ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

    Uislamu ni dini inayokua kwa kasi ulimwenguni, jamii hiyo imefanya maandamano ya amani kuunga mkono ndoa za jinsia moja. Pichani ni waislamu wa uk wakifurahia mwenendo wa maandamano. Nakuacha na nukuu toka kwa Mtume Muhammad, kipenzi cha Waislamu wakweli. Kasema Mtume (s.a.w) "Anamwijia...
  2. JamiiForums Tanzania MTEGO; "Babe ukitaka tudumu kwenye haya mahusiano/ ndoa yetu basi kila mtu abakie na simu yake"

    Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni kauli ambayo imekaa kibusara au kwenye kheri. Hii kauli imevikwa muonekano wa hekima lakini ndani...
  3. JamiiForums Tanzania Jamani, tuwe wakweli: Hali ni mbaya siyo kwenye Ndoa pekee bali hata Mahusiano mengine

    Kumetokea nini kwenye jamii ya Sasa mbona kila sehemu NDOA zimekuwa shubili Yani amani hakuna furaha ya MAHUSIANO hakuna tabu tupu shida ni nini?
  4. JamiiForums Tanzania Uking'ang'ania ndoa kabla ya kutembezeana Mikunyubenga hakikisha lango la Yerusalemu limefungwa

    Je Wajua? Number Plate(Plate Number) Kwa mujibu wa kiswahili fasaha huitwa KIBANA? Chukua hiyo,huishi nayo! Kabla ya ndoa mara nyingi wanaume wanataka kupima kama yaliyomo yamo,siyo mtu anaingia kwenye ndoa halafu anakuja kukuta YALIYOMO YAMO hamna bali Kuna YAMO YALIYOMO! Haya mambo...
  5. JamiiForums Tanzania NDOA NDOANO

    Fungukeni Kama Vase za Dizasta vina, Wengi Wamepita Wanalia na kutovumilia na kuachana na Wenza wao . Tumeona Wasanii Mbali mbali wameachana na Wake zao Kama Alikiba,Omydimpoz,Nay wa Mitego nk
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yakuzingatia kwa vijana katika ndoa

    Ushauri kwa vijana kuhusu ndoa ni muhimu, kwani ndoa ni hatua kubwa inayohitaji maandalizi ya kiakili, kihisia, na kifedha. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Kujitambua na Kujitayarisha Kabla ya kuingia kwenye ndoa, ni muhimu kwa kijana kujitambua, kujua malengo yake maishani, na kuwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wa sasa wamekataa kile wanachokiita Utumwa katika ndoa lakini wamekubali Utumwa katika Pesa

    Salaam, Wanawake wanaharakati wa Sasa Wanadai Ndoa Ni Utumwa kwa Mwanamke kwani anakuwa kama vile anamtumikia Mwanaume pia anakuwa hayupo Huru Kufanya Mambo yake. credit #The dadaz. Pia wanapinga vikali Suala la mahali kwamba ni kana kwamba Mwanamke ni Bidhaa inayoweza kununuliwa. Lakini...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Siku ya tano baada ya ndoa, mume "kapigwa marufuku kushika manyonyo na kutumia kidole" wakiwa faragha

    Ohoo! Kwa masharti haya, jamaa kamix kinoma. Anauliza kila mtu kuwa "huyu mwanamke karogwa nini?" Mke naye haelewi, anadai huo upuuzi wa kunyonya na kuyashika manyonyo yeye hataki kwa kuwa huwa unazeesha matiti. Na pia hataki kuchorongwa na kidole maana mdomo wa "kipochi manyoya" huwa...
  9. JamiiForums Tanzania Zuchu amuwekea Diamond Platnumz sharti zito kabla ya kupata mtoto pamoja

    Wakuu Zuchu kaweka kikwazo, tusubiri Diamond kama atakivuka 😆 Staa wa Bongo Fleva, Zuchu amempa sharti la ndoa Diamond Platnumz ndio waweze kupata mtoto pamoja baada ya Nyota huyo kumuuliza kama anamuamini na atamzalia wakiwa jukwaani wakitoa burudani ya muziki kwenye usiku wa kuamkia Oktoba...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaoisifia ndoa ni wale ambao hawajaingia

    Faraja ha ndoa ni watoto tu, the rest is bullsht, even sex isn't fun anymore once you are in marriage. Babati mbaya kuna hakuna reverse gai. Kabla ya kuoa mwanamke ankua kama malaika vile, ukiinga ndani eeh ni kashetani kadogo hivi ulikokaleta ndani. Sema jf wengi watajifany waki happy na ndoa.
  11. JamiiForums Tanzania Kataa ndoa wanaozalisha wanawake wachukuliwe kama wahujumu uchumi

    Wanaume au vijana wote wanaokataa ndoa halafu wanazalisha mabinti wa watu nafikiri wachukuliwe kama zaidi ya wahujumu uchumi, hawa ni aina fulani ya waharibifu wanaotakiwa kulaaniwa, kupingwa na kukataliwa na jamii kwa ujumla.
  12. JamiiForums Tanzania Wazungu walikataa mfumo wa ndoa wa asili sasa wameangukia kwenye ushoga

    Kinachotokea ulaya hakijaja kwa bahati mbaya bali ni matokeo ya watu kukataa mfumo wa asili wa ndoa ya mwanaume na mwanamke Asilimia kubwa ya mafeminist ni wasagaji na asilimia kubwa ya wanaume wanaokataa ndoa wanahatari ya kuangukia kwenye ushoga Kuvunjika kwa maadili kulikokithiri zama hizi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Watu wa kataa ndoa hii tunaiitaje!?

  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Gwajima, sikia kilio cha Watoto wanaofanyiwa ukatili, Ubakaji, mimba, ndoa za Utotoni Uyui (Tabora)

    “Nilimkuta binti yangu chumbani kwa mpangaji mwenzangu, mbaya zaidi baada ya upekuzi yule mpangaji kumbe alishamnunulia simu binti yangu, na akampa ufunguo wa chumba ili muda wote akimtaka aweze kuingia kwa ajili ya kufanya mapenzi wakati yeye bado ni mwanafunzi.” Ni sehemu ya simulizi ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je kati ya mwanamke na mwanaume nani anafaidika sana kwenye mahusiano ama ndoa ?

    naomba mnisaidie kujibu ili swali maana watafiti hewa wamenichanganya na mchoro wao huu chini
  16. JamiiForums Tanzania Ukila na kipofu usimshike mkono!

    Mhadhara - 46: Upo msemo ambao unasema; "Ukila na kipofu usimshike mkono", lakini pia "Usimnyapie kuku kwenye majani makavu". Kama umebahatika kujipenyeza kwenye ndoa ya mtu au mahusiano ya mtu kwasababu ya faida zako basi punguza mbwembwe, la sivyo utakatwa mapanga mchana kweupeee au utupiwe...
  17. JamiiForums Tanzania Ndoa hazivunjiki kwasababu ya kuoa mke bikira ila kwa kuchunguzana au kupelelezana period

    Huu uzi naundika mahususi kwa kwasababu ya mdau mmoja ambaye anatupigia sana makelele hapa jukwaani kuhusiana na mwanamke bikira,kwa mtazamo wake anaona mwanamke bikira ndio sababu ya utengamano wa ndoa kitu ambacho si kweli kwa asilimia mia moja Kwanza ieleweke sio kwamba hatupendi wanawake...
  18. JamiiForums Tanzania Kataa ndoa naona mmeamua kufika mbali h

    KUNa vitu vina tia sana uchungu
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke unayehitaji ndoa punguza ufundi kitandani

    Kama Binti upo kwenye mahusiano na mtu ambaye unapenda na kutamani awe mume wako unapojaribu kutengeneza mazingira ili mwamba akuweke kwenye mipango yake basi unapokuwa chumbani punguza ufundi la sivyo utakosa ndoa. Wakati wa kuonyesha ufundi ni pale ushapata ndoa tena sio ghafla bin vuu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutumia condom kwa usahihi wakati wa tendo la ndoa (kujamiana)

    Kutumia kondomu kwa usahihi ni muhimu kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa ya 1. Kagua kifurushi: Hakikisha kifurushi cha kondomu hakijapasuka au kuharibika. Angalia pia tarehe ya mwisho wa matumizi. 2. Fungua kwa uangalifu: Fungua kondomu kwa upole kwa kutumia mikono yako. Epuka kutumia meno...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…