Wakuu nipenyeziwa habari na chanzo kimoja cha uhakika kwamba Jaji Ndunguru an wenzake wameondoka jioni hii na Ndege ya shirika la ndege la Ethiopia ambako Desitination yao itakuwa inaaminika ni Greece eneo la Oia katika kisiwa cha Santorini.
Mtonyaji kaniambia huenda wakaachana huko kwenye...
Mamlaka ya Kilimo na Chakula nchini Kenya (AFA) imetangaza kusitishwa kwa usafirishaji wa parachichi kwenda katika masoko ya kimataifa kwa njia ya bahari kuanzia Ijumaa, Oktoba 30, 2026, huku ikiweka masharti mapya kwa wafanyabiashara wanaosafirisha maembe nje ya nchi.
Katika taarifa...
Mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka kwa kasi kutoka tani 1,774 mwaka 2020/21, hadi tani 13,745 mwaka 2023/24 na kufikia takriban tani 15,000 mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la zaidi ya mara 8 tangu mwaka 2021. Oman ndiyo soko kubwa zaidi, ikinunua zaidi ya nusu ya nyama inayouzwa nje ya...
Rais William Ruto ametangaza kuwa Kenya inalenga kuanza kusafirisha mafuta ghafi kutoka Kaunti ya Turkana kwenda katika masoko ya kimataifa ifikapo Desemba 2026, baada ya miaka 14 tangu mafuta hayo kugunduliwa.
Akizungumza Jumanne, Oktoba 20, 2026, wakati wa sherehe za Mashujaa Day katika...
Habari za jioni,
Rafiki yangu anataka kurudi Tanzania kutoka South Africa na watoto wake wawili. Kwa madarasa ya huko wote ni seniors wako grade 8 and 10.
Msaada kwa yafuatayo:
Nini azingatie kabla ya kurudi na kuhamisha watoto (wamesoma huko toka shule ya msingi mpaka sasa).
Je, ni...
Gharama za kusafirisha dhahabu kilo moja (1 KG) kutoka Tanzania kwenda Dubai hazina kiwango kimoja cha usafiri (flat rate), bali zinajumuisha kodi na tozo za serikali (Tanzania) pamoja na gharama za usafirishaji na ulinzi (Logistics & Insurance).
Ili kusafirisha na kuuza dhahabu kwa njia za...
Taarifa kuhusu sera mpya ya madini zimeibua dhana kwamba Kenya imepiga marufuku kabisa export ya dhahabu, hivyo gold yoyote inayochimbwa nchini haiwezi tena kuuzwa nje.
Ili kukuza sekta ya uchumi na viwanda serikali ya Tanzania iondoe kabisa aina zote za ushuru na kodi katika kuagiza mashine mbalimbali zinazoagizwa china na kwingineko, hii itasaidia kustawisha sekta ya viwanda itakayo saidia kukuza uchumi na kuongeza ajira.
Tunashuhudia wahitimu vilaza mno wasiojua kutofautisha R na L ...lakini waliokosa uzalendo na wenye matusi kwenye mbongo zao na ndimi zao.
Kwangu mimi haya ni matokeo ya kuifanya Elimu kuwa ni biashara badala ya huduma muhimu kwa Taifa.
Hatujachelewa ni muda muafaka sasa wa kuongeza regulations...
Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.
Habari za jioni wakuu?
Mimi nina changamoto moja, nilikwenda Uganda lakini nikakutana na changamoto ya misosi migeni kwangu ambayo sijawahi kula hata kwenye kinywa ilikuwa haipiti kabisa, nikaishia vinywaji, matunda na biskuti tu!
Point yangu ni hii naombeni ushauri kwamba nikifika nje ya nchi...
Katika mwaka ulioishia Julai 2026, mauzo ya bidhaa na huduma nje ya Tanzania yalifikia Dola za Marekani bilioni 19.99, sawa na ongezeko la asilimia 16.5.
🥇 Dhahabu: Sh. trilioni 14.93
🏭 Bidhaa za viwandani: Sh. trilioni 5.83
🌾 Mazao ya asili: Sh. trilioni 4.29
✈️ Usafiri na utalii: Sh. trilioni...
Kuna mkuu au mzito yeyote aliyewahi kumalizia safari yake Muhimbili, Mlonganzila, Lugalo, Sinza Palestina au Benjamin Mkapa ?
Kwa nini walijitengea Mzena mahususi ? Inafika level za Muhimbili? Kwa nini wasingekuwa wanachanganyika tu wapate huduma zote kwa uhakika zaidi?
07 Agosti 2026
Uhamishoni
Nje ya Tanzania
Bw. David Jumbe msaidizi wa karibu wa mheshimiwa Tundu Lissu katika mahojiano exclusive 07 Agosti 2026 UHAMISHONI NJE YA TANZANIA
https://m.youtube.com/watch?v=sZ0ZZ6LjIck
David Jumbe, msaidizi wa karibu wa Makamu Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA (Tundu...
Kwa nyakati tofauti nimeona watanzania wakilalamika kukosa usajili wa mabaraza ya kitaaluma hasa manesi na wafamasia pale wanapohutimu masomo yao ughaibuni na kurudi nchini kwajili ya kufanya kazi je ? Changamoto ni nini?
Kwa kupitia nikabaini changamoto chache kwanza kutokua na uelewa wa...
Watu mnajidanganya sana kwamba mtu akiwa nje ya Tanzania hawezi kamatwa, it depends na nchi , kama uko Russia, Japan, China, Au Asia kwa Ujumla kukukamata ni rahisi sana , ila kama ni Marekani na baadhi ya nchi za ulaya si rahis, labda iwe kesi ya Jinai
Mataifa hayo hayana mambo ya Uhuru wa...
Wakuu, katika harakati zangu za biashara, nikakutana na kampuni B mtandaoni.
Kutokana na bidhaa zao walizozichapisha kwenye ukurasa wao, ziliweza kunivutia sana na kunishawishi kufanya nao biashara.
Nikapiga mahesabu, mpaka nizilete hapa bongo, naweza kupata faida mara mbili.
Nikawasiliana...
Wakuu habari ya muda,
Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania.
Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande...
Waingizaji wa mizigo kutoka nje ya nchi tunaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kuchelewa kwa mfumo wa TBS kutoa Control Number.
Kwa mfano, ombi langu liliwasilishwa tangu Jumatano iliyopita, lakini hadi sasa sijapatiwa Control Number, hali ambayo imenilazimisha kuanza kulipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.