ndoa

  1. JamiiForums Tanzania MWANAUME KAMA ULIVUNJA NDOA KABLA YA MIAKA KUMI ULIKOSEA.

    Habari wana Jamiii. Wenzangu.. Bila kupoteza muda. Nimeamua kushare na wenzangu humu jukwaani uzoefu wangu niliopitia katika ndoa. Ipo hivi nime ngundua kufanya Utafiti usio rasmi. Kuwa mwanamke ambaye unaishi naye (Bila kujali umeuoa au laa) akitoa kauli ipuuziee kwa sababu wanawake huongea...
  2. JamiiForums Tanzania Je bado wanawake wa Kijijini wanadumu kwenye ndoa za mjini?

    Kuna dhana kuwa ni bora kijana wa mjini kuoa mwanamke wa kijijini kwa sababu hudumu zaidi kwenye ndoa kuliko wanawake wa mjini ambao wengi wao ni wajanja wajanja. Watu wengi wenye mtazamo huu huzingatia kiwango cha heshima, uchapakazi na utulivu wa tabia kwa wanawake wa mjini ukifananisha na...
  3. JamiiForums Tanzania Someni hapa kuhusu Uchumba vs ndoa na ratiba

    Kuna kitu nimekiona kwenye kesi nyingi za ndoa ila si wazi kusema wakiachana. Uchumba hakuna ratiba ya kuombana kuhusu upwiru. Ila mkiwa kwenye ndoa ndio mnaanza katiba za wasiojulikana mwisho wasiku mnaishia kugombana kwa upwiru wenu. Ndoa nyingi zimevunjika kwa ratiba za upwiru.
  4. JamiiForums Tanzania Utamu wa Kuoa: Hii Siri Mabachela Hawaijui

    Ndugu zangu wababa na wavulana wenzangu, Nimekaa nikafikiri, nikasema ngoja niwape ukweli bila chenga – KUOA ni raha, ni utamu, ni burudani ya moyo na mwili, ila kwa wale walio tayari na wanaelewa maana ya kuwa na mtu wako wa kudumu. Na sasa ngoja nizungumzie kwa staha lakini bila kujizuia –...
  5. JamiiForums Tanzania Kuwa mwana CHADEMA, siyo ndoa, kila mmoja anahaki, utashi na maamuzi binafsi!

    Tunashuhudia baadhi ya viongozi wa Chadema wameanza kuhaha Huku na kule, wengine kumpigia simu mwenyekiti mstaafu kumuuliza, uelekeo wake kisiasa, huku ajenda kuu ya Chama kwa sasa ikiamia katika kujitetea na kukaza moyo, ya kwamba waliwaita kwenye vikao bagamoyo lakini walijibiwa ngoja tumzike...
  6. JamiiForums Tanzania Maombi ya kuondoa nyumba ndogo kwenye ndoa yako

    Asikwambie mtu JAMAN hili n janga la taifa kama sio dawa sugu YAAN wengine wake zetu wanapiga maombi mpaka basi na wanavyoongeza maombi na Hawa NDUGU small house wanaongezeka Mwenye kujua maombi maalum ya kupunguza ama KUONDOA NYUMBA ndogo tujuzane pls hapa Tupige tobaaa
  7. JamiiForums Tanzania HAKI ZA MWANAUME KTK NDOA N ZIPI??

    ZItafuteee mapema Usipozijuaa wenzioo watakusaidiaaaa nduguuu Zitafutee uzifanyie KAZI Na nyie wanawake tafuteni kujua haki zenu ktk ndoaaa
  8. JamiiForums Tanzania Kataa ulimbukeni na uzinzi linda na penda ndoa

    Nimekuwa nikisoma kampeni chafu na uchwara za kataa ndoa zinazosambazwa na kutangazwa humu. Sifichi msimo wangu. Nachukia wale wote wanaokataa ndoa na kutaka kulazimisha wengine. Kama wanazikataa tokana na matatizo yao fichi, ni haki yao. Lakini wasilazimishe wengine. Nami hapa silazimishi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ndoa za waliovuka 30 hazidumu, wengi huwapati nafasi ya uchaguzi sahihi, wanajitupa kokote kupunguza maneno

    Vijana wengi wanaovuka miaka 30 bila ndoa hukumbana na pressure ya matarajio na maswali mengi kutoka kwenye jamii inayowazunguka: Unaoa lini? Kwanini hujaoa/hujaolewa? Wenzako wanaoa/kuolewa, wewe unasubiri nini? Hivi kaka/dada, usingizi unautoa wapi huna ndoa? Unasubiri nini? Huko kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

    Rejea kichwa cha habari.
  11. JamiiForums Tanzania Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

    Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa. . Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Rebecca Gyumi kapotelea wapi? Chezea NDOA wewe!

    1. Mwanaharati huyu Enzi za jiwe alikua na kampeni mujarabu ya kupinga Sheria ya ndoa na alifanikiwa kushinda mahakamani. 2. Sasa yeye alipoingia kwenye NDOA naona kapotea Mazima. NDOA ukiingia kiuhanarakati lazima uchechemee kama umekanyaga nnya
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni changamoto

    Nimepita kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii... Aiseh ni ganzi. Ni tamaa, mapenzi au kujienekeza. Mwanamke yupo kwenye ndoa lakini akarudiana na EX wake na wakazaa hadi mtoto
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mke haombi Wala kutengeneza mazigiria yakuhitaji tendo la ndoa Hadi aombwe

    Habar wakuu hivi mke kutokuomba tendo la ndoa Wala kutengeneza mazigira yakuhitaji tendo la ndoa,yaan mpaka umuombe ila huwezi Kuta anamazigira ya kuhitaji au kuomba ukipiga kimya hitaona ishara zakuhitaji Wala kuombwa. zaid siku utaambiwa hujui wajibu wako
  15. JamiiForums Tanzania Tanga wanaume wengi kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao kiufupi wanaume wanapigiwa sana,wanaume wapo weak na wavivu sana

    Sijawahi kuona wanawake wa ajabu kama mkoa wa Tanga japo wanawake hawatofauti ila wanawake wa Tanga wamezidi huu mkoa bwana aisee unakera sana na una wanaume weak sana aisee wananikera na kunichukiza aisee na wanaume Wengi sana kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao Yaani unaweza kati ya...
  16. JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwanamke / pesa za mwanaume sio kila kitu kwenye maisha ya ndoa

    Wanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja kutambua kumbe kwenye ndoa kuna vitu muhimu zaidi ya uzuri wa mwanamke na mwanamke pia anatambua kumbe...
  17. JamiiForums Tanzania Tamko la kataa ndoa dhidi ya chama cha CHAPUTA!.

    Awali ya yote natumai mu buheri wa afya.. Mimi kama katibu wa chama cha kataa ndoa, napenda kutoa rai ama ushauri juu ya chama cha CHAPUTA yani chama cha wapiga punyeto Tanzania!. Kwanza ieleweke hivi kwa watu wote chama chetu cha kataa ndoa si kwamba kukataa ndoa ndo kukosa mpenzi!, la...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga mmojawapo wa waafrika wafia dini ya ukristo ni kufungishwa ndoa na viongozi wao wasio na ndoa

    Huu ni unafiki nkubwa na ujinga uliopitiliza linapokuja swala la mkristo kufungishwa ndoa na viongozi wa dini ambao wao wamekatazwa kuoa na hawana ndoa wala uzoefu wa ndoa. Kufungishwa ndoa na kushauliwa maswala ya ndoa na padri asiye na mke ni ukichaa kwani hana uzofu kwa hiyo hapa ni kupigana...
  19. JamiiForums Tanzania Kasema napika vizuri kumzidi mama yake mzazi

    Jana, nilikua sijisikii vizuri sikwenda kazini, na baba watoto akasema na yeye haendi atabaki na mimi afanyie kazi nyumbani, hali yangu haikua mbaya kivile, so nikashangaa ila nikashukuru basi, siku ikawa poa, ikaisha. Jioni hii tumekaa tunapunga upepo, out of nowhere, kaanza kusema ikibidi...
  20. JamiiForums Tanzania Ndoa ni ngumu wakuu! Hebu fikiria uungane na mtu ukubwani halafu uanze kumletea sheria zako

    Ndoa ni ngumu wakuu! Hebu fikiria uungane na mtu ukubwani halafu uanze kumletea sheria zako na azipokee tu kirahisi, sio kweli! ni lazima kuwepo na jambo la ziada kutoka kwako kabla ya sheria zako kusimama. Aliyeleta uzi kuwa ndoa inapendeza zaidi mkipishana umri angalau kwa uchache mwanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…