new

  1. Mr Anova

    JamiiForums Tanzania Hello Jamii Forums!

    My name is Mr Anova
  2. luckWill

    JamiiForums Tanzania Brand New samsung S25 ultra for sale

    Karibu ujipatie Quick Deal Samsung S25 ultra ⚙️256GB - 3,300,000/= ⚙️512GB - 3,500,000/= Top Up Allowed Special offer S24 ultra > S25 ultra lipia 1,900,000/= tu Mobille - 0750240240 Whatsapp - 0768866186
  3. E

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Brand New Samsung S24 Plain

    Brand New Samsung Galaxy S24 128GB ni 1,650,000/- 256GB ni 1,800,000/- CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404
  4. E

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptops Used Clean as New

    Hp Elitebook x360 830 g8 , Core i5-11th Gen, Ram 16gb, Ssd 256Gb, Display size 13.3” , Touchscreen x360 , Backlit Keyboard, Price 1,550,000/= CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404 MAWASILIANO BUS STAND
  5. E

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptops Refurbished Clean as New

    It has Pen which helps it to TouchScreen also👇 Lenovo 300e x360’✅ Intel celeron✅ Ram 4GB✅ Ssd 128GB✅ Touchscreen✅ Kioo inch 12.5✅ Supper slim✅ Pen✅ Bei 350,000/= Tu🔥 CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404
  6. Makungu charles

    JamiiForums Tanzania "ijue Toyota Harrier E new modern"

    Toyota Harrier ni gari la kifahari linalozalishwa na Toyota na linajulikana kwa muundo wake mzuri, utendaji bora, na faraja. Toleo la Toyota Harrier lenye jina la "E New Moden" linajumuisha sifa mpya na teknolojia ya kisasa ambayo inaboresha uzoefu wa kuendesha gari. Sifa za Toyota Harrier (E...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wana JF Mimi nimgeni hapa kutoka Kenya

    Habari zenu Wana JF Mimi nimgeni hapa kutoka Kenya naomba mnikaribishe thank you 🫂
  8. Moaz

    JamiiForums Tanzania The new political system for Africa

    THE NEW POLITICAL SYSTEM FOR AFRICA NAME: The Ubuntu Sovereign System (USS) "Ubuntu" is an African philosophy meaning "I am because we are"—emphasizing unity, responsibility, and justice. The Ubuntu Sovereign System (USS) is a political system designed for Africa, merging religious values...
  9. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania New York: Wahuni waiba TREN ya umeme na kutokomea nayo kusikojulikana

    Amani iwe nanyi Dunia haishiwi maajabu Polisi huko New York wametoa mkanda wa video unaoonesha kundi la watu wakiiba treni iliyokuwa imeegeshwa na kuiendesha. Polisi inasema watu hao walijirekodi wakifanya kitendo hicho kisha wakaposti video hiyo kwenye mtandao wa kijamii. LONDON BOY
  10. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Vitz new model

    Mileage 47000+Km Bei Milioni 11 Taarifa na Documents zote muhimu zipo. Mteja aliye serious , karibu sana 0621 396 550
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wanaopinga " New World Order" ni vichaa

    Wanapinga kitu wasicho kijua. Nimefanya utafiti WA Kina kuhusu New World Order . Nimesoma vitabu ishirini kuhusu " New World Order" . Ninasema hivi dunia hii Ina ihitaji New World Order Kuliko unavyo weza kufikiria. Mngejua New World Order mngetamani ianze hata kesho. Mnadanganywa sijui...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mnyilinga Digital (MD) New Logo

    Mnyilinga digital logo (MD) new 2025 designed by Mnyilinga graphics. Mnyilinga Digital tunatambulisha logo yetu mpya 2025 Wana jamii forums kama unataka logo kali wasiliana na +255 741 502 775
  13. yassird200

    JamiiForums Tanzania Hi Guyz...

    Am new member here! Nimevutiwa na jukwaa hill kwa mambo mengi zaidi kubadilishana ideas,naombeni ukaribisho weni guyz! Asante.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji kwenye AI “ the new bitcoin”

    Mwaka 2009 wakati bitcoin inaanzishwa ilikuwa na thamani ya usd 0.4 ambayo ilikuwa ni kama tsh. 520 tu kwa wakati huo, ilipanda thamani taratibu na hivi sasa miaka 16 baadae thamani ya bitcoin moja ni Karibia Milioni 236 za kitanzania. Aliyewekeza Tsh. 520 mwaka 2009 au Tsh. 22,000 mwaka 2012...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la kigaidi kwa kutumia gari aina ya pickup new Orleans Marekani, 10 wauawa na 30 wajeruhiwa , muuaji akutwa amefariki

    Wadau hamjamboni nyote? Ni shambulizi la kigaidi huko new Orleans Marekani Dereva aua watu 10 na kujeruhi wengine 30 baada ya kuendesha gari kwa spidi kubwa na kuvamia umati mkubwa wa watu walisherehekea mwaka mpya Dereva huyo pia aliwapiga risasi polisi wawili na kuwajeruhi Taarifa kamili...
  16. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Jamaa wameniaharibia Raha ya mwaka mpya na na email ya kifedhuli, hivi new year si siku ya mapumziko?

    Niliomba kazi kwenye hii taasisi wiki iliyopita Sasa Leo nakutana na email na hivi ni mwaka mpya nikajua itakua ni habari njema kumbe ni huu upuuzi 🤣🤣🤣 Thank you for the time you took to express interest in Watu. We regret to inform you that at this stage we have decided to proceed with...
  17. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Happy New Year Max

    Incase kuna ambaye amesalia kuwatakia mwaka mpya basi naomba niwe mimi,. Happy new year Founder Maxence Melo na Uongozi wako mzima wa JamiiForums Active Wand Moderator Payge Paw Mhariri Na Mods wengine niliowasahau Nawasilisha✍✍
  18. M

    JamiiForums Tanzania RC makonda akinukisha Arusha, shamrashamra za new year 2025 za fana.

    Happy new year 2025 wadau wote wa JF. Kama mlivyosikia, sherehe za kupokea mwaka mpya kitaifa zimefanyika Arusha. Wakati dar Mwamposa akivukisha watu na chao, na kule Mwanza wakiomba kutoka viwanja vya Nyamagana. Arusha imekuwa ni habar nyingine kabisa. Vibe la kufa mtu. Mitaa inayoingia...
  19. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Happy New Year Mzena Hospital

    Jobless leo nimewakuta nawawaza sana hawa Mzena hospital. Hivi hawa wakuu wanatumia utaratibu gani kupata wafanyakazi wao nimekuwa nikitamani sana kufanya kazi kwenye hii hospitali lakini sijawahi yaona kabisa matangazo yao ya kazi. Kwa anayejua Mzena wanatumia utaratibu gani kuajiri wataalamu...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya kwa Wana CCM wote, kazi iendelee

    Kidumu chama cha mapinduzI Nawatakia hapoye new year Wana CCM wote katika Bwana Mkawe na MWAKA WA furaha na baraka
Back
Top Bottom