ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini siku hizi ni nadra sana kunyimana mapenzi isipokuwa ndani ya ndoa tu ndio unaweza kunyimwa live unajiona?

    Nini hasa kimeingilia hapo katikati kwenye mapenzi, kwamba nje ya ndoa hakuna tena uchoyo wala kunyimana suala la mapenzi, unapewa tu kirahisi hata na mwenye ndoa, ila cha kushangaza ndani ya ndoa hata mwenye ndoa mwenyewe ananyimwa na anaweza kupewa kwa mbinde sana au kwa ratiba na masharti...
  2. JamiiForums Tanzania Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

    Wakuu Kama mnavyojua jambo lao ni leo (MAHARI DAY 15TH FEB 2025) Soma: Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini “kataa ndoa” wengi ni vijana wa kikristo?

    Ngoja tu nianze kwa kusema, This is all "Allegedly". Observation yangu ni kwamba vijana wengi wa kataa ndoa asilimia kubwa ni vijana wa kikristo, au wana background ya kikristo au ni atheists. Yes kila mtu ana experience zake but kwa mm, watu ambao nime interact nao(kweny mada za ndoa na...
  4. JamiiForums Tanzania Aziz Ki ni 18+, ndoa ni yake sio mzazi.

    Kuna watu wanatafuta negatives TU kwenye maisha ya wengine. Aziz Ki ni mtu mzima, anahitaji kibali cha nani kumuoa mke yupi?. Ni mtanzania yupi anajua taratibu za kabila la Aziz Ki kwenye kuoa zaidi ya Aziz Ki mwenyewe? Kuna watu wanatamani kutia doa ndoa ya Aziz Ki kana kwamba wameombwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ndoa za vijana wa kiume na wenza wenye Umri mkubwa kuwazidi!.

    Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni namba tu!,Kwa nini tupoteze muda tukisema ‘umri ni kikwazo’? Wakati mwingine, mapenzi ya kweli...
  6. JamiiForums Tanzania Changamoto nazopitia kwenye ndoa

    Habari za leo wakuu, Nianze kwa kusema hivi wanawake wasilaumu kwanini1 wanaachiwa watoto, wanatengeneza mazingira hayo wao wenyewe. Mimi umebaki tu upendo kwa mtoto wangu wa nampenda sana bila hivo nilikuwa naachana na huyu mtu kwanza hasikii hajui mume wake nataka nini ktk maisha yangu japo...
  7. JamiiForums Tanzania Ndoa za Watu Mashuhuri ni mithili ya Kuabudu Sanamu la Ng'ombe: Kina Aziz K, Mobeto na wengine wanatudidimiza Kinafsi na Kiimani?

    Huwezi kukataa kuwa jamii yetu inazidi kushikwa mateka na utamaduni wa kuabudu watu mashuhuri. Ndoa ya Aziz K na Hamisa Mobetto imethibitisha tena jinsi watu maarufu wanavyoweza kuteka fikra za umma na kuufanya mjadala wao kuwa ajenda kuu ya kitaifa. Lakini hii si mara ya kwanza. Mwaka 2018...
  8. JamiiForums Tanzania Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

    Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya 1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize, Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe. Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike. Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata...
  9. JamiiForums Tanzania Tukio gani la kuchepuka lilikufanya upoteze imani kwenye taasisi ya ndoa?

    Mjomba alifia gesti Dodoma akiwa na mchepuko ambaye ni mwanafunzi wa chuo. Huyu baba alikua mtu maarufu kwenye siasa na alivyofariki, ilitangazwa kwamba alifia njiani wakati akikimbizwa hospitali kwa mshtuko wa moyo. Ukweli ni kwamba alifia lodge, msichana aliyekua naye akampigia simu uncle wetu...
  10. JamiiForums Tanzania Inahitaji akili mingi sana na ujasiri kuwa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu

    Wakuu kwa upande wangu naona hili suala ni changamoto kubwa mno. Inahitaji kuwa fit kisaikolojia ili kwenda sawa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu. Binafsi imetokea mara kadhaa kukutana na wanawake wenye hizi sifa lakini ilikuwa ngumu kudumu kwa sababu yeye kuwa chini yako kwa 100%...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Katika kila ndoa za wachezaji 100 wa basketball NBA Marekani, ndoa 87 zinavunjika baada ya wachezaji kustaafu,

    Ni mchezo uliojaa wachezaji wengi Wamarekani weusi na waafrika waliobadili maisha yao kwa mishahara inayoenda mpaka bilioni 3 kwa wiki Huwa ni vijana warefu wenye miili ya mazoezi, wanatupia pamba za bei, mkwanja upo wa kutosha, Ni ngumu kuambiwa NO wakitupa ndoano Lakini kuna mchezo mchafu...
  12. JamiiForums Tanzania Unapata Ogasm mara ngapi kipa ukifanya tendo la ndoa?

    Ndio ivyo Swali lijibiwe kama lilivyoulizwa Au wewe orgasm yako ni pesa, ukipewa pesa ndio unaipata? Happy Valentines Day to you all
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini ikifika valentine na mfungo ni kama ligi mpya za ndoa

    Hii miezi ni kipindi cha mapenzi mubashara na wapenda dini sana kuingia kwenye ndoa.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa ni dawa. Kukaa muda mrefu bila kufanya sex kunaharibu afya ya akili.

  15. JamiiForums Tanzania Ukristo unaruhusu ndoa ya mke wapili kwa mujibu wa andiko hili

    Ukisoma Biblia, kutoka 21, 10. Inasema "Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa." Ukisoma toka mwanzo utagundua kuwa utagundua hapa yamezungumziwa mambo ya kuachia watumwa.. Sipingi hilo, lakini kitendo tu cha...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini Tunaoa? Ni Lini Ndoa ina-expire na hautakiwi kufikiri Kutoa Talaka.

    KWA NINI TUNAOA? NI LINI NDOA INA-EXPIRE NA HAUTAKIWI KUFIKIRI KUTOA TALAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Lazima ujifunze, kabla hujakipokea kitu au Jambo lolote lazima ujifunze namna ya kukitumia na kukiacha siku kikiwa Expired na useless. Hiyo ni Kanuni. Ndoa ni muunganiko wa hiyari...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Kikristo ina vigezo gani?

    Ndoa ya Kikristo ina Vigezo Gani Hii ni ndoa inayofungwa katika kanuni timilifu za Mungu alizozikusudia tangu mwanzo. Vigezo vinavyohusika vimeainishwa katika sehemu zinazofuata hapo chini. Wote wawe waumini (2Wakorintho 6:14-18) Kuamini si lazima muwe katika viwango sawa kiroho, lakini wote...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwa research niliyofanya, Ukioa mwanamke kwao ni first born na kalelewa na wazazi wote ni wife material na wavumilivu

    Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa. Conditions: Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana Kutakuwa kuna...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kuandika SMS kwa namna hii kunaweza kusabisha kizaa zaa kwenye ndoa ya mtu wako wa karibu

  20. JamiiForums Tanzania HILA SISI!; Sitii Neno Katika Hii, Hebu Soma Kwanza!.

    Alafu sema hitimisho lako linakuwaje katika mchezo huo ili huyu mama aendelee kuwa nawe?.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…