nyerere

  1. 4

    Yeriko Nyerere umeamua kua msaliti ndani ya chama chako cha awali ambacho kimekufanya kuwa pale ulipo, jitafakari sana

    Leo sina mengi ,ila imani ya Mungu ikawe juu yenu wanajf kila mmoja kwa imani yake. Yupo huyu Bwana aliekua CHADEMA Yeriko Nyerere. 1.Akome jiita Nyerere , maana kwanza sio mtoto wa Nyerere ,maana ukoo ulisha tamka, akihusishwa na yule mwingingine ambae watu wanamlalamikia ( ajifunze kwa ndugu...
  2. U

    Je upo ushahidi Nyerere aliwasaliti Waislamu, Je yapo makubaliano yeyote ya maandishi waliyoingia baina yao kabla ya uhuru

    Wenye ilimu karibuni
  3. Amani aliyoipigania Nyerere imevurugwa, ila Nina Imani hizi zama zitapita na Tanzania yetu Itarudi Salama na Kusimama tena

    Wakuu kwema? Leo hii, moyo wa taifa letu unapitia majaribu. Kumekuwa na ongezeko la matukio ya utekaji, mateso na mauaji ya raia hasa wale wanaotoa maoni tofauti au kusimamia haki. Hali hii inaleta hofu, giza, na ukimya wa kulazimishwa. Matukio haya yameipaka doa nchi yetu ambayo kwa muda...
  4. Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

    Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe 1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20) 2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10) 3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10) 4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10) 5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka...
  5. 1977: Julius Nyerere akizungumzia katiba, demokrasia, na petty tyrant….

    Alichokizungumza hapa kina resonate vizuri sana na hali kisiasa iliyopo. “If a petty tyrant gets somewhere, we’ve got to remove him [or her]. Pia, kumbe Nyerere naye alikuwa ni globalist 😀. https://youtu.be/92MreE1tep8?si=3UG3J8HYqakllrXr
  6. W

    Vijana kama Mpina ndio Nyerere aliowataka CCM, lakini hata yeye hakuwa tayari kuvumilia waliompinga, urithi alioacha ni machawa, waoga na vilaza

    "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi...
  7. Nyerere, Magufuli na Sasa Tundu Lissu

    Hawa ndio wataacha alama ya milele kwa Taifa la TANZANIA Watakumbukwa kwa vizazi na vizazi miaka mingi ijayo Nyerere atakumbukwa kwa uadilifu. Magufuli atakumbukwa kwa uthubutu wa kufanya. Lissu atakumbukwa kwa reform zitakazo ishi kwa vizazi na vizazi!! Mungu ibariki Tanzania
  8. S

    Unajua kwa nini Mobutu wa Zaire (DRC) alipoondoshwa madarakani Nyerere alimshauri Laurent Kabila akatae kulipa deni la taifa la Zaire?

    Mojawapo wa wageni wa kwanza kabisa kualikwa nchini Zaire (DRC ya sasa) na Laurent Kabila, baada ya kumwondosha Mobutu Seseseko kama raisi, alikuwa mwalimu Julius Nyerere. Alikubali mwaliko huo. Kipindi hicho wala hakuwa Raisi wa Tanzania, alikuwa ameshang'atuka. Sasa katika moja ya hotuba...
  9. O

    Kitendo cha mahakama kuifungia CHADEMA kufanya siasa wakati huu, imethibitisha wazi ulaghai uliofanywa na Nyerere na CCM katika kuruhusu vyama vingi

    WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii! Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja! Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani! Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...
  10. Haya yote ni Nyerere ile sera yake “Kidumu cha Mapinduzi “. Kumbe mpaka kwenye jeshi inatumika mfano vita vya Kagera

    Ukifatilia makala ya vita vya kagera kuna video zinaonyesha wanajeshi wanataamka kidumu cha mapinduzi. Ni jambo la kujiuliza kwa nini hii sera kidumu chama cha mapinduzi hipo mpaka kwenye vyomba vya ulinzi.
  11. Kipindi cha Nyerere alizuia tv ili yeye kupata habari na kufanya redio ziwe za kibali kama leo serikali inavyo fanya kwenye mawasiliano

    Miaka hiyo kulikua hakuna TCRA ila kulikuwa na mamlaka ambayo ilataka watu wasiwe uhuru wa habari. Ilikuwa si rahisi kumiliki redio tena kipindi hiko kulikuwa na masafa ya SW(short wave) na AM mtanisaidia kujazia. Kwa wale vijana wadogo Masafa ya SW(short wave) ilikuwa rahisi kusikia mpaka...
  12. Mwalimu Nyerere: Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi, mkiwa na uoga, 'I promise you' mtatawaliwa na dictators

    Wakuu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anatukumbusha kujenga utamaduni wa kudhibiti viongozi kama wanavunja sheria ya nchi, anasema tukiogopa, tutatawaliwa na viongozi madikteta. "Tujenge utamaduni wa kudhibiti viongozi wetu kama wanavunja sheria ya nchi. Tusiogope mkiwa na uoga, 'i promise...
  13. R

    Kwanini Nukuu za Mwalimu Nyerere zimeadimika kwenye televisioni na radio za Taifa?

    Salaam! Napitapita TBC na radio za Taifa, napata taabu kuona Nukuu za Mwl Nyerere zimeadimika, Kiongozi yule mwenye maono alishayaona mengi na kuyaongelea, Ni Imani YANGU, tukizipitia vizuri, tutapata namna ya kuondokana na Giza hili linaloigubika nchi yetu. Mungu ibariki nchi YANGU nzuri...
  14. Nyerere, Kama Nyerere

    [Nyerere Talk:] Na kwa sababu Mjinga Akishaambiwa inakwisha Si kwa sababu Ujinga Ni kutojua Maana hujui lilifanyika nini Sasa Ukielezwa Ujinga wako unakwisha Now You Know Ujinga Ni Ignorance Mmmh Upambavu ni Foolishness Ni Foolishness Na na Foolishness ni kipaji Kama Ufupi na Urefu You...
  15. R

    Tujikumbushe wosia wa Nyerere kuhusu udikiteita

    JE TUMEFIKA HUKU?
  16. S

    PreGE2025 Warioba, Butiku and the whole Nyerere generation old guard, you have a moral obligation to save the country from this leadership moral decay

    Umewahi kujiuliza au kutafakari ikiwa leo hii Nyerere angukuwa hai kushuhudia kinachoendelea nchini Tanzania au ndani ya CCM angesema au kufanya nini? Okay, najua utasema Nyerere angekuwapo tusingefika hapa tulipo - na ni kweli kabisa. Tumefikia mahali pabaya sana, ambapo mtu yeyote mwenye...
  17. Mwl. Nyerere alikuwa anafundisha masomo gani??

    Tafadhali rejea kichwa cha "thread" hapo juu.
  18. Mwl. Nyerere kujilimbikizia madaraka haikuwa shida kubwa aliyotuachia bali ujamaa na kujifungia kwenye chungu

    Kuna watu wanamlaumu Nyerere kwamba alijilimbikizia madaraka, kujiweka kama mtawala wa kiimla na hatimaye kutuachia mfumo huo mpaka sasa ambao tunahangaika nao. Ni kweli alifanya hivyo lakini karibia mataifa yote hadi yale yaliyoendelea sana viongozi wake wa mwanzo(founders) walifanya hivyo pia...
  19. Kuna mpinzani au mkosoaji yeyote aliwahi kutekwa, kupotea au kuuwawa katika utawala wa Nyerere?

    Ningependa kufahamu kama kuna mtu yeyote hasa aliyekuwa mpinzani au mkosoaji wakati wa utawala wa Nyerere aliyewahi kutekwa, kupotea au kuuwawa.
  20. Kenya ilipopinduliwa mwaka 1982, Nyerere aliokoa Taifa lililomchukia

    Ilipofika Agosti 1 mwaka 1982, alfajiri ilianza kwa kimya kilichojaa tafakari ya taifa. Lakini katika kiza cha mapambazuko, lilizuka tone la radi la kisiasa, jaribio la kumpindua Rais Daniel arap Moi. Kiongozi wa mpango huu wa kisasi hakuwa jenerali wala kamanda wa juu, bali askari wa hadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…