ngao combat

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlinzi Shujaa_

    KANUNI 4 KUISHI ZA NGAO COMBAT

    1. HESHIMA - heshimu kila mtu. 2. UJASIRI - usiogope adui, kusema kweli na kutenda haki. 3. AFYA - epuka kutumia vyakula au vitu vinavyodhuru akili, mwili au afya. 4. ELIMU - jifunze kila siku, elimu ya ngao combat ni sawa na maji ya baharini, kuyachota yote.
  2. Mlinzi Shujaa_

    NGAO COMBAT - MAANA YAKE NI NINI ?

    Katika ulimwengu wa mbinu za kujihami ( ngao combat ) ni mfumo wa kujihami wa tanzania, ila maneno ( ngao combat ) maana yake ni kama ifuatavyo NGAO ngao ni neno la kiswahili ambalo maana yake kwa kiswahili ni ( ulinzi au silaha ya kuzuia mashambulizi ya adui na kumshambulia adui. COMBAT...
  3. Mlinzi Shujaa_

    Wanafunzi wa ngao combat wamegawanyika katika vikosi vitafu

    1. Kikosi cha kwanza ni (yellow section - kikosi cha njano ) kikosi hiki ni cha wanafunzi wapya ambao wapo katika daraja la ( junior level ). Sawa na kiwango cha awali. Kikosi hiki ni cha wanafunzi wapya wanaojiunga na mfumo wa ngao combat, lengo kuu la kikosi hiki nikumjenga mwanafunzi...
Back
Top Bottom