Mahali popote ukisikia Mtanzania anazungumzia maadili ujue ana makasiriko na ugomvi dhidi ya ushoga, mavazi ya wanawake, wanafunzi kupata mimba labda na kwa mbali single mothers na matusi.
Ni nadra ukute Mtanzania anatokwa na povu kuhusu kuporomoka kwa maadili akiwa anamaanisha rushwa, ufisadi...
Mzazi na akili zako timamu unamchoma binti mdogo sindano au unamuweka kijiti mwanao, ukiwa na lengo la kuzuia mimba.
Hivi hii na kumruhusu kufanya ngono atakavyo kuna tofauti gani? Ameshajua anachomwa sindano au anawekwa kijiti asipate mimba. Maana yake anao uhuru wa kufanya ngono atakavyo...
Picha na video za ngono mtandaoni zinazoonyesha vitendo vya kunyongana au mahusiano ya kingono kati ya watu wenye uhusiano wa damu sasa zimepigwa marufuku nchini Uingereza na Wales.
Sasa ni kinyume cha sheria kumiliki au kuchapisha maudhui ya ngono yanayoonyesha vitendo vya kunyonga au...
Nimekuja kugundua kwamba tamaa ya ngono ni miongoni mwa tamaa hatari zaidi ambazo mwanadamu anapaswa kujifunza kuzidhibiti. Tamaa hii isipodhibitiwa inaweza kuwa chanzo cha mashaka, hofu, matumizi mabaya ya fedha, migogoro ya kifamilia, ajali, kupoteza heshima katika jamii, na hata kusababisha...
Nchi masikini, hauna rasilimali lakini mnamwaga mwaga kila kona
Hao watoto wengi wao ni fatherless, wanalelewa na mama pekee , au wana lelewa na ndugu au bibi maana mama anatamba kujitafuta kwenye mabaa ya sinza na tabata, baba yeye aliikataa mimba amekimbilia mkoani huko na tena huko amempa...
MOD UKITAKA KUBADILI CHOCHOTE SEMA NAMI BWANA NASIKIA ACHA UJUAJI.
MADA
Wakati wa tendo la ndoa, msuguano ukizidi unaweza kusogeza bakteria kutoka kwenye ngozi au eneo la haja kubwa ya ke kuelekea kwenye tundu la mkojo la me na ke simulitaneously, na bakteria hao wanapoingia kwenye njia ya...
Utafiti unaonyesha kuwa 100% ya watu wanaoishi katika umaskini uliokithiri duniani huwaza kuhusu ngono na uchawi, wakiamini kuwa wamelogwa na ndugu zao au kwamba mmoja wao alitolewa kafara.
Huwezi kumkuta maskini akiwaza maendeleo; never! Mawazo yao ni ngono, unafiki, umbea na majungu...
Katika utafiti wangu usio rasmi niliuoifanya mitandaoni vijana wa Tanzania ndio wanaoongoza kufuatilia na kujadili mambo ya ngono/mapenzi na uchawi mtandaoni. Wanafuatiwa na vijana wa Uganda kisha Kenya. Rwanda ni wa mwisho.
Hali hii inasababishwa na nini? Hali ya shibe Iko vizuri zaidi...
Nimeangalia kwaya za AI za kumtania Yanga kushindwa, maudhui ya utani wa kingono ndio yamejaa.
Tena mengine yakijielekeza kwa lugha za siri za mapenzi kinyume na maumbile.
Mfano " Kishundu tumeshakiosha " akionyeshwa model ya mtu mwenye makalio makubwa mwenye mavazi ya kijani na njano.
Utani...
Acha kusikiliza maneno na stori za kuikuza NGONO kwamba ni kitu cha lazima au ni kitu cha kifahari.Chukulia ngono kama njaa.
📌📌HAKUNA SIKU UTAKULA NA UTASHIBA, UKILA YAKIPITA MASAA KADHAA NJAA IPO PALEPALE.
KAA CHINI JIULIZE TANGU UMEANZA KUNGONOKA MPAKA LEO UMEFAIDIKA NA NINI.MFANO JANA...
OKTOBA 2026: TIBELI WOMEN, MWANAMKE MJENZI.
NITASIMAMA.
Kwa wale Wanawake na Mabinti za Tibeli, na Wanaume wenye mabinti, Wake na wanaopenda Wanawake zao.
Mimi Mtibeli, Baba yenu. Nimeutenga mwezi huu mzima. Utakuwa Mwezi wa wanawake wa Tibeli, MWANAMKE MJENZI, kauli mbiu yetu itakuwa...
Sijui ni nini hiki, ila ni Natamani kufanya ngono kila wakati, yaani it requires a little trigger mara wa babeli kusimama.
Ni wapo kazini Nita mu idealize mwanamke wa usafi, ni tamu idealize secretary yaani it goes to the point najiona ningelikuwa bora nijihasi tu, maana hii sio kawaida...
Malia Elizabeth, mama mwenye umri wa miaka 38 kutoka Florida, nchini Marekani, alikamatwa kwa tuhuma za kufanya vitendo vya kingono na mnyama, baada ya mume wake ambaye walikuwa wametengana kugundua video ya kamera za usalama ikimuonyesha akifanya kitendo hicho na mbwa wao wa familia aitwaye...
Kwa nini Watanzania wanaogopa kusema "ngono" au "kutombana" badala yake wanasema tendo la ndoa (act of marriage) ?
Unakuta watu hata hawajaoana wanasema walifanya tendo la ndoa!
Ajabu ni kwamba ni rahisi kutamka "sex" lakini kwa Kiswahili wanaogopa!
Kuna tatizo lipo na ni kubwa lifanyiwe kazi
Ndugu zangu naanza na SISI vijana
Baadhi ya SISI vijana tulio wengi tumekuwa wazinzi ,walevi na wavivu wa kufanya kazi si Wana wake wala wanaume
Ulevi- nani kakwambia ulevi unaondoa mawazo ?hyo buku mbili ya dable kiki
2000 mara mwezi ni 60,000...
Sisi wanafunzi wa IFM tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu kuhusu changamoto inayowakabili wanafunzi kutokana na baadhi ya wahadhiri.
Tulipewa assignment darasani, tukafanya na kuikabidhi kwa mhadhiri husika. Hata hivyo, cha kushangaza, hadi sasa mhadhiri huyo amekataa ku-upload coursework hiyo...
Anonymous
Thread
haki
kuharibu
kutoa
maisha
ngono
rushwa
rushwa ya ngono
wanafunzi
zao
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo, Zuhura Mgeni Othman, amefanya uvamizi katika nyumba inayodaiwa kutumika kama danguro katika eneo la Chanjamjawiri, Kisiwani Pemba.
Katika tukio hilo, DC Zuhura amebaini kuwepo kwa kondomu...
Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.