nyerere

  1. PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba. Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
  2. R

    Alianza Nyerere, Sokoine, Tundu Lisu, Mwabukusi, Kisha Askofu Gwajima

    Salaam! Nchi hii wamewahi kutokea viongozi majasiri ambao Katika kusimamia hoja huwa hawageuki nyuma, Sasa huyu ndugu Gwajima kwa hoja zile alizotia kwa Press, Ujasiri wa kuingia bungeni kuwakabilli kautoa wapi kama hana Roho ya Simba? Kwa tulipofikia, Huyu ndiye kiongozi pekee ndani ya...
  3. Ugomvi wa K. Nkrumah na J. K. Nyerere. Kwame alikuwa akimhofia Nyerere sana

    Kutoka kwa mwanajamiforums Shwari ambaye aliweka nakala ya kitabu chenye kuelezea mikasa ya hawa wapigania uhuru na harakati za ukombozi wa Africa. Nkrumah alihisi kuwa alikuwa amemtumia Sekou Toure. Lakini alikatishwa tamaa na Nyerere zaidi ya alivyokuwa na Sekou Toure. Alimwona Nyerere...
  4. R

    Nyerere angelirekebisha Katiba hii, mateso yote haya yasingelikuwepo

    Alisema kabisa kwa kinywa chake kuwa katiba hii akitokea dictator ataumiza sana watu. Ndicho kinachotokea leo! https://youtu.be/br-LSD8AjSw
  5. Hotuba hii ya Nyerere, hakika alikuwa mdau aliyependa mabadiliko ya Sheria Mbovu kwenye chaguzi, angekuwepo leo angeihubiri 'No reforms No election'

    Wakuu Hii ni sehemu ya hotuba ya baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere aliyoitoa siku ya wafanyakazi Duniani Mei1, 1995 Mjini Mbeya. Pengine angekuwepo leo angesema 'No reforms No election' === Hoja ya kuruhusu wagombea binafsi Nataka kusema kauli ya mwisho kuhusu sheria ya uchaguzi ilivyo sasa...
  6. Mchungaji aliyetekwa aeleza mateso na kwenda kutupwa porini ashindwa kutembea "Mengine tuyaache "

    Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
  7. S

    "Mashtaka ya Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA,Amani Golugwa,Katika Uwanja wa Ndege wa J.K Nyerere yalilenga kukatisha Uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA"

    Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
  8. K

    Mzee Cleopa Msuya ndiyo alileta sera za viwanda wakati wa Mwalimu Nyerere

    Kuna watu wanasema Nyerere aliacha viwanda ukweli ni kwamba viwanda vililetwa na waziri wake genius Cleopa David Msuya. Yaani Msuya ndiye aliyekuwa waziri ambaye ni strategist zaidi ya uwana siasa
  9. Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  10. Kumbe Hayati Mwalimu Nyerere na Mzee Mwinyi tofauti ya umri ni ndogo sana

    Sijui ni kwanini lkn siku zote niliamini kabisa kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa kiumri mkubwa sana umkilinganisha na Mzee Mwinyi, kumbe tofauti ya umri wao ilikuwa ni ndogo sana, Mwalimu mwaka wa kuzaliwa 1922 vs Mwinyi 1925
  11. Mama Maria Nyerere alazwa hospitali Dar

    Mama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa. Umri wake ni 96. Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery. Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata sasa hivi. Pia soma > Mama Maria Nyerere atoka hospitali baada ya kulazwa siku kumi
  12. PreGE2025 Steve Nyerere: Kufanya siasa kwenye nyumba za Ibada si sawa kabisa

    Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  13. Makosa Katika: "Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Photographic Journey"

    Kazi yoyote ya mikono ya binadamu itakuwa na makosa. Kazi iliyokamilika ni yake Allah peke yake. Yameonekana makosa katika kitabu cha Mwalimu Nyerere. Prof. Kabudi ana haya ya kusema kuhusu makosa hayo: "Mzee wa Atikali" (MwA) amepigiwa simu na Mhe Prof. Palamagamba Kabudi. Baada ya kuongea...
  14. Plot4Sale Kipawa: 700 Sqm Plot jirani na Nyerere Road Inauzwa - Dar

    • Direction: • Structures: • Facilities: • Ideal: • Plot Area: • Document: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  15. Maktaba Imepokea: ''Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Photographic Journey''

    MAKTABA IMEPOKEA: MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE PHOTOGRAPHIC JOURNEY Rafiki yangu ndugu Ali Sultan mmoja wa watayarishaji wa kitabu hiki kikubwa cha Mwalimu jana alikuwa Ikulu Dodoma kwa uzinduzi wa kitabu hiki. Leo kafika Maktaba kunikabidhi kitabu. Kiswahili hakina msamiati wa kueleza...
  16. R

    TUJIKUMBUSHE: CCM msikilize Nyerere kuhUsu democracy na tabia ya umalaya malaya WA KISIASA

    CCM msikilize baba wa taifa kuhsu democracy na tabia ya mwanasiasa kununulika kwa fedha..umalaya malaya
  17. Happy Birthday Magige Nyerere

    Leo April 21 ni birthday ya Magige Nyerere mtoto wa tatu Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Magige yupo Dar es Salaam sasa hivi. Ni graduate wa UDSM ambapo alipata shahada ya Bsc. Electrical Engineering.
  18. Yanayojiri katika nchi ya Hayati Julius Nyerere

    Amos Makala: CHADEMA wanakwenda kuleta virusi vya ebola na M-pox nchiki ili kuangamiza taifa letu. John Mwakangale: (akiwa kaburini) uli nhaaji! Jeshi la Polisi: Sisi kazi yetu ni kulinda amani mikutanoni hatuhusiki na siasa za majukwaani. Tundu Lissu: CCM na Serikali yake wasiposikia na...
  19. A

    Mwl JK Nyerere na No Reform No Election

    Ujumbe WA Mwl JK Nyerere juu ya watu wasiopenda mabadiliko , sasa sijui sisiemu hawapendi Mabadiliko au ni Vyama Vingine au ndio njia ya kumuenzi Nyerere
  20. S

    The legacy of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    THE LEGACY OF MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE: The Powerful Lesson for Africa’s New Generation. ECKERNFORDE TANGA UNIVERSITY P.O BOX 5079, TANGA. Authors: Jilala Simon N. (Assistant Lecturers in Development Studies and History) and, S.T.Shemhilu, (Assistant Lecturer History) If...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…