa ki/litapungukiwa na kitu pasipo yeye. Nafuu na jambo jema ni kuwa hata boss wake ameamua kumfungia vioo na hataki tena kujishughulisha naye kwa namna yeyote ile...
  10. Nimejiridhisha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anastahili kuwa Mtakatifu

    Bahati mbaya vijana wengi waliozaliwa mwaka 2000 hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,Mimi niliyezaliwa 1980 nilibahatika kidogo nyakati hizo nikiwa shule ya Msingi bungo pale Morogoro,nilipokuwa kiongozi wa chipukizi, nilipeana naye mkono mara moja japo alikuwa...
  11. Mwenezi Paul Makonda akabidhiwa fimbo ya Hayati Mwl Nyerere. Aahidi kufuata misingi ya Mwl Nyerere

    MWENEZI MAKONDA AKUTANA NA FAMILIA YA HAYATI BABA WA TAIFA MWL. NYERERE Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda ametembelea Nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere Wilayani Butiama Mkoani Mara ambapo amesalimu na...
  12. F

    Kuhusu Nyerere kutangazwa mtakatifu: Kanisa Katoliki mnataka watu wamwige Nyerere kwa lipi hasa? Umaskini, udikteta, ujamaa, ucheshi au nini hasa?

    Kwamba licha ya Nyerere kuwa na mapungufu mengi, kumtangaza mtakatifu ni jambo ambalo litakuwa kikwazo zaidi kwa watu kuliko kuwa chachu ya maisha ya utakatifu. Kwanini msisubiri miaka 200 ipite ili watu wote wanaomjua "Nyerere wa kweli" wawe wamefariki ili kusiwe na scandalization yoyote kwa...
  13. M

    Kwanini picha ya kujaa Maji Bwawa la Nyerere haionekani google wakati huu, nini shida

    Tangu kuanza kujazwa maji katika bwawa la nyerere ni takribani mwaka mmoja umepita, na maendeleo ya ujenzi wa bwawa la nyerere limefikia asilimia takribani 90. Sasa toka maji yameanza kujazwa disemba 2022 maji yameingia mengi mno, na ujazo umefikia mita takribani 160+, hawa google kwanini...
  14. A

    Mwl. Julius Kambarage Nyerere kutangazwa mtakatifu

    Katika pita pita zangu nimekutana na barua ya kanisa Katoliki Tanzania ambayo inaonyesha kwamba kanisa lipo katika mchakato wa kumtangaza Baba wa taifa, Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere kuwa mtakatifu/mwenye heri.
  15. Mtoto wa Magige Nyerere afariki katika ajali ya gari Shinyanga

    Chief Nyerere amefariki katika ajali ya boda boda, alikuwa abiria kwenye boda boda usiku wa kuamkia leo Jumamosi. Ajali imetokea jana, amefariki leo. Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana. Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi. Hii ni...
  16. Maafisa uhamiaji wa Julius Nyerere Airport hawana professionalism

    Aisee leo nimetoka zangu ng'ambo tukafika kwenye Passport check nimekaa kwenye foleni ya Tanzania Citizens kama dak 20 jamaa wa uhamiaji alikua anamhudumia mdada alokua mbele yangu halafu hamalizi. Kumbe muda wote jamaa linang'ang'aniza dem alipe namba linamchelewesha makusudi. Mwishowe yule...
  17. Leo katika historia: Mzee Tibakweitira akiwa Headmaster wa Same Sekondari alimwadhibu mtoto wa Nyerere na kupandishwa cheo

    ๐‹๐ž๐จ ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ก๐ข๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ข๐š. ๐Œ๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š๐ค๐ฐ๐ž๐ข๐ญ๐ข๐ซ๐š ๐š๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ก๐ž๐š๐๐ฆ๐š๐ฌ๐ญ๐ž๐ซ S๐š๐ฆ๐ž Sec ๐ฆ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ฐ๐š ๐‘๐š๐ข๐ฌ ๐๐ฒ๐ž๐ซ๐ž๐ซ๐ž ๐š๐ฅ๐ข๐ค๐จ๐ฌ๐š ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐ซ๐ฎ๐๐ข๐ฌ๐ก๐ฐ๐š nyumbani ๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐ž ๐ฆ๐ณ๐š๐ณ๐ข ๐ฐ๐š๐ค๐ž. ๐Œ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐š๐ค๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐š ๐ƒ๐‚. M๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š ๐š๐ค๐š๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐ƒ๐‚ ๐ฌ๐ข๐จ ๐›๐š๐›๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž. ๐Œ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐š๐ค๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐š ๐‘๐‚, ๐Œ๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š ๐š๐ค๐š๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐‘๐‚ ๐ฌ๐ข๐จ ๐›๐š๐›๐š ๐ฐ๐š ๐ฆ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ก๐ฎ๐ฒ๐ฎ. B๐š๐›๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ง๐š๐ฆ๐Ÿ๐š๐ก๐š๐ฆ๐ฎ ๐ฌ๐š๐ง๐š...
  18. T

    Hayati Baba wa Taifa Mwl. Nyerere aliwaza nini akafanya maamuzi haya kwenye Muungano?

    Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika na kutakuwa na Taifa la Tanzania ambapo Taifa Hilo litauwa Taifa la Tanganyika na kuwa Tanzania wakati Zanzibar atabaki na Taifa lake na bendera zake. Kutakuwa na Taifa moja ila lenye Ardhi moja itaitwa Ardhi ya Watanganyika wakati nyingine itaitwa Ya...
  19. TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

    Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia. We will update this. Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted. Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi. Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
  20. R

    Nimempigia kura Yeriko Nyerere kuwa mwandishi bora wa vitabu Afrika; wewe unasubiri nini?

    Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika. Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ