ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Picha: Ndoa siyo klabu ya mashindano

    NYENYEKEENI WAUME ZENU: Ndoa nyingi zinaendelea kuvunjika kwa sababu uanaharakati wa kijinsia (feminism) umewafundisha wanawake kwamba hawapaswi kuwanyenyekea wanaume zao. Lakini ukweli ni kwamba, ndoa haikuwahi kuwa kwa ajili ya viongozi wawili. Mara tu mwanamke anapokataa kumruhusu mwanaume...
  2. JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya ila Ali Kamwe ni matunda ya kulelewa na mzazi mmoja,vijana lindeni ndoa zenu

    Mtoto aliyepata malezi bora ya baba na mama utamjua ukubwani,huwa hawana adabu na hawajui waongee nini na wakati gani. Kuna familia wazazi wote wapo pamoja ila mmoja yuko bize sana mpaka analelewa na house girl badala ya wazazi. Kuna waliotengana kwa sababu mbalimbalihivyo mtoto kukosa upendo...
  3. JamiiForums Tanzania Changamoto za Kukutana na Ndugu Wakati wa Sherehe: Kero au Furaha ya Familia?

    Sherehe zinapofika – iwe ni Krismasi, Eid, harusi, au hata birthday ya bibi – kuna kitu kimoja hakikosekani: kukutana na ndugu. Na hapa ndipo mambo huanza kuwa moto! 😂🔥 Kwa wengine, hii ni nafasi ya kufurahia, kula nyama choma, na kufufua kumbukumbu za utoto. Kwa wengine, ni msiba wa kisirisiri...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Al Masry SC 2-0 Simba SC | Robo Fainali CAF CC | New Suez Stadium | 02.04.2025

    Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika. Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku 🏟️ New Suez Stadium Kaa karibu kwa Live updates Vikosi vya timu zote (Team news) Mechi imeanza 4' Mashambulizi kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Je, kwanini ndoa imekuwa ngumu kufikiwa?

    1️⃣ Matarajio Makubwa – Watu wengi sasa wana vigezo vingi vya mwenza wanayetaka. Wanaume wanataka wanawake wenye heshima, waelewa, na waaminifu, wakati wanawake wanataka mwanaume aliye stable kifedha, mwenye malengo, na asiye na michepuko. Lakini mara nyingi, watu wanakutana na wenza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau, ni namana gani naweza kuvunja ndoa?

    Mimi ni mtumishi na mke wangu ni mtumish wa umma, Kwa hivi karibuni amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau jambo ambalo linanikwaza pia. Pia ni mbishi kwenye mambo mengi plus ujuaji mwingi, nimefikiria nivunje ndoa kiaina ili niishI maisha yangu peke yangu bila bughudha ya mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Nilimuoa mwaka 2003 ndoa hii ina mambo mengi sana

    Habari za usiku. nina mke yapata miaka mingi imepota. Ana 40 na mimi nina 55 Sijawahi kumfumania Sijawahi kumuona kero Ushauri wenu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayesema wanawake wote wa makabila haya ni wasumbufu kwenye ndoa lakini kwanini wanaongoza kwa kulalamikiwa ?

    Kuna principle inasema to every rule there is always an exception, hata kwenye kundi linalosifika kuwa wasumbufu wapo waliotulia mpaka utashangaa na katika wale wanaojulikana wametulia wapo ambao ni wasumbufu pasua kichwa, kwahio haimaanishi ni wote. kwanini wanawake wa makabila haya wanaongoza...
  9. JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda kwenye ndoa yangu mpya. Naomba mnishauri mliooa 🤔

    Nimeoa mwanamke msimbe wenzetu wanaita single mothers Penzi ni tamu tu anaikatikia inavyotakiwa bila tabu kabisa 😋 Sasa changamoto imejitokeza wakubwa wangu Huyu dada ana mtoto mmoja wa kiume mdogo tu around 7 ivi Alinishauri tutafute kiwanja kweli buana uku na kule nikavutia waya...
  10. JamiiForums Tanzania Uvumilivu wa Ndoa: Kuachana Haraka au Kutatua Migogoro?

    Siku hizi, ndoa zimekuwa kama subscription ya Netflix—ukiona haikufurahishi, unabonyeza cancel fasta! 🤷‍♂️ Wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye ndoa kwa miaka 30+ hata kama kulikuwa na matatizo, lakini kizazi cha sasa? Umetofautiana na bae mara mbili, unaita ndugu, unaandika status za toxic...
  11. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu jamaa anaedai kuibiwa vitu na hela milioni tano na alie kuwa mke wake wa ndoa.

    Huenda jamaa kamuua mke wake. Na hii story ametengeneza kama Alibi. Ushauri: Ahojiwe vizuri, anaweza akawa anajua mke wake yupo wapi. Thank me later 🙏🙏🙏🙏
  12. JamiiForums Tanzania Mke wa ndoa atokomea kusikojulikana na mali zote za mumewe pamoja na kiasi cha Shilingi milioni tano

    Maisha yana mitihani na mikasa yake kila kukicha na leo imekuwa zamu ya Kijana Philemon ambaye mwaka 2019 aliamua kuondoka nyumbani Kigoma na kuja Dar es salaam kujitafutia maisha ambako siku moja akiwa kwenye Stendi ya Mabasi ya Makumbusho alikutana na Mwanamke aliyempenda na kufunga nae ndoa...
  13. JamiiForums Tanzania Mnaofunga ndoa na watu ambao mmepishana umri kwa zaidi ya miaka kumi huwa mnaongea mnapokuwa chumbani?

    Tajiri huwa hasalimii kila wakati. Unakuta mwanaume ana miaka 45=50 anaenda kumuoa binti wa miaka 18=22. Ama mwanamke mwenye miaka 40=45 anaolewa na kijana wa miaka 24=26. Hivi huwa wanaongea nini huko chumbani. Kuna kipindi (kabla sijajiunga na KATAA NDOA, ) nilihitaji mke kwa ajili ya...
  14. JamiiForums Tanzania Nini maana ya mlango wa nane kwenye maisha na ndoa?

    MLANGO WA NANE Mnamo march 2015, mdau wa JF anayejulikana kwa jina la Pucilio alileta uzi ambao unahusisha watu na mikosi kwenye maisha ya ndoa. Alisema kwamba kuna aina ya watu wana mikosi ya kuzaliwa nayo na mikosi ya kutupiwa. Ukimuoa/ukiolewa nae suala la maendeleo utalisikia kwa wenzako...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi hili suala la kuhudumia ni la mwanaume tu au hata mwanamke wanapokuwa kwenye mahusiano au ndoa?

    hili suala la kuhudumiwa kwa wanawake naona limekuwa sheria kwenye mahusiano au ndoa japo kuhudumia sio jambo baya lakini naona sasa limekuwa sheria. yani unakuta hata kwa wale wenye kazi zao bado wanataka kuhudumiwa kwa hela za mwanaume kwenye kila kitu pekeyake hata kama mshahara ni sawa...
  16. JamiiForums Tanzania Ngolo Kante afunga ndoa huko Bamako, Mali

    Mchezaji asiyechukiwa, aliyepita vilabu kama Leicester City, Chelsea, na sasa anakipiga uarabuni Ngolo Kante amefunga ndoa baada ya kuachana na mwanamke wake wa awali. Ndoa ya Ngolo Kante ni ndoa simpo sana ambayo haikuwa na makuu. Kwa msiofahamu, Ngolo Kante analipwa Dola za Marekani...
  17. JamiiForums Tanzania Kati ya mwanamke na mwanaume, nani huathirika zaidi ikitokea ndoa imevunjika?

    Kati ya mwanaume na mwanamke, nani hupitia maisha ya tabu zaidi ndoa inapovunjika? tukitazama hali halisi ya maisha ya Watanzania, ukweli unauma: wanawake wengi wanakosa uhuru wa kiuchumi! Mwanamke wa Kitanzania analelewa kuamini kuwa mwanaume ndiye "mkombozi wake" kifedha. Matokeo yake...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yetu ione jinsi gani itaruhusu ndoa za mkataba

    Zitasaidia kupunguza baadhi ya matatizo katika jamii zetu, zitaondosha magomvi juu ya Mali za wanandoa, zitaondosha wanawake matapeli wa ndoa wenye dhamira za mali na si mapenzi ya kweli, maana mali za kila mmoja zitabainishwa, na mali mpya chumwa zitabainika, pia kwa kuwa ndoa hizi huwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Jamvi la wanawake: Ni kazi gani za nyumbani anapaswa kufanya mwanaume / mume akitoka kazini?

    Binti mwenye ndoa yake changa kaja kulalamika kikaoni kwamba mumewe hafanyi shughuli yoyote wakirudi nyumbani japo wote wanafanya kazi na wanatoka asubuhi kwenda kazini na kurudi jioni. Wanaishi nje kidogo ya mji ila wana usafiri, hivyo huwa wanapitiana baada ya kazi na kurudi nyumbani pamoja...
  20. JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya Ndoa

    Weka neno moja kwa Kaka mkubwa katika miaka yake 10 ya ndoa! Hajawahi kumpiga mke wake, na amekuwa akifanya kazi zote za nyumbani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…