nyerere

  1. Steve Nyerere uchawa umezidi kipimo!

    Msanii Steven Mengere kwenye Challenge ya Chai na Vitumbua kama kifungua kinywa ambacho Rais Samia Suluhu Hassan alikimwagia sifa akiwa Mkoani Tanga. Kwa hakika hapa inatosha kuonesha kuwa hapaswi kutumia jina la Nyerere tena maana mental yake imeshakuwa tofauti kabsa na wasifu wa jina hilo...
  2. Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
  3. Thomas Sowell: Jinsi Ujamaa wa Nyerere ulivyoiharibu Tanzania

    Kwa msiomjua, Thomas Sowell ni mchumi, mwanahistoria, mwandishi, mkufunzi mwandamizi katika Taasisi ya Hoover nchini Marekani,na kadhalika. Sowell ni mzaliwa wa Gastonia, NC. Kwenye hii video, anaizungumzia Tanzania na sera yake ya Ujamaa chini ya Rais Nyerere. Isikilize/ iangalie halafu...
  4. Haji Manara na Steve Nyerere zile Ngumi mlizopigana pale Serena Hotel Wiki Tatu sasa zimepita zilisababishwa na nini?

    Na mlichokisahau mlijitahidi sana kulificha hili hasa wa Waandishi wa Habari mbalimbali ila mkasahau kuwaambia Walinzi wa Hoteli husika nao Wauchune wasiseme na hata Wataalam wa IT wa hiyo Hoteli nao Wauchune na kama kawaida yangu Mzee wa Kuzipata zile Taarifa Ngumu na Zilizofichwa Tanzania...
  5. S

    PreGE2025 Mama Maria Nyerere aitaka CCM kusimamia ipasavyo Serikali

    Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kutimiza wajibu wake wa kuzisimamia Serikali zake zote mbili ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa na uwezo wa kujitegemea, hasa katika kujilisha. Mama Maria ameyasema hayo...
  6. L

    Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote. Mungu akimpa...
  7. U

    Tahadhari aliyoitoa Nyerere 1996 kuhusu mgogoro wa Mashariki ya DRC

    Kumbe serikali ya DRC ikitumia njia ya vita haiwezi kuvimaliza vita vya mashariki dhidi ya M23 bali mazungumzo, kwa sababu M23 hawapo tayari kuondoka Mashariki ya DRC kwa sababu wanaichukulia ni ardhi yao ya asili. Maoni yangu: 1. Banyamulenge (Wanyarwanda wa DRC) wapewe uhuru Mashariki ya...
  8. Vita za Afrika zinaendeshwa kiuchawi kwa asilimia kubwa- Yericko Nyerere

    Ikulu ya Kinshasa DRC, Rais Felix Tsheked baada ya kushika kiti aliwahi kuwaalika Wachawi maarifu wote Nchini DRC kufika Ikulu na kusaidia kuongeza nguvu kuwakabili M23 muhula wake wa pili! Wachawi hawa kwa pamoja waliahidi kushinda Vita na walisema wako pamoja na Rais Tsheked. Usilolijua...
  9. Utamsikia mgeni anasema: "Yani mjomba, sisi wakati wa Nyerere tulikuwa tunatembea kwenda shule usawa wa Kariakoo hadi Kibaha. Nyie vijana namna gani."

  10. Tuulinde mchango wa Magufuli kwenye bwawa la Nyerere. Liitwe bwawa la Nyerere na Magufuli

    Kwa taarifa nilizonazo mpaka sasa zimeshawashwa mashine sita kati ya tisa zinazotarajiwa. Hii ni hatua kubwa tumepiga kama nchi na ni vizuri tukaacha vizazi vijavyo nao kuutambua mchango mkubwa wa John Pombe Magufuli. Na kwa kuwa yeye ndiye aliyependekeza jina la Nyerere basi nasi tuongeze...
  11. R

    Tetesi: Nape Moses Nauye Katibu Mkuu mpya wa CCM, Pole pole Mwenezi huku Makongoro Nyerere akiwa RC Dsm

    Tunapoelekea uchaguzi mkuu safu mpya zinazokuja kuziba mapengo ni pamoja na Nape kuchukua nafasi ya Nchimbi huku Pole pole akirejea nchini kumsaidia Kazi Mzee Amos. Makongoro Nyerere anakwenda kuchukua jiji la DAR. Mzee Januari anarudi kusimamia Muungano
  12. Hii ndo inaenda kuwa ajali ya kisiasa kwa Boni Yai, Yericko Nyerere, Ntobi na wengine wote waliojitoa ufahamu na kufanya kampeni zilizokosa staha

    Ajali ya kisiasa ni tukio ambalo linamtokea mtu kwa yeye mwenyewe kulitengeneza au kutengenezewa, na ambalo linamuondoa moja kwa moja kwenye ulingo na ramani ya kisiasa. Zitto Kabwe ni mfano hai wa mwanasiasa Tanzania aliyepigwa na ajali ya kisiasa ambayo imempoteza kabisa kwenye ramani ya...
  13. Mwanasiasa uchwara Yericko Nyerere katika moja na mbili

    Usinene ukamala! Yericko Nyerere
  14. Naiwaza kesho ya John Mrema, Yericko Nyerere na Kigaila

    Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi. Ni ipi kesho yao ndani ya Chadema washindwa hao?!
  15. Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

    Hao ndiwo wapiga zumali wa bwana Mbowe kwa sasa. Na ndiwo anaowategemea baada ya Uchaguzi watakuwa wasaidizi wake kwenye Chama. Tafakari.
  16. Mwenye CV ya Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Mwl J. K Nyerere , Mkoa wa Kilimanjaro!

    Ukiiweka hapa! Mungu atakuwa amekubariki sana!
  17. Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

    Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
  18. Nyerere alianzisha CCM akawapisha wengine

    Nyerere aliianzisha CCM. Baada ya Nyerere CCM imeongozwa na Mwinyi,Mkapa, Kikwete, Magufuli,Samia. Na katika miaka hii yote Familia ya Nyerere imeendelea kuwa na uhusiano mzuri na Chama Cha Mapinduzi. Sasa sioni Mbowe anatoa tatizo gani kuacha uongozi wa Chama kama ikibidi. Kwa hiyo lolote...
  19. Nyerere aliwashtukia hawa Machawa na mafisadi. Alijua mwishowe wangekuja mgeuka tu

    Walikuwa wanamwambia "Mzee hii nchi umetoka nayo mbali, bila wewe itakufa. Bila wewe haitakuwepo tena. Using'atuke wewe ndo alpha na omega umepambana sana" Akajua haya manyang'au yanajisemea yenyewe.yanataka yaendelee kujineemesha na wizi. Alijua hayana lolote la ukweli. Akaangalia mabadiliko...
  20. J

    Hivi Yeriko Nyerere kwenye Mijadala ya Kwenye Media anamwakilisha Mbowe kama mgombea au anawakilisha Chadema kama chama?

    Nimemuona mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Yeriko Nyerere akifanya mahojiano Star tv na Clouds media zote zikiwa ni media za CCM Ningependa tu kujua Mh Yeriko Nyerere huwa anatumiwa na Chama Kwa nafasi yake ya mjumbe wa CC au huwa anamwakilisha Mh Freeman Mbowe kama mgombea wa nafasi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…