ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Mashoga (Kaka Poa) wanavunja ndoa za watu: Dada zetu inabidi mpambanie ndoa zenu

    Katika pitapita zangu za Krismasi, nilijikuta huko Mbezi kwa ndugu nikiwa nasubiri sinia la pilau na nyama ya sungura. Mazungumzo ya hapa na pale yakazua skendo inayotikisa mtaa: Jamaa mmoja alimfukuza mkewe na watoto na kuanza kuishi na "kaka poa" (shoga). Kwa maelezo ya wenyeji, huyo kaka poa...
  2. JamiiForums Tanzania Eti huyu ni mke wa mtu,tena kaolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa na watu wakakusanyika ukumbini kuhudhuria sherehe ya harusi yake.

    Merry Christmas everyone out there. Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana. Hapa chini ni conversation...
  3. JamiiForums Tanzania Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke haitengenezwi kitandani. Ili mwanamke aridhike kitandani, ni muhimu kuhakikisha kuwa ana furaha wakati wote

    🏆🏆🏆 Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke haitengenezwi kitandani. Ili mwanamke aridhike kitandani, ni muhimu kuhakikisha kuwa ana furaha wakati wote💜💜💜. Najua ni ngumu kwani kuna kausha damu, lakini mfanye atamani kukutana na wewe kwa kumuonyesha kwamba unamkumbuka❤️❤️❤️. Kwa mfano, uko kazini...
  4. JamiiForums Tanzania Shilole avishwa pete ya uchumba, ndoa ya tatu yanukia

    Msanii na mfanyabiashara maarufu, Zuwena Mohammed, anayefahamika kwa jina la kisanii Shilole, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake mpya usiku wa kuamkia leo, Desemba 23,2024 Tukio hilo lilifanyika katika hafla ya kifahari ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa katika eneo la Kijitonyama, Dar...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini waimbaji wa injili wa kike hawana ndoa

    Ndoa ni jambo la heri na dini imesisitiza kila aliye na umri wa kuwa katika ndoa basi awe na mwenza Ila 90% ya waimba injili japo ya kuwa wana ijua dini na wanaweza ombea amani katika ndoa ila wao hawana ndoa, kwanini 1. Rose Mhando hana ndoa 2. Martha Mwaipaja hana ndoa 3 Bahati Bukuku hana...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ulie kwenye ndoa, mumeo akipatwa na tatizo la nguvu za kiume, ukiwa na uwezo wa kumtibu utamuhangaikia ama ukamuacha ateseke?

    Imetokea somewhere jijini Dar es salaam, mwanamama mmoja in her 50s,mumewe kapatwa stroke. Mmama ana ana uwezo mkubwa tu which means kwamba anao uwezo wa kumuhangaikia mumewe apate tiba arudi kuwa Sawa lakini kamuacha mumewe kitandani anapigwa na vi benten. What about u mwanamke? Wewe...
  7. JamiiForums Tanzania Tafakari: Mungu anayekataa zinaa anawabaliki watoto wa nje ya ndoa.

    Usijipe mamlaka ya kubeba vinyongo, badilika.
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila ruhusa ya mme wake, ni kosa la kuvunja ndoa

    Hapa wengi watabisha, kwakuwa Mila zetu za ki Africa zilipigwa teke Mwanamke aliyefundwa, aliyeenda unyagoni ni marufuku kunyoa sehemu zake za Siri bila ridhaa ya mmewe Kitendo cha mwanamke kujiamulia kunyoa sehemu zake za Siri ni ishara ya umalaya na dharau kubwa Kwa mme wake Mwanamke kunyoa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wale wenye biashara za familia, hii ndio njia sahihi ya kulinda mali dhidi ya watoto wenye tamaa na majambazi wataoingia kwa njia ya ndoa

    Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea, Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri: Dada yupo kwenye ndoa miezi miwili sasa anaona ndoa kama utumwa

    Tumpe ushauri huyu dada
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Ndoa za Wa Afrika Wengi hazidumu?

    Kwasababu Waafrika wengi , na hapa niwe mchaguo wa Afrika Weusi kusini mwa jangwa la sahara 😅😅 Yes! Ndoa nyingi siku hizi ni fashionable. Eti ili uonekane umeoa. Yani unaweka Milioni 200 kwenye Ndoa. !? Acheni acheni..nasema tena achenii
  12. JamiiForums Tanzania Kwaheri 2024, Karibu 2025, Matukio katika picha. Mpaka sasa kataa ndoa hana goli, mpinzani wake anaongoza kwa goli 3

    Hongera kwa Afande, Hivi kufuta hii kitu tena ukiwa umepiga magoti na mikono miwili tena kimahaba, huwa ina maanisha nini kwenye ulimwengu wa kiroho ? Hii picha nimeangaliaaaaa, nikawaaaza, nikaangalia tena, nikawaza. Jibu la haraka haraka likaja kwamba ndio champagne salute au inaiitwaje...
  13. JamiiForums Tanzania Utatumia mbinu gani kukwepa ndoa ya kimasihara?

    ikitokea Umemleta demu ghetto ukidhani atakaa siku moja mara ghafla anakata wiki nzima, hujakaa sawa anafuata kwao mabegi na baadhi ya vyombo, mara ghafla anaanza kukuuliza mtoto wetu wa kwanza tutamuita nani?, wakati huna hata mpango wa kuoa, je utalikiambia ghetto lako au utatumia mbinu gani...
  14. JamiiForums Tanzania Ndoa ina faida gani ?

    Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa .. Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa...
  15. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya mapenzi na ndoa huitaji mtu mmoja mjinga, two smart people they can’t ever fall in love

    Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye akili mmoja so tafuta mjinga wako au wewe kuwa mjinga ili upate mwenye akili Ni Hilo tu nawafundisha...
  16. JamiiForums Tanzania Taasisi ya ndoa iko majaribuni

    Wanaume wanalalamika wake zao wanachepuka,wanawake nao wanalalamika wanaume wanachepuka,kama hiyo haitoshi wake wanataka kuliwa kwa mpalange na wanaume wanataka kula kwa mpalange,hivi mkichepuka bila kula au kuliwa kwa mpalange hamridhiki?
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke Usiingie kwenye ndoa kama una hivi vitu

    Ndoa ni safari takatifu, lakini kama ilivyo safari nyingine zozote, inahitaji kuwa tayari kabla ya kuianza. Si kila mtu anafaa kuwa mwenzi wa ndoa, na si kila mtu anafaa kuingia kwenye taasisi hii ya takatifu. Kama mwanamke unajiona katika hali zifuatazo, pengine unapaswa kufikiria tena kabla ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaongoza kuvunja ndoa Kilimanjaro

    Binafsi mimi niliamua kuahirisha ndoa yangu na mpenzi wangu tuliedumu fours years kwenye uchumba Baada ya kufika kwao nikakuta mama na bibi, shangazi, mama wadogo wapo lakini, baba, babu, wajomba, baba wadogo asilimia kubwa walikuwa wameshatangulia mbele za haki Miji hiyo yote zinaendeshwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Geita: Wanaume kutosikilizwa kumechangia msongo wa mawazo na Vifo kwenye ndoa

    Imeelezwa kuwa wanaume wengi bado wanakosa nafasi ya kusikilizwa, hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi yao katika familia nyingi, jambo linalosababisha msongo wa mawazo mkubwa, ambao kwa baadhi ya wanaume umesababisha vifo. Hayo yameelezwa kwenye kongamano la...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa jicho la 3 ndoa za Kikristo ni mzigo kwa waume

    Ule msemo wa kosea kujenga sio kuoa huwa unakumbukwa sana kwenye ndoa yenye changamoto na changamoto hiyo ukute ni ya mwanamke utajuta na kuomba poo. Ukishafunga ndoa ni mkataba, mkataba huo unatenganishwa na kifo na uzinzi tu. Mambo mengine yoote nihayawezi kuvunja ndoa. Ukiwa mume mkeo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…