nyama

Nyoma is a village and headquarter of eponymous Subdivision and block in the Leh district of Ladakh in India. It is located in the Leh tehsil, on the bank of Indus River.
A small Buddhist monastery ("gompa") is located on the hill at the back of the village. Since 2010, foreign tourists with Inner Line Permits are permitted to visit Nyoma and its monastery.
Nyoma is also home to an Advanced Landing Ground of Indian Airforce, which was reactivated when an An-32 landed in this airfield on 18 September 2009.Nearby towns are Mahe and Rupshu, the town lies in the Leh - Loma - Hanle road. Nyoma is located 41 km southeast of Chumathang. It is 23 km (14 miles) from Mahe village and roughly the same distance from the Chinese border.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwachiluwi

    Njoo tupike sambusa za nyama mlo wa usiku mwepesi kabisa

    Utaanda kusaga nyama yako kama hivi baaada ya hapo chukua nyama yako ikaange ukichanganya hoho karoti pamoja na hoho ukiweza weka na pilipili Baada ya hapo chukua mands zako na uzikate upate umbo la sambusa Baada ya hapo anza kuzinga kwenye mafuta yalio pata moto Mambo kama hivyo mlo wa...
  2. Mwachiluwi

    Tuchome nyama pori

    Kwanza utaanda viungo vyako tangawizi kitunguu saumu na pilipili uta visaga kisha uta paka kwenye nyama na uhakikishe imekolea Kisha utaweka nyama kwenye waya hakikisha ume ipaka mafuta kidogo Utakuwa una geuza na nyama yako ukitaka iwe mzuri basi ichome kwenye moto mkali sana Uku una...
  3. The Father of All

    GE2025 Kwa fisi, awe wa kike au kiume, akiona nyama, utamjua

    Sijui hata nimaanishacho hapa. Ila fisi na nyama ni balaa bila kujali jinsia wala umri. Ni ujinga kiasi gani kumpa fisi nyama ukadhani ataiacha au kuficha ufisi wake? Baya zaidi ni pale fisi anapokuwa mwenye mamlaka ya kuamua nani ale au asile nyama. Najipigia kelele kimya kimya.
  4. Genius Man

    Tutaandamana kwa amani Askari atakaye mpiga mwananchi sisi tutajitetea

    Tutaandamana kwa amani na kwa muujibu wa katiba ya nchi Askari atakaye mpiga mwananchi kwa sababu ya maandamano ni uhalifu wa kivita na sisi tutajitetea tutamfanya nyama.
  5. Saa 7 mchana

    Msaada kwenye : Binam Nyama ya hamu mwisho ni miaka mingapi?

    Wajuvi na wanumbi naombeni maelekezo yenu. Uzi tayari
  6. Thabit Karim

    Microwave oven ipi ina choma kuku, samaki na nyama

    Habari naomba ushauri ni microwave oven ipi nzuri kuchoma nyama, kuku na samaki ambayo ni durable na yenye bajeti isiyozidi laki nne brand iwe yoyote ila Hisense itapendeza zaidi
  7. nakwede97

    Pilau la nyama

    Jana nikajitutumua nipike pilau eeh waah ni simple sana hakuna makolokolo mengi chap Kwa haraka Hivi ni viungo vyangu Kuna mchele nyamavitunguu vitatu vikibwa chumvi vitunguu saumu pamoja na pilau masala picha zinajieleza Kila kitu
  8. C

    Wasabato mlituumiza sana mlipotuaminisha nyama ni mbaya ila nafaka ni nzuri

    Kwa muda mrefu wasabato wamekuwa wakifundisha kuhusu ulaji wa vyakula ambavyo wao waliviita bora huku wakinukuu mafungu ya kitabu cha Daniel ambaye alikataa chakula cha kifalme na akaomba apewe mtama. Wasabato awali wakatafsiri mtama kuwa ni chakula cha nafaka chote na walimu wao wengine hadi...
  9. Buyaka

    Naibu Waziri aliyehonga wananchi nyama ya ng'ombe 500 alipigwa chini na kachero la uchafuzi

    Hajafanya lolote jimboni. Siku alipoibuka kaja na ng'ombe 500. Achinje wamchague. Ng'ombe mmoja kumnunua na kumsafirisha na kumchinja na kumpika na vinywaji na kuandaa tukio kadirio la chini laki 8. Laki nane X 500 = 400 milioni Umepata wapi hela hiyo ya kuchoma siku moja, akajibu...
  10. B

    Bucha la nyama ya mbuzi vs bucha la nyama ya kuku wa kienyeji

    Habari wakuu Naomba uzoefu...Niko na mawazo haya mawili bucha la nyama ya mbuzi au bucha la nyama ya kuku wa kienyeji biashara ipi italipa location ni dar
  11. youngkato

    Jinsi ya Kupata Leseni ya Butcher (Kuuza Nyama)

    Umuhimu wa Leseni ya Biashara Kwanza kabisa, ni muhimu kufahamu kuwa kufanya biashara bila leseni ni kosa la kisheria. Sheria ya Leseni za Biashara Na. 25 ya 1972 inaeleza wazi kuwa kila mfanyabiashara anapaswa kuwa na leseni ya biashara. Kwa butcher, leseni hii ni sharti ili kutambulika rasmi...
  12. Penguinelli Cactussini

    Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe

    Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe
  13. A

    Natafuta Wafugaji/Mashamba ya Kuku wa Nyama kwa Ajili ya Kununua kwa Bei ya Jumla (Dar es Salaam)

    Habari wakuu, Natafuta wafugaji au mashamba ya kuku wa nyama wanaouza kwa bei ya jumla. Mpango wangu ni kuanza kununua kuku takribani 150 kwa wiki hii ya kwanza, na kuendelea kuongeza kiwango hadi 200 au zaidi kwa kila wiki, kulingana na uhitaji wa soko langu. 📌 Vigezo ninavyohitaji: Kuku wa...
  14. figganigga

    Full Video: Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge hadi jinsi ya kuwala

    Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge. Ukishaonja nyama ya panya huachi. Kenge ndo mtamu balaa Mdau hapa kaweka video hatua kwa hatua ya Uandaaji wa nyama ya Kenye hadi jinsi ya kumla
  15. Mwachiluwi

    Tupike biriani mzuri ya nyama ya ngo’mbe sito wafundisha

    Leo tupike birian nzuri twende pamoja sito fundisha tena hii Kwanza kaanga vitunguu vyako vizuri tu viwe golden blown ndii uvitoe uweke pembeni viji chujee mafuta mimi nime tumia vitunguu kilo 2 Baada ya hapo saga nyanya yako vizuri unapo saga nyanya changanya kitunguu swahumu, hoho, karoti...
  16. tonicimmobility

    Watu wajizolea nyama ya bure nane nane

    Wananchi waliofika kwenye Maonesho ya Nanenane, Nzuguni, Dodoma wamepewa ofa ya kugawiwa nyama bure. Soma pia: Ufisadi Nane Nane 2024 - Mamlaka husika zichunguze mchakato mzima Chanzo: Global tv online
  17. Mshana Jr

    Nyama choma festival (uzi wa lawama)

    TAHADHARI KUU Kama una njaa na uko mbali na maeneo au mfuko hauko njema kaa mbali na huu uzi.. 😂 sitaki lawama
  18. Lupweko

    Dotto Abdallah Ketto (Doto Magari) atafuna nyama ya kitimoto hadharani

  19. R

    RC Katavi asimamisha Viongozi kazi kwa kupandisha bei ya Nyama

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, Julai 28, 2025 amewasimamisha viongozi wa chama cha wafanyabiashara wa nyama mkoani Katavi kwa tuhuma za ukiukwaji wa sheria, taratibu na miongozo ya uendeshaji wa biashara, ikiwa ni pamoja na kupandisha bei ya nyama bila kushirikisha mamlaka husika...
  20. 888I

    Bei ya nyama kilo Moja Tsh 14,000

    https://www.instagram.com/p/DMo8uBhoLzn/?igsh=cjQ2NjExYmFrMW9z
Back
Top Bottom