nishati safi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kilio

    Rais Samia Suluhu Hassan ang'ara COP31 Uturuki, hoja Nishati Safi ya kupikia mashuleni na Sekta za Afya.

    Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania adhihirisha ubora wake katika sekta ya nishati , Makubwa yanakuja baada ya COP31 Uturuki. #COP131 #SAMIA
  2. Parabolic

    Waandishi wa habari watakiwa kuibua suluhisho la nishati safi ya kupikia

    Waandishi wa habari nchini wamemetakiwa kuandaa habari za kina zinazoibua changamoto zinazowakabili wananchi katika kuanza na kuendelea kutumia nishati safi ya kupikia, ikiwemo gharama, usalama wa vifaa, upatikanaji na usambazaji. Wito huo umetolewa Novemba 13, 2026, na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa...
  3. Zack Abdul

    Watu bilioni moja Afrika hawana nishati safi ya kupikia

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema takribani watu bilioni moja barani Afrika hawana upatikanaji wa nishati safi ya kupikia, hali inayohitaji juhudi za pamoja za Serikali, sekta binafsi na wadau wa maendeleo kuharakisha upatikanaji wa huduma hiyo. Akizungumza leo Novemba 12, 2026 katika...
  4. BLACK MOVEMENT

    Hio nishati safi ambayo Raisi Samia anasifisiwa kupiga hatua ni ipi? Mbona mikaa na kuni zinatumika mno?

    Kuna sifa Samia anapewa ya kuwezesha nishati sala ya kupikia, Sasa huwa sielewi kabisa kawezesha vipi na kwa namna gani? Kuna sehemu nakuwaga daily zinapita lori zimebeba mikaa.Mikaa bado mjini inatumika sana piga picha vijijini huko hali ikoje. Gesi bado zinauzwa kwa bei ya juu sana, haya...
  5. H

    Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lamec

    Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo Oktoba 28, 2026 wakati akizungumza kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu...
  6. TANESCO

    Endesha kwa Umeme, Nishati Safi na Nafuu zaidi Barabarani.

    Umeme wa Kuchaji tunao lakini kupaa, paa "at your own risk." Endesha kwa Umeme, Nishati Safi na Nafuu zaidi Barabarani.
  7. A

    KERO Responded Serikali inahamasisha matumizi ya nishati safi lakini gharama zake zipo juu sana

    Ninaomba kufikisha kero yangu kwa Waziri wa Nishati. Serikali inahamasisha wananchi kutumia nishati safi kama gesi na umeme ili kupunguza matumizi ya mkaa na kulinda mazingira, lakini gharama za nishati hizi bado ni kubwa kwa wananchi wengi. Gesi nayo imekuwa na bei ya juu, mtungi mdogo...
  8. L

    Magari ya umeme ya China yaingia barabarani Tanzania huku magari ya nishati safi yakishika kasi

    Mabadiliko ya Tanzania kuelekea magari ya nishati safi yamepata kasi mpya baada ya kuwasili kwa magari ya kwanza ya umeme aina ya pickup, yanayoendeshwa kwa ushirikiano wa teknolojia na usambazaji wa China. Jenga Taifa Pamoja Auto Limited (JTP Auto), kampuni ya magari ya umeme Tanzania...
  9. iamwangdamin

    Wanawake na nishati safi

    PHOTOS BY ME : HAPPY WOMEN'S DAY . Leo tunapoadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, tunatambua mchango mkubwa wa wanawake katika kujenga jamii bora na maendeleo ya taifa letu. Wanawake wamekuwa mstari wa mbele katika familia na jamii, na sasa wana nafasi kubwa pia katika kuhamasisha matumizi ya...
  10. BigTall

    Waziri Mkuu apongeza TPDC kwa ujenzi wa Shule ya Msingi Likong'o kupitia Mradi wa LNG, akumbusha shule kufungwa miundombinu ya Nishati Safi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na Msingi katika Kijiji cha Likong'o mkoani Lindi inayojengwa kupitia mradi wa uzalishaji na usindikaji wa...
  11. P

    Rais Samia Suluh Hassan Na Nishati Safi

    Rais Samia Suluh Hassan, Afanya Tanzania kama Kitovu cha Nishati Afrika Mashariki Serikali yake imeanzisha mikataba ya kuunganisha gridi na nchi jirani (Kenya, Zambia, Burundi, Uganda). Hii inaiwezesha Tanzania kuuza na kununua umeme—kuifanya iwe kitovu cha biashara ya nishati ukanda wa EAC na...
  12. P

    Dkt.samia Samia Suluhu, Tanzania Nishati safi vijiji

    Mafanikio Makubwa ya serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika mageuzi bora ya nishati safi ya kupikia kwa wananchi kuanzia mwaka 2021 hadi 2025: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita (2021-2025) katika Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia Chini ya Rais Dr Samia suluhu...
  13. henry_john

    Nishati safi kwa Watanzania

    Dkt.samia suluh hassn,kafanya kazi ya Upatikanaji wa Vifaa vya Nishati Safi kwa Wananchi: Kupitia kampeni za kuwahamasisha wananchi kutumia nishati safi, zaidi ya asilimia 75 ya kaya nchini zimeridhia kutumia vifaa vya kupikia vinavyotumia gesi au umeme wa jua kuanzia 2021. Serikali imeweza...
  14. henry_manywili

    Nishati safi kwa watanzania

    Ifikapo 2034 80% ya watanzania watakua wanatumia nidhati safi ya kupikia .asema Raisi wajamhuli ya muungano wa Tanzani Dr Samia suluhu hassan. #Tunmjua.
  15. F

    Kuhusu kampeni ya nishati safi kwa wote na anayosema Polepole kuhusu vitmbulisho vya NIDA

    Ni jambo jema kutumia nishati isiyochafua mazingira na kuumiza watumiaji. Tatizo la wanasiasa wetu kila wanachokipigia debe nyuma yake wanasukumwa na faida binafsi. Watu wanahoji yafuatayo: 1. Kwanini nishati safi suala la matumizi ya gesi linasisitizwa zaidi huku umeme ukiachwa? 2. Kwanini...
  16. BigTall

    Kampeni ya Nishati safi ya kupikia yarudisha uoto wa asili Njombe

    Bodi ya Nishita Vijijini (REB) imefurahishwa na kupongeza hatua za baadhi ya Magereza nchini kuanza kurudisha mazingira katika hali yake ya uoto wa asili baada ya magereza hayo kuacha kutumia kuni na mkaa kupikia na kuanza kutumia nishati safi ya kupikia. Pongezi hizo zimetolewa leo Agosti 21...
  17. Roving Journalist

    Florian Haule: Nishati safi ya kupikia suluhu kukabiliana na mabadiliko ya Tabia Nchi

    Watanzania wameendelea kuhamasishwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Wito huo umetolewa leo Agosti 18, 2025 Mkoani Rukwa na Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Florian Haule wakati wa ugawaji wa mitungi ya gesi ya...
  18. Roving Journalist

    Mjiolojia Nsajigwa Maclean: Tukitumia Nishati Safi Ya Kupikia Tutaokoa Hekta 400,000 Za Misitu Zinazoteketea Kwa Mwaka

    Imeelezwa kuwa matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia si tu yanahatarisha afya bali pia yanachochea uharibifu wa mazingira ambapo takribani hekta 400,000 za misitu hupotea kila mwaka nchini kutokana na ukataji wa miti kwa ajili ya kuni na mkaa, jambo linalochangia kuongezeka kwa ukame na...
  19. Roving Journalist

    Mbeya: Wizara ya Nishati yasisitiza matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda afya na mazingira

    Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia na kutumia nishati safi ya kupikia kama vile umeme na gesi ikiwa ni njia pia ya kulinda afya, mazingira na kuimarisha uchumi wa kaya. Wito huo umetolewa leo na Mwakilishi wa...
  20. T

    Hii kampeni ya nishati safi ni fake na ni porojo mwanzo mwisho

    Yaani hii kampeni ya nishati safi ni kampeni hewa ambapo hakuna uhusiano kati ya kelele zinazopigwa na hali halisi. Siioni nia ya serikali kusaidia wananchi zaidi ya hadithi na porojo na propaganda zinazopigwa kwenye vyombo vya habari. Bei ya gas inapanda kila kukicha wakati viongozi wako bize...
Back
Top Bottom