ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Kama cheti na sheria ya ndoa havitambui kuchepuka iweje u-catch feelings ukigongewa wakati uli-sign mwenyewe?

    Muhali gani waungwana. Naomba niwapotezee muda niende moja kwa moja kwenye suala. Dec mwaka 2020 niiitisha cheti cha ndoa kupitia uzi 👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/mwenye-picha-ya-cheti-cha-ndoa-naomba-a-share-na-sisi-tafadhali.1819295/ Vyeti vikaletwa Mpaka vyeti kutoka nchi za...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke hana thamani, akitamkiwa TALAKA TALAKA TALAKA, ndoa imeisha hapo

    Kwa hakika mwanamke ana thamani ndogo mnoooo.... Ukiachana na talaka halali pale mwanamke akikosea, kuna muda mwanaume anaweza kutaka tu kumfukuza mke wake, hapo akitamka tu Talaka mara 3 basi mwanamke anarudi kwao huko ndoa imeisha
  3. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa mabinti ambao hawajaolewa kuhusu wanaume wakatili kwenye ndoa

    1. Usiogope kuolewa kwa hofu kwamba utauwawa au kupewa ulemavu na mumeo kwenye ndoa! Tangu mwaka umeanza umeanza au ndani ya miaka 10 iliyopita ni ndoa ngapi unazifahamu au za watu maarufu ambazo umesikia mke kauwawa na mumewe? Shetani anakuza ubaya wa mmoja ili kuwakatisha tamaa muone ndoa na...
  4. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Victoria na David Beckham afunga ndoa

    Brooklyn Beckham mwenye umri wa miaka 23 amefunga ndoa na Nichola Peltz. David amewazawadia wanandoa Jaguar ya umeme model ya 1954 bei yake ni £350,000. Baba yake Nichola ni millionaire huko Marekani.
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake msikae kimya kwenye ndoa kwa unyanyasaji kisa watoto

    Maisha yako ni bora sana kuliko ndoa. Watoto watakua tu. Ukiona dalili hatarishi chukua hatua haraka kwani hakuna spea za uhai wako. REST IN PEACE MAMA WA EKUWEMEE!
  6. JamiiForums Tanzania Vijana wa Kiislamu hawaogopi ndoa kama Wakristo

    Wakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa Kikristo hawaoi kama wa Kiislam? Nina maarafiki wa pande zote ndio maana nimefikia hatua ya kujiuliza kutokana na trend niliyoiona. Marafiki zangu waislam wengi wameoa na wanaoa lakini wakristo sioni muelekeo wao kuhusu ndoa. Je, chanzo ni nini...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Vifo na migogoro ya ndoa havitaisha hadi pale serikali ikiruhusu hili

    Migogoro mingi ya ndoa ukipitia majarada ya kipolisi na dawati la jinsia utagundua kwamba kwa 70% ni kutokana na ndoa za kikristu na 15% ni ndoa za kiislam, 10% ni ndoa za kimila (unyumba na wengi wao waishio kinyumba ni wakristu) na 5% inachangiwa na ndugu wa wanandoa wenyewe Hivyo ukichukua...
  8. JamiiForums Tanzania Wakati umefika Serikali iruhusu Ndoa za Mkataba, hizi zilizopo ni msalaba kwa kizazi hiki

    WAKATI UMEFIKA SERIKALI IRUHUSU NDOA ZA MKATABA, ZILIZOPO NI MSALABA KWA KIZAZI HIKI. Anaandika Robert Heriel Yule Shahidi, kutoka Nyota ya Tibeli. Hatuwezi kujidanganya tena, ndoa zilizopo ni mzigo na msalaba mzito Kwa kizazi hiki hasa Kwa watoto wakiume. Waliopo kwenye ndoa wengi wenu...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaowakataa watoto damu zao waliowazaa nje/kabla ya ndoa kuna kitu wanakijua ambacho sisi hatukijui

    Wanaume wanao wakataa watoto damu zao walio wazaa kabla ya ndoa au nje ya ndoa Kuna kitu wanakijua ambacho sisi viherehere tunao wakubali Na kuwalea watoto wa nje/kabla ya ndoa hatukijui. Please fungukeni wakuu ni kitu Gani hicho mnacho kijua ambacho sisi wengine hatukijui
  10. JamiiForums Tanzania Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

    Wadada wenye uchumba sugu. Kuna wadada wapo kwenye mahusiano zaidi ya miaka kadhaa, na wanatamani waolewe; lakini wanaume walionao bado wanawapiga dana dana. Njia rahisi inayoweza kukusaidia, mwanaume wako afanye maamuzi ya haraka katika kukuoa, fanya hivi:- Andaa bajeti ndogo ya laki mbili...
  11. JamiiForums Tanzania Unayemuona anayafaa kwa mwenzako kwako anaweza kuwa hafai hata kidogo

    Hello wakuu humu. Kwanza mimi napingana na ule usemi unaosema ukiniona wa kazi gani tabua yupo anayesema atanipata lini...iko hivi katika ulimwengu wa mahusiano na mapenzi ambayo ndio yanaleta ndoa. mara nyingi walio nje ya mahusiano ya watu fulani ndio huwa tunahukumu mienendo ya wapendanao...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume waliooa wanajulikana kwa kuwatazama tu

    Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi! 1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku. 2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na...
  13. JamiiForums Tanzania Niishi vipi na mwanaume aliyetoka kuachana na mkewe?

    Hello wana JF, Imetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vipi? Maana naona kama wanakuwa na moods sana za on and off na pia kama hayupo tayari kuingia mazima kwenye commitment, kwa mliopo humu...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoharibu ndoa zao(wachepukaji)

    ....
  15. JamiiForums Tanzania Msaidieni rafiki yangu achague lipi kati ya Ndoa au Scholarship (Elimu)?

    Ni rafiki yangu wa kazi, tumpe Jina la John (yupo Halmashauri jirani). Amenipigia simu, na amenieleza jambo fulani nimeshindwa kumshauri. Sababu ya kushindwa kumshauri ni kwamba; mi ningemjibu fasta kuwa PIGA CHINI NDOA fata SHULE ila "the problem is" alishani tahadharisha nisiwe "bias" katika...
  16. JamiiForums Tanzania Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

    Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya. Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani yetu. Wakati huo, hao wakaka walikuwa na miaka 25 hivi kwa kukadiria. Walikuwa warefu, wamejazia, na...
  17. JamiiForums Tanzania Wakatoliki, imekuaje kipindi cha Kwaresma mmefungisha ndoa ya Mrema?

    Habari wana Jukwaa, Niende moja Kwa moja kwenye hoja, imekuaje sheria ya Kanisa imekiukwa Kwa kufunga ndoa wakati wa mfungo wa Kwaresma? Kwa kipindi hiki huwa hakuna harusi au sherehe yoyote Makanisani ikiwemo ndoa. Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi yetu, watu maarufu kupewa kipaumbele hata...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya utata wa ndoa mpya ya Mrema, je, ni kweli ndoa zinaruhusiwa Kipindi cha Kwaresma?

    Baada ya mzee Lyatonga Mrema kufunga ndoa mpya Machi 24, 2022 mitandaoni kukaibuka maneno mengi kuwa inakuwaje mwanasiasa huyo mkongwe anafunga ndoa wakati wa kipindi cha mfumo wa Kwaresma, imebidi niingine chimbo kutafuta majibu. MDAU WA KWANZA (KATEKISTA) Kwanza kabisa nimewasiliana na...
  19. JamiiForums Tanzania Rasmi Mrema anafunga ndoa Kanisani na mrembo wake mweupe...

    Mwenyekiti wa TLP, Augustine Lyatonga Mrema anafunga ndoa na Doreen Mrema, leo Machi 24, 2022 katika Parokia ya Uwomboni, Kiraracha Mkoani Kilimanjaro. Mrema ambaye aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini, kuwa mbunge na kugombea urais wa Tanzania, amekula kiapo cha ndoa katika misa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia aingilie kati tatizo la wazee kuwaoa mabinti wadogo; aagize sheria ya ndoa kurekebishwa

    Jambo wakuu! Sitaki kuwachosha, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kumekuwa na wimbi baya la wazee kuwaoa mabinti wadogo ambao ni sawa na watoto au wajukuu zao na kibaya zaidi, baadhi ya wazee hao waliwahi kulitumikia taifa kwa nyadhifa kubwa. Tofauti na matarajio ya wengi kuwa wazee hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…