nje ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Waingizaji wa mizigo walalamikia TBS kwa kuchelewa kutolewa kwa Control Number na gharama kubwa za storage

    Waingizaji wa mizigo kutoka nje ya nchi tunaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kuchelewa kwa mfumo wa TBS kutoa Control Number. Kwa mfano, ombi langu liliwasilishwa tangu Jumatano iliyopita, lakini hadi sasa sijapatiwa Control Number, hali ambayo imenilazimisha kuanza kulipa...
  2. BSS mmehujumu uchumi wa nchi kupeleka mil.50 nje ya Nchi.

    Nchi zinazojitambua zinajitahidi Kutunza mitaji ya ndani na hivyo kila fursa inayopatikana inatunzwa kwa faida ya Nchi. Kirando cha kumnyima Mtanzania (alistahili) Sofia (So-Fire) zawadi ambayo ingekwenda kuchechemua uchumi wake, familia yake na Jamii yake si Uzalendo mliofanya. Kama Mtu ana...
  3. A

    HOJA Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local?

    Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local? Tunaomba mamlaka ziingilie kati sisi wamiliki wa malori ya local tunapitia wakati mgumu wa biashara kwani gari za transit zimekuwa zikitoka mfano DR Congo zinarudi bila mzigo zikifika Tanzania zikiwa zinarudi Dar zinapakia mzigo wa...
  4. KERO Vibali vya kazi kusafiri nje ya nchi kupitia Mifumo ya TAESA kwa waombaji/waliopata ajira nje ya nchi vinachelewesha na hakuna updates zozote

    Vibali vya kazi vinavyotolewa na mfumo wa Taesa haupo sirias mda mwingi kuja system error na hata pia huchkua muda mrefu kupata kibali mbali na mhusika kashakamilishamilisha mahitaj viambata na malipo. Ikiwa kuna lolote, ni vyema wakatoa update nini kinahitajika mhusika aweze kukamilisha kukaa...
  5. Msaada: Ni taratibu gani huwa zinafuatwa ioi mtumishi wa umma ili mtumishi wa umma kwenda kusoma nje ya nchi?

    Kuomba ruhusa kwa muajiri wako. Basi.
  6. Zote ni nje ya nchi

    Mmenipata?
  7. Tahadhari Juu ya Ahadi za Kazi Zenye Mishahara Minono Nje ya Nchi (Mtego wa Cambodia na Myanmar)

    1. Utangulizi i: Wimbi Jipya la Utumwa wa Kidijitali Ulaghai Mtandaoni: Matangazo ya kazi feki yameshamiri kwenye mitandao ya kijamii. Walengwa Wakuu: Vijana wasomi, wanaojua kompyuta, na wanaozungumza Kiingereza vizuri. Maeneo Hatari: Nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia (Cambodia, Myanmar...
  8. Unahitaji siku ngapi kuomba kibali kabla ya kusafiri nje ya nchi kama Mtumishi?

    Habari wanaforum! Je inahitaji siku ngapi kabla ya safari yako kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi kama mtumishi kwenye mfumo wa e-vibali? Na documents gani zinahitajika?
  9. Msaada, kufahamu utaratibu wa kuingiza viuatilifu kutoka nje ya nchi

    Habari ya wakati huu wakuu. Naomba kuuliza utaratibu wa kuingiza viuatilifu yaani madawa ya kilimo kutoka nje ya nchi. Ninataka kujua mamlaka na vibali vinavyohitajika kabla ya kuleta bidhaa hizo
  10. R

    PostGE2025 Msigwa: Anayekwenda nje ya nchi na akaanza kukosoa wengi wao wamekuwa katika miradi au mipango ya watu wenye malengo hasi dhidi ya nchi

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 Mwandishi: "Kwenye hili swala la uhuru, wakosoaji wengi wamekuwa wakikosolea nje ya nchi huku kukiwa na taarifa za watu kutekwa na mambo...
  11. KMC FC yadhulumiwa Penati: Sasa mechi zote tunataka refa toka nje ya nchi

    Katika mchezo wa KMC dhidi ya Yanga, Shedrack Boka alifanya faulu ya wazi na ni penalty lakini kwakuwa refa kwa sababu alizo nazo pekee na woga kwa mashbiki wa Yanga akaamua kufunika na kusababisha KMC kukosa pointi moja na imewaadhiri sana. Kuanzia msimu ujao tunaomba Mechi zote tutumie marefa...
  12. Elibariki Kingu: Tunashindwa nini kujenga Maghala ya Mafuta ili tuwe na akiba kubwa tuuze hata nje ya nchi?

  13. Tanzania Yatumia Bilioni 23 Kuagiza Maziwa Nje Ya Nchi

    Wakati Tanzania ikijivunia kuwa na idadi kubwa ya mifugo, bado inalazimika kutumia zaidi ya Sh23 bilioni kila mwaka kuagiza wastani wa lita milioni 11.6 za maziwa kutoka nje ya nchi. Hali hiyo inayochangiwa na changamoto za ubora ambapo miundombinu na elimu kwa wadau wa sekta maziwa ni vikwazo...
  14. TRC Yakabidhiwa eneo la isaka kwaajili ya kupokea mizigo kutoka bandari ya dsm kwenda nje ya nchi

    TRC YAKABIDHIWA ENEO LA ISAKA KWAAJILI YA KUPOKEA MIZIGO KUTOKA BANDARI YA DSM KWENDA NJE YA NCHI Shirika la Reli Tanzania (TRC), limekabidhiwa eneo la Isaka, Mkoani Shinyanga, kwaajili ya kupokea na kushushia mizigo kutoka Bandari ya Dsm na kisha kusafirishwa ndani na nje ya nchi. Eneo hilo...
  15. Tanzania Considers ICC Exit as Court Faces Accusations of Unfair Targeting of Africa and Western Bias

    Tanzania may soon consider leaving the Rome Statute of the International Criminal Court (ICC). This debate has grown stronger after recent calls on the court in The Hague from Lawyers for the victims, backed by groups like the World Jurists Association and the Madrid Bar Association to...
  16. Katelephone kafanye checkup nje ya nchi. Utanishukuru

    Miye sijui. Habari ndio hiyo. Hutaki acha. Walahi watu wabaya Nye Nye nye. Mayii. Yaleyale ya babu ayubu. Na bado. Ukitoka huko jichunge. Nalia mimi.
  17. Watanzania waishio nje ya nchi wanapaswa kuandamana #D9 tunataka watanzania angalau 100 kila nchi

    Wito kwa Watanzania waishio nje ya nchi wanapaswa kuandamana #D9 tunataka watanzania angalau 100 kila nchi bado kidogo tushinde.
  18. GE2025 Idara ya Uhamiaji: Taarifa za kuwanyang’anya Raia walipo nje ya nchi wanaporejea Pasipoti na fedha ni uzushi

    Idara ya Uhamiaji inakanusha taarifa zinazosambazwa kwa njia ya Audio Clip kwenye mitandao ya kijamii kwamba raia wa Tanzania waliopo nje ya nchi wanaporejea nchini kupitia viwanja vya ndege au vituo vingine vya kuingia nchini wananyang'anywa pasipoti na fedha zao na kutakiwa kwenda kufanyiwa...
  19. GE2025 Nashauri viongozi waache kusema watu walioko nje ya nchi ndio wanachochea ya ndani. Kana kwamba huku ndani mambo ni shwari

    Hamjambo! Nimemsikia viongozi kadhaa wakisema na kulaumu watu walioko nje kama kina Mange Kimambi na wengineo wao ndio wanachochea vurugu na amani ndani ya nchi. Kauli hiyo inatolewa ni kana kwamba huku ndani watu wako sawa na hakuna tatizo. Kauli kama hizo zinatufanya tukimbie ukweli na...
  20. Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha. Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…