new

  1. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Subaru Impreza new model kuanzia 2012 huuzwa mapema baada ya kununuliwa ! Zinachangamoto Gani ? Mwenye ujuzi atujuze tafadhali

    Wakuu kama kichwa kinavyoeleza nimeanza kuwa na mapenzi ya dhati na Subaru Impreza za kuanzia mwaka 2012 tofauti na matoleo ya Nyuma kwakuwa za Nyuma niliziona ziko chini sana tofauti na hizi new model Wasi wasi wangu ni kuwa nyingi nazo zifahamu au kuziona Mtaani na hata mtandaoni huuzawa mara...
  2. JamiiForums Tanzania Nilipata fursa ya kutembelea Australia na New Zealand nilichojifunza ni hiki

    Wakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA. 1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri kwa miaka 100. 2. Niliona kabisa kuwa Waafrika wengi ni kama hatuna akili hasa tunapokuwa katika...
  3. JamiiForums Tanzania 4 exciting new vacancies at Simera Transport Limited including Tire Inspector, Welding Mechanic and more - December, 2024

    Company Summary: Simera Transport Ltd is a Tanzanian company under private ownership, was founded in 2012 and has since evolved into the preferred choice for road freight transport and logistics. Operating in Tanzania and Rwanda and also has a sister company in Zambia called Motion Logistics...
  4. JamiiForums Tanzania ATC Anzisheni haraka route ya Dar to JFK New York USA

    Shirika la ndege Tanzania- ATC Anzisheni haraka safari za kutoka Dar/Kilimanjaro kwenda JFk New York USA, sababu Kuna abiria wengi sana Toka USA kuja Tanzania. Changamkeni
  5. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop brand new

    chuma hiki hapa,mpya📌 DELL LATITUDE 3380 14inch Display, 7th Generation Intel Core i5, 2.7GHz RAM 8Gb DDR4 Storage 500Gb HDD Battery Health: 100% 6 Month Warranty *Price 520,000/- Phone:0712793505
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Gari Toyota Spacio New Model kukosa nguvu pindi ninapokutana na mlima

    Wakuu habari za Majukumu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, gari yangu hiyo aina ya Toyota Spacio hivi karibuni imekuwa ikikosa nguvu pindi inapoanza kupanda mlima hata kama ni kidogo pia inakuwa kama inamiss hivi sasa sijajua kama ni ishu ya Fuel Pump au maana hata nikijaribu piga ress...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Taa za Toyota Wish New Model hazina mwanga

    Zile taa mnaita beam kwangu usiku hazina mwanga kabisa. Yaani siwezi endesha gari usiku kwa sasa. Maana hazina Mwanga kabisa. Sielewi huyu mdogo wangu yeye alikuwa anatumiaje. Amesafiri nami nimefika kwake nitakuwa hapa kwa 3 weeks so ni gari ambayo nitaitumia sana kabla sijarudi nchi za watu...
  8. JamiiForums Tanzania New Guinness World Record: Hybrid kutoka China imetembea Kilometa 2,200 bila kuongezwa mafuta!

    Ni kutoka China tena. Kampuni ya magari kutoka China ya Roewe wamevunja record ya Dunia kwa kutembeza gari lao la D7 zaidi ya Kilometa 2,200 bila kujaza mafuta wala kuchaji. Ni Plug-in Hybrid inayokuja na engine ya 1.5 L petrol inayotoa 110 hp na electrical motor inayotoa 200hp, na ikiwa na...
  9. JamiiForums Tanzania JF new members only

    Je una swali? Je una changamoto yoyote? Je kuna ufafanuzi unahitaji? Karibu hapa wakongwe wakuhudumie.. Si kila kitu tuwasumbue moderators mengine tunaweza kusaidiana hapa hapa
  10. JamiiForums Tanzania House4Sale Boko: New 4 Bedrooms House For Auction Sale - Dar

    • Direction: Basihaya, the road to Ununio, 600 meters off Bagamoyo Road • Facilities: 4 bedrooms, 3 washrooms, 1 car garage • Plot Area: 1,122 sqm • Document: Title deed • Forced Value: TSH 125 million . ✓ inauzwa na benki kwa mnada ✓ vyumba master 2 na kawaida 2; sebule; dining; jiko na public...
  11. JamiiForums Tanzania New Member From Mongolian Family

    Mzukaa wana jamvi ? Yerereeee!!! Naombeni wana Jf mnipokee leo nimetimiza ndoto yangu ya kujiunga Jf kutokea Umongolian . Wanawake ninaowakubali humu ni pisi Kali BICHWA KOMWE - ,Kwa Wanamume najikubali mwenyewe . Sishabikii timu yeyote ila napenda timu ya Yanga jinsi inavyocheza na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Today the new 14 saints are being canonized in vatican. Let's pray in their names and we will be blessed

    This comes when God said whoever blesses Islael he will be blessed. Impliedly, whoever blesses the new 14 saints he will be blessed. Amen Rome was filled with joy this Sunday as Pope Francis declared 14 men and women saints of the Catholic Church at the Canonization Mass in St. Peter's Square...
  13. JamiiForums Tanzania INAUZWA Kuna Heavy duty balance scale tonnes 80 used na tonnes 60 new karibu sana

    Heavy Duty Scale Balance 1. 80 Tonnes (Used) - Tsh 76.3M 2. 60 Tonnes (New) - Tsh 81.75M Karibu
  14. JamiiForums Tanzania House4Sale Kariakoo: 200+ Sqm New 3 Bdrm Apartments For Sale - Dar

    • Direction: Ungoni Street • Price: USD 120,000 • Terms: 50% Upfront; the rest within 3 years • VAT & Transfer not inclusive in price • Monthly Service charge: TZS 180,000 . ✓ new built (not used before) ✓ lift & power backup generator ✓ unfurnished ✓ 200+ sqm ✓ 1 master & 2 common bedrooms...
  15. JamiiForums Tanzania House4Sale Tegeta: New 4 Bedrooms House For Sale - Dar

    • Direction: Wazo Hill, 1 km off Madale Road • Facilities: 4 bedrooms, 3 washrooms • Plot Area: 1069 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 180 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ vyumba master 2 na kawaida 2; sebule kubwa; dining kubwa; jiko; stoo na public washroom ✓ ina malumalu, gypsum...
  16. JamiiForums Tanzania A City in Africa that is cleaner than New York

    https://www.facebook.com/reel/1609621916563225
  17. JamiiForums Tanzania Si vizuri kumnyooshea mwenzako kidole

    Sio vizuri Kumnyoshea mwenzako kidole. Kumtaja kwamba Yeye ndiye mbaya. Sio vizuri wapendwa. Acha Kuwanyoshea wengine kidole. Yawezekana wewe Ndiye mbaya kuliko huyo Umnyosheaye kidole. Muwe na wakati Mwema. ✍️ 🙏
  18. JamiiForums Tanzania New member

    Habari zenu wakuu mimi ni new member naomba mnipokee sina mengi ya kusema ni hayo tu
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo David Kafulila alivyotua mbele ya sanamu la Mwalimu Nyerere New Delhi nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula. Na ambaye amekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Plots, Apartments for Sale

    Apartments for Sale Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa. Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool. Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili na ishirini) Ina mteja analipa kodi $1500 per month, Kama mtu anataka kuhamia mteja atapewa notice...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…