nyerere

  1. I

    Mwanaharakati: Kizazi baada ya Nyerere ni cha Ovyo

    “Kizazi baada ya Nyerere ndiyo kimefanya Tanzania imekuwa maskini. Kizazi kimeuza viwanda. Kizazi kinang’ang’ania kubaki madarakani. Kizazi kimewekeza kwenda bungeni na kununua V8. Kizazi kinasifu kila kitu Rais anachofanya. Ni kizazi chenye watu wasiokuwa na akili timamu”
  2. C

    Wachokonozi: Kizazi cha watu kati ya miaka 48-70 ni kizazi cha watu wapumbavu

    Ukiingia kwenye ukurasa wao wa Instagram,utaona watu hao wanaojiita wachokonozi wakisema maneno hayo juu. Ni maneno ya karaha lakini huyo jamaa anajitanabahisha kama msomi wa chuo kikuu. Naamini ndani ya kizazi tajwa yupo mama yake pia.Taja viongozi wote unaowajua waliopo madarakani sasa,hilo...
  3. Ombi langu Muhimu kwa Waandaji wa Siku ya Mwalimu Nyerere kwa kuanzia mwakani 2025

    Nashauri au Naomba Wananchi (hasa Sisi wenye Akili Kubwa) humu Mitandaoni na katika Jamii zetu tuwe tunashirikishwa katika ama Kubuni au Kuratibu namna nzuri ya Kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwani naona kwa yanayofanyika sasa siyo Kumuenzi bali ni Kumsanifu...
  4. Je, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere angependa tuwe na Tamasha na Land Rover Arusha au tupambane zaidi na Maadui wakuu wa nchi aliowataja?

    Halafu wenye Akili Kubwa tukisema kuwa Tanzania ya sasa huenda ikawa na Viongozi Wehu zaidi mnaanza Kuchukia.
  5. Kumbukizi Miaka 25 ya Nyerere; CCM Imetutosa Wastaafu, Kutudanganya na Kutudharau kwa Kauli za Mwigulu Bungeni

    Kwako Mwalimu Nyerere; Wiki hii tunaitumia kukukumbuka wewe na uongozi wako. Sisi wazee tunakumbuka mbali zaidi hasa zile nyakati za vita Kagera ambavyo wapo wenzetu ambao waliambulia vilema na mpaka leo tunao wakiwa hai na huku wakilipwa Pension ya Laki 1 kwa mwezi na Hazina na hakuna msaada...
  6. Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere Katika Kilimo na Siasa za Kujitegemea: Urithi wa Maono Makubwa Kwa Taifa la Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
  7. T

    Mwl. Nyerere: Trying to stop radicalization is creating confrontation Africa must be radicalized for it's better future!?

    Nimekuta mahali kipande hiki cha hotuba ya baba wa taifa kwa tafsiri niliyojaaliwa mimi, ni kuwa mwalimu anasisitiza kwamba kwa afya ya bara la Africa ni tusipanbane na watu wa misimamo mikali kwa sababu kupambana nao kutamaanisha wao pia wajibu mashambulizi. Sasa kama hoja ni hiyo mbona ni...
  8. L

    Wakosoaji wa Sanamu ya Mwalimu Nyerere washukiwa kama mwewe na kupewa onyo

    hii hapa chini ndio Sanamu inayokosolewa👎
  9. L

    Huu ndio muonekano mpya wa Sanamu ya Mwalimu Nyerere baada ya kukarabatiwa

  10. F

    Machi hadi juni 1973 kwa nyakati tofauti Burundi ilituma ndege za kijeshi kuivamia Kigoma. Nyerere atumia busara kubwa

    Ndege za Burundi zinazosadikiwa kuendeshwa na wafaransa zavamia vijiji vya Mkoa wa Kigoma. Ilibainika baadae South Africa, Msumbiji, Ufaransa na Marekani walikuwa nyuma ya Burundi. South Africa na Msumbiji zilikuwa bado chini ya serikali za kikoloni huku Rais wa Kenya Jomo Kenyatta akimuonya...
  11. Historia ya Julius Nyerere (1922 - 1999)

    HISTORIA YA JULIUS NYERERE (1922 - 1999) Kuadhimisha Nyerere Day In Shaa Allah kuanzia tarehe 1 Oktoba nitakuwa naweka video ambazo nimemzungumza Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kama nilivyohifadhi historia yake Maktaba. https://youtu.be/bQlNnpWluCE
  12. Update update kutoka America percel. Nimepigiwa simu eti mzigo upo mwalimu nyerere airport. Kutoka kalifonia.

    Eti nitume laki na 95 elf, dereva aanze safari kuuleta nilipo hahah..nikichelewa mzigo utawekwa store kwa kila siku 20k inaongezeka.. Namwambia namtumia ndugu yangu aje abebe eti hapana tuma ela kwa namba tulikupa hutaki tunaweka mzigo store. Hahaa kumeanza kuchangamka. Kupitia uzi wangu watu...
  13. Q

    Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42

    Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru. Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa. Halafu ndani ya miaka...
  14. Moshi: Uwanja ulijengwa na Mwalimu Nyerere ,Leo wasiojua wanaongea wasilolijua!

    Huu uwanja ulijenga enzi za mwalimu Nyerere,Leo kichaa mmoja anaropoka TU! Kama ukarabati ufafanywa na Samia, mbunge wa eneo Hilo amefanya kazi Gani? Huu usemi utafanya wabunge wasipewe kura kwenye maeneo yao,inaonyesha hawakufanya chochote. Pia haijulikani Kodi za wananchi zimefanya kazi...
  15. L

    Hivi ndivyo David Kafulila alivyotua mbele ya sanamu la Mwalimu Nyerere New Delhi nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula. Na ambaye amekuwa...
  16. Kama Mwl. Nyerere angekuwa hai angemwambia Cyril Ramaphosa acha ujinga, mwache Zuma

    Viongozi wanaoheshimika wamekwisha Afrika. ANC kitasambaratika kwasababu ya kukamiana wenyewe kwa wenyewe na kutengeneza a vicious cycle. Ramaphosa na mbeki wanamsulubu legendary mwenzao Zuma, dhambi hii itaimaliza South Africa na hasa chama tawala ANC. Kama Mwl Nyerere (RIP) angekuwepo bila...
  17. L

    Sanamu La Mwalimu Nyerere Laanguka Na Kuvunjika Mkoani Tabora.Watu Washikwa na Taharuki na kusikitika Sana

    Ndugu zangu Watanzania,
  18. Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi KUSEMA hivi

    “DEMOKRASIA SIO CHUPA YA Coca-Cola ambayo unaweza kuiagiza kutoka nje ya nchi. Demokrasia inapaswa kujengwa na kuendelezwa kulingana na utamaduni na mahitaji ya nchi husika”. Hayati Baba Taifa Mwalimu Julius K Nyerere (1922 - 1999)
  19. Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere katika Mkoa wa Kilimanjaro anatakiwa kuwa na sifa hizi

    Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere katika Mkoa wa Kilimanjaro hujulikana kwa sifa kadhaa, ambazo ni pamoja na: 1. Elimu: Mara nyingi, inatarajiwa kuwa mwenyekiti ana elimu ya juu, kama digrii katika fani zinazohusiana na elimu, siasa, au sayansi ya jamii. Ingawa umakini zaidi...
  20. M

    Fahamu watanzania 5 walioiteka ndege ya Tanzania wakitaka Nyerere ajiuzulu

    mwaka 1982 february taree 26 ipo miamba mitano ilihisi inaweza kuitikisa serikali kwa kuteka ndege ya Tanzania ATC. ndege hiyo ilikua inatoka mwanza inakuja Dar es salaam imetua saa 11 jioni, kwa kipindi hicho uwanja wa ndege wa Mwanza ulikua hauna ulinzi kwahiyo hao jamaa watano walikuwemo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…