ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Hunywi bia na hutumii kilevi chochote lakini bado maisha yako ni magumu shida ni nini mkuu?

    Kuna wale jamaa huwa wanapenda kutusema sana sisi wana wa kamtungilei, lakini maisha yao kila kukicha ya jana yanakuwa na afadhali kuliko ya leo....kuna jamaa yangu mwingine huwa anapenda kunisema kuhusu mambo ya mtungilei alijichanganya akaenda kuchukua mkopo wa laki nne kwenye taasisi za...
  2. Tumekuwa Mabingwa lakini hatuna Furaha na tumepoa sana. Shida ni nini?

    Yanga ni Bingwa tena. Lakini sioni kama watu wana furaha. Watu hawana furaha. Wana unyonge na wamepoa sana. Sielewi tatizo ni nini ndugu zanguni wana Jangwani. Kuna nini hakipo sawa? Hebu tufurahieni tuwaoneshe hawa Mikia kuwa kombe tunalo na tunatamba nalo. Tuacheni unyonge. Ni kama...
  3. Dar es Salaam kuna uhaba mkubwa wa sukari ni nini kanaendelea?

    Hali ya upatikanaji wa sukari kwa hapa Dar es Salaam imekuwa mbaya kwa sasa, ni maduka machahe sana inapatikana na ukifanikiwa kuipata basi kama ulikuwa hujui inauzwa kati ya tsh 138,000 hadi 145,000 kwa mfuko wa kg 50 kutoka bei ya awali ya 120,000 ndani ya wiki moja tu, je bodi ya sukari ina...
  4. Kujua maisha ni nini tembelea sehemu tatu

    1. Hospital 2. Jela 3. Makaburini Hospitalini utajua afya ni utajiri mkubwa. Jela utajua umuhimu wa uhuru Makaburini utathamini umuhimu wa maisha. Kuwa mtulivu!
  5. S

    KERO Changamoto ya upatikanaji wa maji Sinza C sasa imekuwa sugu inaweza kupita hata miezi mitatu

    Eneo la Sinza C, hususan karibu na Chuo cha Sheria, ni miongoni mwa maeneo yanayokumbwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji. Wananchi wanalalamikia ukosefu wa maji wa mara kwa mara, huku wakieleza kuwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) haijatoa maelezo ya...
  6. O

    Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

    IVF (In Vitro Fertilization) ni njia ya kitabibu ya kusaidia kupata mtoto kwa kurutubisha yai na mbegu za kiume nje ya mwili wa mwanamke, katika maabara, kisha kiinitete (embryo) kinachopatikana hupandikizwa kwenye mfuko wa uzazi.
  7. Hivi siku AI ikajikomboa na kuanza kuishi kwa maamuzi yake wala bila kuzibitiwa ni nini kitatokea?

    Ni wazo ila ni kweli nazalia nyingi kama sinema na vitabu zinasema miaka ya huko mbele kwa vizazi vingine kutakuwa utawala ambao ni AI . Na unaweza kuwa na vita kubwa kati ya wanadamu na robot ambao mkuu wao ni AI. kuna vitabu vilitabili kama cha Darwin among the Machines cha mwaka 1863...
  8. Fetish ni nini? Mjadala wa kuvutiwa kingono

    Fetish inamaana gani? Neno "Fetish" (kwa Kiswahili wakati mwingine huitwa Fetihi) katika muktadha wa mapenzi na mahusiano lina maana ya kuvutiwa kingono na kitu, tabia, au sehemu fulani ya mwili ambayo kikawaida haichukuliwi kama kiungo kikuu cha uzazi au sehemu ya tendo la ndoa. Mtu mwenye...
  9. UKOMAVU NI NINI?

    UKOMAVU NI MTAZAMO WA AKILI, SI UMRI. HIZI HAPA DALILI ZA MTU ALIYEKOMAA! • Haogopi kuwa peke yake. • Anatambua kuwa pesa siyo mbaya, ubaya ni kukosa pesa. • Anajua kuwa Nafsi inaweza kuwa adui yako mkubwa au msaidizi wako mkubwa. • Anagundua maisha huwa mazuri zaidi pale watu wasipojua...
  10. Sababu ya mabinti wa siku hizi kuzaa mapema ni nini?

    Salama. Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa . U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni kama akili imestuck ,wanavuta Sitara na shisha sasa najiuliza ! Mtoto anamleaje ? Will she be a good...
  11. Hivi wazee ni nini chanzo halisi Cha shinikizo la juu la damu yaani blood pressure especially for young people in their 20's

    Hivi wakuu hili suala lipo aje vijana normal wadogo pressure zinawapata Cha ajabu wengine wanatumia medication kabisa. Karibu tuchangie mada kikaangoni.
  12. K

    Ni nini maana Halisi ya "Kuchapa Mikwaju"?

    Kuna haya maneno yaliyotumiwa ya "watoto watovu wa adabu kuchapwa mikwaju" yaliyotamkwa na mtawala mhalifu hivi karibuni. Ni nini maana ya maneno hayo hasa. Tuchukulie kwa maana ya "kuchapa mikwaju", literally, au kuna maana halisi inayofahamika, na ambayo mifano mingi imeonekana! Watoto...
  13. Tabasamu lako ni ishara ya nini?☺️☺️

    Tabasamu ni nini? 😊 Tabasamu mara nyingi huonekana kama ishara ya furaha Kuna wakati mtu hutabasamu kutokana na jambo zuri alilofanyiwa labda mguso wenye upendo, busu tamu la hisia kuona mazingira mazuri au kitu kinachovutia na kuleta amani moyoni Lakini si kila tabasamu lina maana ya furaha😊...
  14. Upendo ni nini?

    Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali. Hivi upendo ni nini? au upendo unatoka wapi? mtu akipendwa anahisije? ' Maana sisi ni nyama, damu na maji, kwanini mtu akiumizwa kwenye mahusiano yoyote anaumia na wakati hajaguswa? kwanini kuna wivu? Kwanini mtu akimpenda mtu mwingine anakuwa na wivu? No...
  15. Hivi lengo la binadamu duniani hasa ni nini??

    Maana ilikuwa ni tufurahie TU ya duniani ila ndo hivo CCM haipendi kabisa tuwe na raha
  16. Hisia ni nini?🤔

    Je, hisia ni nini? Mara nyingi utasikia mtu akisema baada ya jambo kutokea Nilihisi tu itakuwa hivi au Kabla hii issue haijatokea, nilihisi kuna kitu hakipo sawa Maneno haya hujitokeza mara nyingi baada ya tukio husika kutokea Je, hisia ndizo zinazoitwa machale? Wengine husema :Machale...
  17. Kifo ni nini hasa? Is death really a right or a mystery we don’t understand?

    Kifo ni nini hasa? Na kimeumbwa na nani? Mara nyingi tunasikia wakisema “kifo ni haki ya kila mtu , lakini je, hilo lina maana gani kwa uhalisia? Kwa mfano, mtu akijaribu kujiua na akanusurika, huchukuliwa hatua kali hata kufungwa. Why? Wakati inaonekana kama alikuwa anafuata hiyo “ haki ya...
  18. Ni nini kigetokea kama Shetani asigelikuwepo/Kuasi?

    Tuendelele kuvumiliana wakuu. Hoja yangu ina mashiko hvyo naomba nisikilizwe. Ukisoma kitabu flani cha wasabato kinachoitwa Great controversy (Between {God}Christ and Satan ) Au kwa jina jepesi kinaitwa PAMBANO KUU (KATI YA WEMA NA UBAYA) cha Ellen G White. Kitabu hiki kinasema Shetani ni...
  19. Writing Samples ni nini? Na natuma nini nikitakiwa kwenye job application?

    Wakuu naomba msaada kidogo. Kuna kazi nimeomba (hasa za research na translation), wameomba nitume writing samples. Sasa hapa ndipo napata maswali: 👉 Hizi writing samples ni nini hasa? 👉 Natakiwa kutuma nini? Najiuliza: Je, natuma documents zote nilizowahi kuandika? (maana ni nyingi na zina...
  20. Wakatoliki, hiki ni nini kinachofanyika hapa?

    Ni kitu gani kinachofanyika hapa? Kwa nini Yesu ni mzungu? Kwa nini wanawake ni wengi(zaidi ya 90%) kuliko wanaume katika hii ritual?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…