ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Tiwa Savage: Mchepuko ulinidanganya, najuta kuvunja ndoa yangu, nampigia magoti mume wangu anisamehe

    Aman iwe kwenu akina mama na akina Baba wote wa jamiiforum Huko kwa wakuitwa TIWA SAVAGE kimeumana Baada ya mchepuko kumpiga sound naye akajaa leo ndo kaanza kulia Lia na kumkumbuka mume wake wa ndoa --- Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amesema anajutia kuachana na mume...
  2. JamiiForums Tanzania Utapeli wa ndoa na hatima ya mwanaume kwenye jamii

    Salaam jamiiforum Si ajabu kuona vijana Kwa wazee wanapishana katika madanguro au sehemu wanapojiuza wanawake. Yaani vijana umri wa miaka 21 hadi 35 lakini pia kuna umri huu 35 mpaka 55 wote hao wanapishana na kupeana koneksheni ya madanguro (machimbo) mapya. Hii yote inasababishwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Siri 5 za Ndoa Inayodumu

    Kabla hujaingia katika ndoa zingatia hizi siri 5.... 1. Ndoa si bahati nasibu ya mwanzo-na-kushinda - ni agano la kimungu. Biblia inakazia kwamba.. Bwana asipoijenga nyumba, waijengao wafanya kazi bure (Zab 127:1). Jikabidhi kwa Mungu awe mwamuzi wako - Yeye huona kile ambacho moyo...
  4. JamiiForums Tanzania Nasisitiza, itungwe Sheria kubeba Mimba bila ridhaa ya Mwanaume liwe kosa la jinai

    NASISITIZA, ITUNGWE SHERIA KUBEBA MIMBA BILA RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanasheria wa Tibeli. Andiko hili liwafae wale wapendao HAKI. Andiko hili lipitiwe na kujadiliwa na wale Wanasheria wa kusomea na wale Wanasheria wa kuzaliwa wenye MAARIFA na...
  5. JamiiForums Tanzania Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake

    Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake nchini marekani, haimaanishi ukiolewa na tajiri ndio uondoke na mali zake punde mkiachana nataka nikomeshe tabia hii kwamba mkiachana kuna kiasi tu itabidi upewe na hakuna sababu ya kusema ni kidogo kwakua hukuhangaikia, kama unahisi huwezi...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujifunze kushukuru Wake zetu baada ya tendo la ndoa na baada ya chakula

    Pengine ni kutokujua, Mume unapopewa tendo la ndoa na Mkeo ni huduma ile. Unapaswa kumpa Asante mara amalizapo kazi hii adhimu ya kukuhudumia Ili aendelee kuiboresha zaidi zaidi. Na hili huongeza sana ladha ya Mapenzi na upendo kwako. Kadhalika hata anapokupikia na hata kikufulia unapaswa...
  7. JamiiForums Tanzania Thailand imehalalisha rasmi ndoa za watu wa jinsia moja. Ni nchi ya kwanza Kusini-mashariki mwa Asia kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja

    Aisee, Hata unakosa cha kuandika, upuuzi wa kiwango kilichopitiliza.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ile ndoa ya yule jamaa niliyoiharibu,mambo yamezidi kunikalia kooni.

    Wakuu habari za asubuhi? Hivi karibuni nilishare huu uzi hapa. https://www.jamiiforums.com/threads/najuta-sana-kuharibu-ndoa-ya-huyu-jamaa-nitumie-mbinu-gani-kumuomba-msamaha.2278938/ So kilipita kipindi flani cha mpito jamaa akawa anaendelea kunitafuta huku ananipa mikwara mingi sana mara...
  9. JamiiForums Tanzania kitovu cha mtoto kimeharibu ndoa

    kitovu cha mtoto kimeharibu ndoa Kaka angu magical power, nimeamua kuikimbia ndoa ili nimuokoe mwanangu naona walikuwa na nia mbaya juu ya mtoto. Kaka hata kujifungua tu kidogo nifie hospital nikasaidiwa na mkunga kwa uzoefu wake aliywesha dawa fulani ya kienyeji kwaa uzoefu wake alisema...
  10. JamiiForums Tanzania Yakumbuke haya kabla ya kumsamehe mke/mpenzi aliyekusaliti

  11. JamiiForums Tanzania Timu kataa Ndoa kataa kuoa video ya Mama Deborah imetoa picha kwa mazezeta ambao wanafagilia Kuoa kwa kutokujua

    Ndoa na kuoa ni Gereza lenye ghiriba kubwa , ulaghai wa wazi, uchoyo wa wazi, ubinafsi wa wazi. Mwanangu Debora tumekupa Ghorofa la Bahari Beach, Nyumba Madale, Kiwanja DSM na Dodoma. Ndio mtajua hamjui shetani ametawala nyanja ya kuoa na kuolewa. Msukuma kaolewa kifala sana dharau peupe...
  12. JamiiForums Tanzania Nilifunga ndoa na mtu nisie mpenda

    Katika Maisha, kila mmoja anakuwa na ndoto kubwa yenye kumpa furaha Maishani mwake,hata wewe una ndoto ambayo siku moja ikitimia utakuwa ni mwenye kufurahi sana.Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Robson, alisoma, alipata kazi nzuri iliyomuingizia pesa nyingi, alikuwa na muonekano mzuri, mtanashati...
  13. JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa Wazidi kupata Support: Pep Guardiola Talaka Mononi

    Nisikuchoshe ndugu msomaji Kocha hi nguli duniani Mzee Pep Guardiola wa Man City (Naweza kusema muasisi og wa Gusa Achia Twende Kwao) naye limemkuta baada ya wife kuomba taraka kisa jamaa yuko busy sana kutengeneza mkwanja Kwa ajiri ya familia ,imagine wife anakutema kisa tu uko fucus na kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Kasi ya wanandoa kutoka nje ya ndoa zao inatisha na kutishia uhai wa taasisi ya "NDOA"

    Habari za muda huu waungwana wa hapa jukwaani. Sijui ni mimi peke yangu tu ama ni macho ya wengi pia yanatazama kama nitazamavo mimi.... Nimekuwa nikishuhudia matukio kadhaa ya kustaajabisha, kushangaa lakini pia yana hudhunisha kuhusu matukio ya wanandoa kutoka nje ya na vile vile namna...
  15. JamiiForums Tanzania Ndoa kwa watu wa nchi tofauti

    Habari. Naomba kufahamu je. Raia wa kenya anaweza kuona mke Raia wa Tanzania na vipi huyo mwanamke anaweza kwenda kuishi kenya kwa uaratibu gani muda wote? Asante
  16. JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa ni kiuongo muhimu katika kuimarisha mahusiano ya ndoa

    Wanandoa wengi wanaendekeza mazoea ya kuzoeana katika ndoa hadi kufikia kunyimana tendo la ndoa lenye uweledi na kufikia ndoa kuvunjika kwa jambo dogo tu. Mimi ni jambo ambalo na lipa kipaumbele sana na ni miongono mwa jambo ambalo lazima nilifanye kwa ufundi sana na uweledi ulichanganywa na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Jipya la kijiweni kuhusu ndoa ya wake wengi

    Heshima kwenu Haya ni maneno yako yaliyopangwa vizuri kwa kutumia mtindo ule ule: Dogo, wasikusome! Hii dunia ya sasa usikariri. Manjegeka ni mengi, na mambo mabaya ni kibao. Mwanamke akisha kusoma tabia zako tu, anaanza kujihami mapemaaaaa. Mdogo wangu, dunia ya sasa si kila mwanamke ana...
  18. JamiiForums Tanzania Kuoa wanawake wengi sio dhambi

    Kuoa wanawake wengi sio dhambi , dhambi inakuja pale mwanaume unaposhindwa kutimiza majukumu yako kwa kila mwanamke. Mifano ya watumishi wa Mungu kwenye biblia walioa wanawake wengi ipo mingi sana ila inashangaza kuona ukristo unapiga vita ndoa za wanawake wengi. Ila ushauri wangu kwa Dunia ya...
  19. C

    JamiiForums Tanzania MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

    ninayoandika hapa simsingizii mtu bali natoa habari zangu kwenye vyanzo vya uhakika. sasa hivi mc pilipili ana trend baada ya kutangaza kuachana na mwanamke wake na kwenda mbali zaidi kusema ana tamaa huyo mwanamke. kwa wasiomjua mc pilipili hakukurupuka hadi kufikia hatua ya kuwa msanii...
  20. JamiiForums Tanzania PICHA: Kazi ya Padre au Askofu ni kupatanisha sio katika siasa tu hata kwenye ndoa. Wanaoshangaa Dkt Kitima kuwapatanisha CHADEMA hao si wakatoliki

    === Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini. Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…