nyama

Nyoma is a village and headquarter of eponymous Subdivision and block in the Leh district of Ladakh in India. It is located in the Leh tehsil, on the bank of Indus River.
A small Buddhist monastery ("gompa") is located on the hill at the back of the village. Since 2010, foreign tourists with Inner Line Permits are permitted to visit Nyoma and its monastery.
Nyoma is also home to an Advanced Landing Ground of Indian Airforce, which was reactivated when an An-32 landed in this airfield on 18 September 2009.Nearby towns are Mahe and Rupshu, the town lies in the Leh - Loma - Hanle road. Nyoma is located 41 km southeast of Chumathang. It is 23 km (14 miles) from Mahe village and roughly the same distance from the Chinese border.

View More On Wikipedia.org
  1. Ushauri: Nataka kuanza kula nyama ya kenge

    Nyama ya mamba inaliwa na inauzwa ghali Sana kg 1 ni 30,000/= pale kibaha kwa mzungu Sasa mamba na kenge ni ndugu je Kuna tatizo naomba ushauri. Naishi pembeni ya mto Kuna kenge wengi Sana.
  2. Mobile nyama choma

    Maisha ya hapa duniani ni kupambana ili kuweza kumudu mahitaji yako ya kila siku. Na ili ufanikiwe inabidi kuweka aibu chini na kupambana kwa juhudi na maarifa ili kuweza kutimiza ndoto zako. Kuna hii biashara ya nyama choma, ambayo ukiifanya vizuri inaweza ikakutoa sehemu moja kwenda nyingine...
  3. M

    Inahitajika mashine ya kukatia Nyama buchani

    Wadau, Niataji mashine(used) ya kukatia nyama hasa brand ya Capital. Mwenye nayo naomba ni DM kwa mawasiliano zaidi na offer yako ya bei.
  4. Serikali: Kupanda kwa bei ya Nyama kunatokana na upungufu wa Ng'ombe

    WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameeleza sababu ya nyama kupanda kwa bei katika maeneo mbalimbali nchini ni kutokana na upungufu wa upatikanaji wa ng’ombe na ongezeko la mahitaji ya viwanda vya kuchakata nyama. Hata hivyo wafanyabiashara wa mifugo na wauza mabucha wamesema kuwa...
  5. Poultry farm Manager (Msimamizi wa Shamba la Mradi wa ufugaji wa Kuku wa Nyama)

    Anahitajika mtaalamu wa kilimo na mifugo mwenye elimu ya kuanzia ngazi ya stashahada mwenye ujuzi na uzoefu kwenye tasnia ya ufugaji wa kuku wa nyama wa kisasa. Eneo la Mradi: Kazimzumbwi - Kisarawe (Pwani) Anatafutwa mtu mwenye sifa:- Mwenye ujuzi na uzoefu wa kusimamia na mradi wa ugugaji wa...
  6. M

    Anahitajika mfanyakazi wa kuuza butcher ya nyama

    Anahitajika kijana mwenye uzoefu wa kuuza Butcher ya nyama ya ngombe/ Mbuzi na Samaki. Awe na uzoefu wa mashine ya kukatia nyama na uzoefu wa biashara hii. Butcher iko Bunju, ni PM kwa mazungumzo zaidi
  7. N

    Boss wako akikuangalia hivi si unaweza ukatetemeka?

  8. D

    Kazi na simu ni sawa na nyama ya nguruwe hujikaanga yenyewe

    Leo naomba niwamegee story fupi! Chanzo cha yote haya, niliwahi tokea kumzimikia mtoto mmoja nzuri sana enzi hizo akiwa beki3 maeneo ya tabata! Nakumbuka nikiwa naanza maisha ya kujitegemea, nilipanga chumba maeneo ya Tabata! Mwenye nyumba yetu alikuwa na bomba la maji hivyo watu walikuwa...
  9. Mfumuko wa Bei: Bei ya nyama imepanda Tsh 8,500 kwa kilo 1

    Mida hii natoka job of course ni weekend so nikajipitisha mitaa ya tegeta nakuta Bei ya nyama ya ng'ombe imepanda kutoka 7000-8500 nikakakausha nikajua mbezi Bei itakuwa pungufu. Nafika mbezi jirani kabisa na home ambapo huwa nanunua nikakuta Bei imepanda na wao wanauza8500 nilivyouliza...
  10. Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

    Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile. Alilia Sana Akatoa haja zote Mwisho alilia machozi Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu. Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan. Superbug
  11. Halmashauri jiji la Arusha inanyanyasa Wafanyabiashara wa nyama

    Wafanyabiashara wa maduka jijini Arusha wamelalamikia Halmashauri ya jiji la Arusha Kutokana na hatua ya kufunga maduka Yao wanapokuwa wakidai leseni au Kodi mbalimbali Jambo ambalo linakiuka maelekezo ya Serikali ya kutofunga maduka ya Wafanyabiashara. Miongoni mwa Wafanyabiashara hao, Juma...
  12. Wakala wa Vipimo mko wapi? Mabucha ya nyama Chanika yanawapunja wateja

    Habari! Siku moja kwa makusudi kabisa nikaamua kuwa mkaksi, nikasema nitanunua nyama kwenye duka(bucha) lenye mizani iliyo kamili kabisa. Nikaanza duka la kwanza nikakuta upande wa kuwekea mawe kuna jiwe la nusu kg. Nikamuuliza muuzaji, "Hili jiwe la nini ilhali mizani iko free haina nyama"...
  13. Stake ya nyama 1kg inatoa mishikaki mingapi?

    Jamani kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni msaada wenu kwa wenye uelewa na hili.
  14. Msaada: Connection ya kupata nyama Vingunguti

    Habari wadau naomba mwenye namba ya mtu wa Vingunguti nipate nyama kwa bei ya machinjioni kwa ajili ya biashara
  15. N

    Nashauri Serikali wapike pilau na nyama pia na soda kwenye vituo vya kutolea chanjo

    Nimeona taarifa ya wizara kua chanjo itaanza kutolewa Agost 3 Nashauri Serikali yetu pendwa chini ya Rais samia, wahakikishe kwenye vituo vya chanjo kuna Chakula Napendekeza Pilau na nyama Upande wa nyama wenyewe kama ikiwepo ya kuku itapendeza zaidi lakini wa kienyeji au kama kuku itakua ni...
  16. Fisi aliyeuawa kwa risasi 49, wananchi wagawana nyama

    Fisi huyo aliyeua mtoto wa mwaka mmoja na nusu baada ya kuvamia nyumba katika Kijiji cha Kangeme wilayani Kaliua alijeruhi pia watu watatu ambao inaelezwa wanaendelea vizuri. Diwani wa kata ya Zugimlole, Ramadhan Balikeka amesema kuwa wananchi waligawana nyama na haelewi walienda kufanya nini...
  17. Mtwara: Mama amchoma Mtoto baada ya kula Ugali Nyama uliohifadhiwa kwa ajili ya Bibi yake

    Mtwara. Mtoto Akashe Wahabi (8) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili Shule ya Msingi Naliendele ameunguzwa mkono na mama yake mzazi Muwaza Abeid( 29) kwa madai ya kuiba ugali na nyama. Ofisa ufuatiliaji na tathmini wa kituo cha msaada wa sheria Mtwara Manispaa, Judith Chitanda amelieleza...
  18. A

    Kuna athari gani kutumia mayai/ nyama ya kuku wa kisasa?

    KUNA ATHARI GANI KUTUMIA MAYAI/NYAMA YA KUKU WA KISASA? . Kumekuwa na imani kwamba nyama au mayai ya Kuku wa Kisasa vina madhara mwilini. Madhara ambayo yamekuwa yakitajwa sana ni pamoja na kunenepa kupita kiasi, kupungua kwa nguvu za kiume, n.k. Imani hii imekuwa ikihusishwa na dhana kwamba...
  19. Mwongozo wa ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler)

    HATUA KWA HATUA UFUGAJI WA KUKU BORA WA NYAMA (BROILER) Lengo la makala hii ni kukuwezesha wewe mkulima kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi kukuwezesha wewe kupata faida. Hivyo basi wewe kama mfugaji ni vyema ukajua ya kwamba wiki mbili za mwanzo katika uleaji wa kuku wa nyama ni muhimu...
  20. Fursa ya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa

    Fursa ya Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa ni kubwa sana nchini.Kwa wastani Tanzania huzalisha maziwa lita bilion 3 kwa mwaka huku karibu lita bilioni 1 pekee hutokana na ng'ombe wa kisasa. Hata hivyo mahitaji ya maziwa ni makubwa sana (zaidi ya lita bilioni 10), japo logistics mbaya za uhifadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…