nssf

NSSF
The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.

The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
  1. Herymiller

    NSSF namna ya kufanya madai kwa njia ya mtandao

    Kwa wale wenzangu na mimi tuliopoteza kazi lakini tuna chochote kitu . Tupite kwe wakuuu tuokote chochote kitu bila kuchoka Utaratibu ndio huo hapo chini Nikitoa nitarudi na mrejesho maaana ni week ya pili sasa napambana na mwajili wa mwisho afanye jambo
  2. M

    Je, NSSF wanaweza kugundua kama umeajiriwa serikalini kama usipowaambia?

    Samaleko, Naomba kuuliza, nikitaka kudai mafao NSSF, huku nimeshaajiriwa serikalini, wanaulizaga pale kama una kazi au la. Je, kama nisipowaambia kama mimi ni mwajiriwa, wanaweza kugundua? Au mpaka kiherehere changu cha kusema.
  3. kilio

    Baada ya kusubiri miezi mitano, hatimaye nimeipata NSSF yangu

    Kitendo cha kusubiri NSSF kwa mda wa zaidi ya miezi mitano , unaweza kuingia kwenye mikopo humiza kwasababu ya njaa nililiyopitia. Tuwaheshimu wastaafu wanapitia mengi wakati wa kusubiri hayo mafao mpaka kuyapata. Wastaafu wanateseka sana..
  4. peno hasegawa

    KERO KERO: NSSF & Dayosisi zote, tunaomba majibu kuhusu mafao ya Wachungaji na Wainjilisti wa KKKT walioko kwenye Dayosisi zao! Yanalipwa LINI na NA NANI?

    Kwanini wachungaji na wainjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kupitia DAYOSISI ZAO, wanaostaafu baada ya kulitumikia Kanisa na jamii kwa miaka mingi wanaonekana kukabiliwa na changamoto za mafao ya uzeeni? Je, viongozi hawa wanapokea mishahara? Kama wanalipwa, je, kuna...
  5. kilio

    NSSF wanatoa riba ya kiasi au asilimia ngapi wanaporudisha pesa yangu baada ya kukaa nayo?

    Wadau kama nimekaa miaka minne mradi umeisha NSSF yangu inasoma 24,000,000. Je NSSF inanilipa kiasi gan . wamekaa na fedha yangu mda wote wa miaka minne, je waniongezea kiasi gani
  6. Eronda

    NSSF Defends Sh180 Billion Marriott Hotel Investment Amid Public Scrutiny

    The National Social Security Fund (NSSF) has defended its decision to invest Sh180 billion in the Marriott Hotel project, arguing that the investment should be viewed as part of the fund's broader portfolio strategy rather than in isolation. Speaking on the matter, NSSF Managing Director...
  7. Masai wa Town

    KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

    Nilipoteza ajira sekta binafsi(kwa kupewa end of contract letter)November mwaka jana. March mwaka huu nikafungua madai ya mafao yangu NSSF. Wakati bado ombi langu linafanyiwa kazi, nikapata kazi serikalini na nikaungwa PSSSF. Baada ya kupokea mshahara wa mwezi mmoja serikalini, Nikapigiwa...
  8. A

    KERO NSSF wananichanganya kuhusu madai yangu, naambiwa nisubiri miezi 18

    Mwaka 2025 nilifungua madai ya mafao ya kukosa ajira NSSF wakanipa 33.3% mwisho ikawa ni mwezi wa 11 kuingiziwa sasa Januari 2026 nilifanya kazi kwenye taasisi Fulani na mwezi wa Tano nilimalizana nao (yaani nimefanya kazi kwa muda wa Miezi mitano) sasa kwa mujibu wa Taratibu za NSSF mpya...
  9. Mr_Uronu

    Dai la mafao NSSF, tumshauri mwenzetu

    Kama Nilikuwa member wa NSSF baadaye nikawa member wa PSSSF, nawezaje kupata mafao yangu ya NSSF hali ya kuwa nimeshaondoka huko na pesa yangu haiongezeki Wala Haina faida nami.? Kama nikitaka kuiwekeza pesa yangu kwenye mifuko ya thaman Kama vile UTT-AMIS kwa maendeleo ya wategemezi wangu...
  10. C

    NSSF kutengeneza kiasi cha zaidi ya Trilioni 11 ni matokeo ya sheria za kidhalimu

    Jana nimeona katika vyombo vya habari NSSF wakijinasibu kwa ukwasi mkubwa waliotengeneza. Jambo hilo linaonekana kama hatua ya mafanikio kwa shirika hilo lakini mimi nalifananisha na jambazi mwenye silaha za moto aliyefanikiwa kupora mali za watu na sasa anatoka hadharani kutamba kwamba...
  11. V

    Swali-kwanini makato ya bodi ya mikopo (Heslb), paye, na NSSF, zimekuwa njia za upigaji kwa taasisi binafsi zilizo nyingi?

    Ambao mko( mnafanya kazi) taasisi binafsi au mnamiliki taasisi binafsi kama shule,nk nafikiri Muna majibu na kama nachoandika ni kweli mtaniambia. It's normal kukuta mfanyakazi anakatwa makato hayo yote na kuambulia kiasi kidogo ila hela haiwekwi sehemu husika. Je shida ni nini?
  12. Eronda

    NSSF Revenue Jumps 85% to UGX 6.51 Trillion

    The National Social Security Fund recorded an 85 percent increase in total revenue in the financial year ended June 2026, with income rising to 6.51 trillion shillings. NSSF Managing Director Patrick Ayota attributed the growth to improved performance of the economy and the sectors and markets...
  13. M

    Msaada: Napataje mafao yangu ya NSSF kama sina Certificate of Service na Kampuni niliyokuwa nafanyia kazi imefungwa?

    Habari wakuu, Naomba msaada na ushauri kutoka kwa mtu mwenye uzoefu na NSSF au aliyewahi kupitia hali kama yangu. Nilikuwa nimeajiriwa katika kampuni fulani na nilikuwa nachangiwa NSSF. Kwa sasa kampuni hiyo imefungwa, hivyo siwezi kupata Certificate of Service kutoka kwa mwajiri wangu...
  14. FRANCIS DA DON

    NSSF inatushikilia Mateka Kigamboni kwa miaka 50, kisa tunadaiwa deni la daraja, tukiachiwa huru, tunalipa hilo deni ndani ya mwaka mmoja

    Hivi kumshikilia jela miaka 50 mtu unaemdai shilingi milioni moja tu, ilihali huyo mtu ukimwachia huru uraiani anapotential ya kuingiza hiyo pesa kwa wiki 1 tu na akakulipa yote, ni matumizi ya akili za kichwani au za kwenye makalio? Huko serikalini kuna watu wana ubongo kweli?!
  15. Gospel KTV

    Alijiunga NSSF kwa kutumia Passport, sasa hivi anataka kutoa pesa anaambiwa lazima awe na NIDA. Hii imekaaje kisheria?

    Wakuu salama, Kuna changamoto inamkabili ndugu yangu mmoja hapa naomba mniongezee mwanga au kama kuna mtu amewahi kukutana nayo atupe uzoefu wake. Huyu ndugu yangu wakati anaajiriwa na kusajiliwa NSSF, alitumia Paspoti ya Kusafiria (Passport) kama kitambulisho chake rasmi na akasajiliwa bila...
  16. Archival Sense

    MP Opposes Fresh Cuts Tax Relief Over NSSF Concerns

    Video courtesy of Parliament Watch UG Katikamu County North MP Denes Sekabira has opposed a proposed tax relief for Fresh Cuts, questioning what would happen to workers’ National Social Security Fund (NSSF) contributions if Parliament approves the waiver. Sekabira told the committee that NSSF...
  17. kilio

    Tofauti kati ya "Special Lupsum" na Unemployment 33.3% Katika UNEMPLOYMENT BENEFIT za NSSF nini?

    Nimeshakaa zaidi ya miezi mitatu bila kupata kazi nyingine. Nilikuwa nafanyakazi private sector. Niko katika mchakato wa kujaza CLaims fomu za UNEMPLOYMENT BENEFIT katika NSSF portal. Niko kwenye kipengele cha category SPECIAL LAPSUM na UNEMPLOYMENT 33.3% , nipate Unemployment benefit...
  18. A

    RESOLVED Nimefanikiwa kupata huduma lakini NSSF Ilala Boma Watoa huduma waboreshe Customer Care

    Nilijisajili na NSSF Mwaka 2017 wakati naanza chuo, wasajili walikosea tarehe yangu ya kuzaliwa, nimekuja kugundua na kuanza utaratibu wa kuomba kubadilishiwa ni baada ya kupata ajira Mwaka huu 2026 Februari. Nilivyoanza mchakato katika Ofisi za NSSF jengo la Benjamin Mkapa lilipo Posta ILALA...
  19. A

    KERO Moyo Medicare, Arusha hawajawasilisha michango yangu ya NSSF kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa

    Nimewahi kufanya kazi katika Taasisi ya Moyo Medicare, Arusha, na niliacha kazi zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hata hivyo, hadi sasa Taasisi hiyo haijawasilisha michango yangu ya NSSF, licha ya kuwa makato yalifanyika wakati nilipokuwa kazini. Nimejitahidi mara kadhaa kuwasiliana na uongozi wa...
  20. G

    Claim approval inachukua muda gani kupata pesa zako NSSF?

    Mafao changamoto jamani Ndugu nilikuwa naomba kujuwa claim approval ina chukuwa muda gani kuwa imekuwa approval paka kupata pesa zako nssf? Maana hapa sasa nimeambiwa niondoke kwenye nyumba niliyooanga na Nina familia sijui na fanya nini jamani??
Back
Top Bottom