nyama

Nyoma is a village and headquarter of eponymous Subdivision and block in the Leh district of Ladakh in India. It is located in the Leh tehsil, on the bank of Indus River.
A small Buddhist monastery ("gompa") is located on the hill at the back of the village. Since 2010, foreign tourists with Inner Line Permits are permitted to visit Nyoma and its monastery.
Nyoma is also home to an Advanced Landing Ground of Indian Airforce, which was reactivated when an An-32 landed in this airfield on 18 September 2009.Nearby towns are Mahe and Rupshu, the town lies in the Leh - Loma - Hanle road. Nyoma is located 41 km southeast of Chumathang. It is 23 km (14 miles) from Mahe village and roughly the same distance from the Chinese border.

View More On Wikipedia.org
  1. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Fisi aliyeuawa kwa risasi 49, wananchi wagawana nyama

    Fisi huyo aliyeua mtoto wa mwaka mmoja na nusu baada ya kuvamia nyumba katika Kijiji cha Kangeme wilayani Kaliua alijeruhi pia watu watatu ambao inaelezwa wanaendelea vizuri. Diwani wa kata ya Zugimlole, Ramadhan Balikeka amesema kuwa wananchi waligawana nyama na haelewi walienda kufanya nini...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mama amchoma Mtoto baada ya kula Ugali Nyama uliohifadhiwa kwa ajili ya Bibi yake

    Mtwara. Mtoto Akashe Wahabi (8) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili Shule ya Msingi Naliendele ameunguzwa mkono na mama yake mzazi Muwaza Abeid( 29) kwa madai ya kuiba ugali na nyama. Ofisa ufuatiliaji na tathmini wa kituo cha msaada wa sheria Mtwara Manispaa, Judith Chitanda amelieleza...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kuna athari gani kutumia mayai/ nyama ya kuku wa kisasa?

    KUNA ATHARI GANI KUTUMIA MAYAI/NYAMA YA KUKU WA KISASA? . Kumekuwa na imani kwamba nyama au mayai ya Kuku wa Kisasa vina madhara mwilini. Madhara ambayo yamekuwa yakitajwa sana ni pamoja na kunenepa kupita kiasi, kupungua kwa nguvu za kiume, n.k. Imani hii imekuwa ikihusishwa na dhana kwamba...
  4. theriogenology

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler)

    HATUA KWA HATUA UFUGAJI WA KUKU BORA WA NYAMA (BROILER) Lengo la makala hii ni kukuwezesha wewe mkulima kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi kukuwezesha wewe kupata faida. Hivyo basi wewe kama mfugaji ni vyema ukajua ya kwamba wiki mbili za mwanzo katika uleaji wa kuku wa nyama ni muhimu...
  5. MkulimaAgriClinic

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa

    Fursa ya Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa ni kubwa sana nchini.Kwa wastani Tanzania huzalisha maziwa lita bilion 3 kwa mwaka huku karibu lita bilioni 1 pekee hutokana na ng'ombe wa kisasa. Hata hivyo mahitaji ya maziwa ni makubwa sana (zaidi ya lita bilioni 10), japo logistics mbaya za uhifadhi...
  6. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tunataka kurudishwa Misri tulipolishwa makombo na mifupa huku nyama ikiliwa na wachache

    Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Gharama kiasi gani kulisha kuku 500 wa nyama kwa Dar es Salaam mpaka kuuza?

    Habari wadau wa ufugaji Naomba kujua gharama za kufuga kuku wa nyama idadi 500 kuanzia siku ya kwanza mpaka hadi kufikia mwezi kwa mtu ambaye anafanya shughuli hizo au alishawahi kufanya kwakipindi kisichopungua miezi 8 iliyopita.
  8. safaris56

    JamiiForums Tanzania Ugali Nyama Choma(T-Bone Steak)

    Leo nachukuwa fursa hii kuwa karibisha wadau na wapenzi wa UGALI na NYAM CHOMA (T-BONE STEAK) katika mgaha wetu pale NAMANGA,MSASANI, dakika 1 kutoka kituo cha Namanga. Ugali : 500 Nyama : 3000 Tsh3,500 Delivery: ugali:500 Nyama :3,500 Tsh4,000 Delivery Fee: Kuanzia...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kutokula nyama si umasikini ni aina tu ya maisha unayoamua kuishi

    Hiki chakula ni mchuzi wa njugu mawe, mtindi umekatiwa hoho juu, wali na mkate wa naan. Anaekula hivi si masikini bali ni maamuzi. Kuna ambao kukosa nyama kwao ni dalili ya ufukara, si kweli.
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Vijogoo wa nyama vinauzwa

    Kuku "vijogoo wa nyama" wanauzwa kwa ajili ya kufugwa. Wana wiki 6. Wanapatikana Kibamba, Dar es Salaam. Wapo 300. Bei ni 6000 kwa kila mmoja. Piga 0715066185 au 0753066185 kwa maelezo na maelekezo.
  11. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Funga Juma: Masufuria ya Nyama: Siyo Wote Walioondoka Misri Walitoka Misri...

    Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya masimulizi ya kiimani ambayo yalinivutia sana tangu zamani ni safari ya wana wa Israeli kutoka Misri kwenda nchi ya ahadi wakiongozwa na Nabii Musa. Simulizi hili nimelisoma mara nyingi na kila ninapolisoma Napata mafunzo mapya. Hata hivyo mojawapo ya mafunzo...
  12. CHIEF MGALULA

    JamiiForums Tanzania Fursa ya ufugaji wa ng'ombe wa asili kwa ajili ya nyama na maziwa kwa maeneo yaliyokaribu na soko

    Wajasilimali wenzangu msije mkasema sijawaambia,iko hivi kama una shamba karibu na Dar,maana ya Mkuranga, Bagamoyo nk fikiria mradi huu unalipa.Nimeiba idea hii kwa jirani yangu kupitia meneja wake nikaone ni FURSA muhimu. Iko hivi kwa mfano: Kama una eneo lako hata kama ni ekari moja tu ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha utaendelea tu

    Ni vema wale wakuu wa wilaya na mikoa wenye tuhuma za kutesa, kuteka, kuumiza na kutupa watu korokoroni bila sababu za msingi wakawekwa pembeni zama hizi za awamu ya 6. Na Kigwangalla akawaombe radhi wale wazee aliowapigisha push up baada ya kuwahoji "mzaha siyo mzaha?" kinyume kabisa na sheria...
  14. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko Shinyanga chafunguliwa kuendelea na uzalishaji

    Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko SHINYANGA chafunguliwa kuendelea na uzalishaji. Source: Taarifa ya habari CHANNEL 10 Tuendelee kupeleka punda kwa wingi
  15. bukerebe alex

    JamiiForums Tanzania Nataka kufuga Bata wa nyama

    Habari wana jukwaa la ufugaji, Nataka kufuga Bata wa nyama. Hivyo naomba ushauri wenu wadau ili niweze kutimiza lengo langu. Asanteni. Zaidi soma>>Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Nyama zinafukuliwa na kuuzwa tena Kahama

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, imebaini uchinjaji holela wa mifugo katika Manispaa ya Kahama na kumshauri Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuzifunga machinjio zote zinazoendeshwa kienyeji. Katika ripoti yake iliyotolewa jana na Mkuu wa Takukuru...
  17. Premij canoon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (broiler)

    Salaaams wanajukwaa, poleni na majukumu. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji partner wakushirikiana nae kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama ( BROILER ). Mabanda ni makubwa na ya kisasa, yenye uwezo wa kuingiza kuku (BROILER) 6000. Partner anahitajika aweke BROILER kuanzia 2000 kwa kuanzia...
  18. rommy shabby

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa upatikanaji wa dagaa nyama wa Zanzibar

    Naomba kujua upatikanaji wa dagaa nyama
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Polisi hawakugawana nyama za wafanyabiashara bali ziliteketezwa na nyingine ilifukiwa ardhini, zilikuwa kilo 130 siyo 800!

    Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema tume iliyoundwa kuchunguza sakata la nyama ya wafanyabiashara imegundua nyama yote iliteketezwa. Mambosasa amesema tume ilionyeshwa shimo kubwa ambamo minofu na mautumbo ilifukiwa na sehemu nyingine ambayo miguu na makongoro...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Nyama yasema Polisi waliteketeza nyama yote iliyokamatwa ila miguu ilichelewa kuungua ndio maana Meya wa Jiji aliikuta

    Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa. Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni. Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu...
Back
Top Bottom