Hongereni kwa mapambano ya uchumi.
Nimefikiria kuanzisha biashara tajwa hapo lakini sina uzoefu sana kama baadhi yenu humu.Kibnafsi location ya kupata mbuzi ipo nje kidogo ya mji na location ya kuweka goli langu bado nipo kwenye upembuzi yakinifu.
Naomba maoni nyenu Manguli wa biashara hii...