nje

Nje (Њ њ; italics: Њ њ) is a letter of the Cyrillic script.
It is a ligature of the Cyrillic letters En ⟨н⟩ and Soft Sign ⟨ь⟩. It was invented by Vuk Stefanović Karadžić for use in his 1818 dictionary, replacing the earlier digraph ⟨нь⟩. It corresponds to the digraph ⟨nj⟩ in Gaj's Latin alphabet for Serbo-Croatian.It is today used in Macedonian, variants of Serbo-Croatian when written in Cyrillic (Bosnian, Montenegrin, and Serbian), Itelmen and Udege, where it represents a palatal nasal /ɲ/, similar to the ⟨ny⟩ in "canyon" (cf. Polish ⟨ń⟩, Czech and Slovak ⟨ň⟩, Galician and Spanish ⟨ñ⟩, Occitan, Portuguese and Vietnamese ⟨nh⟩, Catalan and Hungarian ⟨ny⟩, and Italian and French ⟨gn⟩).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Leo tuachane na Forbes na kampuni hizi ndo zenye uwekezaji mkubwa Tanzania na nje ya Tanzania

    1. Bakhresa group of companies 2.taifa group of companies 3.oilcom group of companies 4.lake energies group 5.amsons group of companies 6.metl group of companies 7.azania group of companies 8.motisun group of companies 9.mac group of companies 10.murzah group of companies 11.gsm group...
  2. K

    HOJA Haki za Wanyama zizingatiwe katika soko la machinjio ya Vingunguti, wanawekwa kwenye jua kali sana

    Wananchi tunatoa wito kwa wahusika wa Machinjio ya Soko la Vingunguti kuzingatia ustawi na haki za wanyama wanaoletwa kuchinjwa. Mbuzi na Kondoo wamekuwa wakiwekwa nje ya ukuta wa machinjio bila sehemu ya kujikinga na jua kali, hali inayoweza kuhatarisha afya na ustawi wao. Wanaiomba mamlaka...
  3. L

    Siku ya kwanza mtoto mchanga kutolewa nje

    Hivi siku ya kwanza mtoto mchanga kutolewa nje, Kwa Nini jamii nyingi Huwa wanamtoa wakiwa na jembe? Wanafanya kuwa mkulima mahiri wa baadaye?
  4. Roving Journalist

    Diplomasia ya Kiuchumi kuongeza tija: Wizara yatakiwa kutumia fursa za nje kukuza uchumi wa Taifa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia kikamilifu uhusiano mzuri wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani kuvutia uwekezaji, kuendeleza rasilimali za nchi zilizopo nje ya mipaka na kuongeza mapato ya Taifa kupitia miradi ya kiuchumi. Hatua hiyo inalenga...
  5. M

    Ni wapi naweza kupata jeans mpya original za kiume kama Abercrombie, Dickies, Levis, Madewell, n.k,

  6. leroy

    Video: Kwa nini shilingi inaweza kushuka hata mapato ya mauzo ya nje yanapoongezeka?

    https://youtu.be/3AfHjKilsoU Fikiria mfanyabiashara anayehitaji dola 1,000 kulipia bidhaa kutoka nje. Kwa kiwango cha Sh 2,460 kwa dola, anahitaji Sh 2,460,000. Kiwango kikibadilika kuwa Sh 2,641, atahitaji Sh 2,641,000. Hiyo ni Sh 181,000 zaidi kwa bidhaa zilezile, hata kama muuzaji hajaongeza...
  7. U

    Mhubiri mtata Nigeria, Yahaya Masussuka, aliyepinga hadithi za Mitume mohamed na kusisitiza kuwa quran tukufu inatosha auawa kwa kupigwa risasi

    Mhubiri mtata nchini Nigeria, Yahaya Ibrahim Masussuka, mwenye miaka 47, amepigwa risasi na kuuawa na watu wenye silaha waliomvamia nje ya nyumba yake katika Jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria. Tukio hilo pia liligharimu maisha ya msaidizi wake. Masussuka alijulikana sana kwa msimamo na...
  8. O

    Taharuki Riruta: Nyufa Kubwa Zaibuka Kwenye Jengo la Ghorofa 10, Wapangaji Walazimika Kukaa Nje Bila Mali Zao

    Juma hili, hofu na taharuki zilitanda katika mtaa wa Riruta (Kibiria Road) jijini Nairobi baada ya nyufa kubwa za kimuundo kuibuka kwenye jengo la kisasa la ghorofa 10 linalokaliwa na takriban familia 95. Ingawa jengo hilo halijaporomoka, mamlaka za Serikali ya Kaunti ya Nairobi na timu za...
  9. Q

    Lema alienda kuongea na balozi za nje kama nani? Je, CHADEMA ilimtuma?

    Viongozi wakuu wa chama ukimtoa Lissu ni Heche na Mnyika ndio wenye mandate ya kuongea kwa niaba ya chama. Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu sio kiongozi mkuu wa chama, labda kama alitumwa na chama. Pili, tutajuaje aliongea nini na hizo balozi, hata kama ni kwa nia njema nani alimtuma kukiwakilisha...
  10. OMOYOGWANE

    Nilipokuwa chuo kikuu kuna jamaa alimtoa lecturer mtukutu nje , Lema vs Mange , Lema ni mwanasiasa Mange ni mwanaharakati, jasiri ndio mshindi

    Miaka ya 2010s nikiwa chuo fulani mkoani Morogoro, darasani tulikuwa wanafunzi zaidi ya 200, kulikuwa na. Freshers pamoja wanafunzi waliotoka makazini wanajiendeleza kimasomo miongoni mwao kulikuwa na askari jeshi lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kuukataa unyanyasaji wa yule lecturer mtukutu...
  11. instinct desire

    Sasa kama nyinyi wafuasi wa CHADEMA siyo magaidi, huko nje mnafanya nini na hamna kazi, zaidi ya kukesha mitandaoni 24Hrs mnatutukana sisi Watanzania

    Hebu semeni nyie wafuasi wa CHADEMA nini kinawafanya muondoke nchini kimagendo mbona ss hatuondoki na tuna enjoy tu maisha. Kwanin mkimbie nchi ili hali hakuna anayewafukuza? Jibu ni Moja tu . Mnaondoka kwasababu mnajijua kuwa nyie ni kikundi cha kigaidi kwahyo mnakimbia mkono wa Sheria...
  12. M

    Iwapo Mwanaume umetulia kwenye Ndoa halafu mke akatoka nje, hilo kosa linauma sana kwa Mwanaume

    Anasema kumsamehe Mwanamke anaposaliti kwake ni ngumu sana hasa pale ambapo anapokuwa hatoki nje ya ndoa kabisa, hilo ndio kosa ambalo linaumiza zaidi kibidamu, na ni ngumu sana kumsamehe labda kwa uwezo wa Mungu.
  13. Zack Abdul

    Mauzo ya nyama nje ya nchi yaongezeka kutokana na ubora wa mifugo

    Mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka kwa kasi kutoka tani 1,774 mwaka 2020/21, hadi tani 13,745 mwaka 2023/24 na kufikia takriban tani 15,000 mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la zaidi ya mara 8 tangu mwaka 2021. Oman ndiyo soko kubwa zaidi, ikinunua zaidi ya nusu ya nyama inayouzwa nje ya...
  14. MFALME WETU

    Vijana wa Arusha ni wajanja sana wakiwa kwao ila wakitoka nje ya mkoa wao wanakua kama kondoo

    hawa vijana ukiwakuta kwao ni wajanja wajanja sana na ubabe mwingi ila ukikutana nao sehemu tofauti na asili yao ni underdogs wa kutupwa aisee. ukikutana nao shule au chuo hata mtaani unakuta wana kampani ya peke yao full kufuatana kama kumbikumbi. nyie machalii hasa wameru na nyie mnaojiita...
  15. Eli Cohen

    Hii nchi imepitia mengi sana, kuna wakati wasabato walivamia airport ili wapande ndege bure ili wakaende kuhubiri kwenye mataifa ya nje

    This was 2008.
  16. Crocodiletooth

    Yapo mambo mazito sana ya kujiuliza kama taifa nje ya masuala ya mabadiliko ya kiserekali.

    Ndugu zangu Watanzania salama? Kila ninapofuatilia mijadala ya kisiasa nchini kwetu, ninashangazwa sana na ukosefu wa hoja za msingi kuhusu namna ya kuendeleza Tanzania yetu na hatma yetu kama Taifa! Sote tunakubaliana kwamba tunahitaji kuishi ktk Taifa linalofuata misingi ya utu na haki...
  17. adriz

    Kwa nini post za nje ikihusisha Tz inapata engagement kubwa kubwa ya wabongo mitandaoni kuliko nchi nyingine za Afrika ?

    Moja kwa moja .. Hili nimefuatilia sana ; 1. Kipindi Samata kajiunga Aston Villa , page ya Aston Villa ilijaa wabongo mpaka na aliponyimwa pasi wabongo walimshambulia sana Grealish 2 . Aziz Ki ; alipojiunga Wydad page ya Wydad waarabu walikimbia walijaa wabongo kupiga stori na kumtaka Admin...
  18. Mhaya

    Wachoma Nguruwe na Kula Nje ya Msikiti Kupinga Uislamu Nchini Korea

    Raia wa eneo la Daehyeon-dong, Buk District, Daegu huko Korea Kusini wameamua kuchoma Kitimoto na kula nje ya eneo ambalo kuna Ujenzi wa Msikiti ambao Waislam watautumia kwenye Ibada ikiwa ni sehemu ya kupinga Uislam na ujenzi wa nyumba hiyo ya Ibada. Uislam sio haram kwa mujibu wa sheria za...
  19. idiomer

    Mtoto akitaka kwenda kusoma nje anapimwa Reading, Listening, Speaking and Writing. ila necta wanapima tuu writing

    Tutafika kweli? Kuna haja ya english language kuwa na speaking, listening and reading Practical test Yaani una division one lakini bado lugha.
  20. U

    Mshangao, Dodoma Nje ya Kumi bora mikoa mikubwa kiuchumi (GDP) Licha ya Mbwembwe za SGR, Magorofa, V8, Ring Road, DAR , MBEYA Kinara, Nini Shida??

    Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali. Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/...
Back
Top Bottom