ndoa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa: Ni nani aliyewaroga?

    Najua ni utoto unakusumbua tu ukikua utaelewa namaanisha nini hapa. Endelea kujisevia malaya wageuze uwezavyo kwa style zote upendazo. Kumbuka utazeeka macho yako hayataona nuru tena na mikono itakuwa imechoka na hapo utahitaji msaada hutaupata. 1.Utaugua na utakosa hata mtu wa kukugeuza...
  2. JamiiForums Tanzania Ndoa ya Miaka 30 Kuishia Talaka: Makosa Mapya au Uvumilivu Uliofika Mwisho?

    Familia Hivi nini hupelekea watu waliokaa kwenye ndoa miaka 20+ au 30+ kuachana? Huwa ni tabia za zamani ambazo mmoja wao alikuwa akijipa moyo na muda na kuvumilia akidhani tabia itarekebika? Nina mfano hai wa mama wa familia fulani Mume amempa talaka mke wake ambaye wameishi pamoja kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt Chemical anafundisha nini huko UDSM kama hajui Ndoa ni sehemu ya mafanikio ya mtu both Mwanaume na Mwanamke?

    Dkt CHEMICAL ANAFUNDISHA NINI HUKO UDSM KAMA HAJUI NDOA NI SEHEMU YA MAFANIKIO YA MTU BOTH MWANAUME NA MWANAMKE? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ndoa ni moja ya vipimo vya mafanikio ya mtu. Hilo mtu yeyote ambaye anaakili timamu analijua. Sasa mtu umeenda shule mpaka umefika chuo kikuu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa za kumaliza kelele za “unaoa lini?” zimefanya watu waishi ndani ya ndoa kama wakimbizi wanaotafuta hifadhi

    Kuna watu walioingia kwenye ndoa si kwa sababu walikuwa tayari kuoa au kuolewa, bali walikuwa wamechoka na kelele za ndugu, marafiki na jamii za “unaoa lini?” Wakaingia kwenye ndoa ili wapate amani, kumbe wamejikuta wanaishi ndani ya ndoa kama wakimbizi wanaotafuta hifadhi!
  5. JamiiForums Tanzania Rate ya vifo vya wanaume kwenye ndoa ni kubwa kuliko ya wanawake , wanawake Wana immunity kubwa sana

    Mungu aliwajalia wanawake neema ya kuishi maisha marefu. Hata ukiangalia mortality rate, utagundua kuwa watoto wa kiume ni delicate kufa kuliko watoto wa kike. Kwenye hili: Mungu anamakusudi makubwa kwasababu UPENDO WA MAMA always UPO WAZI KWA KILA MTU wanawake, wamezaliwa na upendo Daima ♥️ ...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Je, ulikuwa unajua talaka ya Kiislamu kisheria inakua bado haijavunja ndoa?

    Talaka ya Kiislam kama inavyotambuliwa na Kifungu cha 107(3) cha Sheria ya ndoa ni ushahidi kuwa ndoa imevunjika pasi kurekebisha lakini haivunji ndoa kisheria kwani mamlaka ya kuvunja ndoa yako kwa mahakama. Hivyo unaweza kuwa umetalakiwa kihalali kwa dini na imani ya Kiislam lakini Kisheria...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama yavunja ndoa kisa mke ana maji mengi

    Mahakama ya Chelstone (Chelstone local Court ) jijini Lusaka, Zambia, imevunja ndoa ya Trevor Banda mwenye umri wa miaka 36 na Loveness Mukwato mwenye umri wa miaka 27 baada ya wanandoa hao kushutumiana kwa uzinzi na kushindwa kuelewana katika ndoa yao. Katika kesi hiyo, Loveness aliiomba...
  8. JamiiForums Tanzania Sioni faida yoyote ya wamatumbi kuwa Katika mapenzi ya kudumu au ndoa

    Akili zetu wamatumbi hazina uwezo wa kuhimili misukosuko ya kimahusiano. Na wengi wenu mnaingia Katika mtego wa kamari hii ya kihisia Kwa mihemko na nyege za vipindi. Mapenzi na ndoa vimeguka chanzo kikuu cha misiba ,sonona na maumivu ya milele Kwa sisi wamatumbi weusi wa ngozi mpaka nyuchi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania "Kwanza huyu sio mtoto wako" : Mwanaume akiambiwa maneno haya, Maumivu Yake Hayasimuliki! ni zaidi ya Kuchapiwa !

    Kauli hii inaweza kuonekana kama maneno ya kawaida wakati wa hasira, lakini kwa mwanaume anayesikia maneno hayo kutoka kwa mwanamke aliyemwamini, inaweza kuwa jeraha linalochukua miaka kupona. Haya ndiyo mambo matatu yanayoweza kumuumiza mwanaume anapoambiwa kuwa mtoto anayemlea si wake: 1...
  10. JamiiForums Tanzania Mahari ni mnada wa mwanamke au Ndoa Takatifu?

    Siku kijana anapowekewa karatasi yenye mahesabu ya ada za chuo, gharama za chakula cha miaka 20 iliyopita, na orodha ya samani za kifahari ili tu aruhusiwe kumwoa mwanamke anayempenda, anagundua kuwa hajawahi kuwa kwenye mazungumzo ya familia bali yupo kwenye mnada wa biashara. Mtego huu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa tuiendeshe kama kazi, hizi hisia nyingi za nini?

    Ndoa ni kitu muhimu sana, maana taifa linaanzia kwenye familia. Fikiria mtu si ndugu yako hata kidogo, unamuoa mnazaa, automatically mnakuwa familia. Ndo maana wasiopenda kuoa single mothers wana point fulani maana baba mtoto anaweza kujikumbusha muda wowote si anajua pa kuanzia ogopa sana mtu...
  12. JamiiForums Tanzania wewe na mpenzi wako mna muda gani kwenye mahusiano? nini kinawazuia kufunga Ndoa? je kukaa muda mrefu kwenye mahusiano ndo msingi wa ndoa imara?

    nmekuja kugundua mahusiano ni magumu sana huku kwa ground aisee. pamoja na kuwa ni magumu ila kuna couples huku kwa ground zipo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 7 wengine mpaka 10. nina rafiki yangu mmoja yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake mwaka wa 7 huu kila nikimuuliza mahari tunapeleka...
  13. JamiiForums Tanzania Hebu tupige story kidogo kuhusu ukatili katika ndoa, je ndoa za wake wengi nako kuna mauwaji?

    Hebu tusemezane kidogo na haswa wanaume, inabidi tujiulize na kutafakari, katika matukio ya ukatili katika ndoa kuna takwimu zozote za ukatili wa kuuwana kwa watu waliopo kwenye ndoa ya wake wengi? Mfano labda kuna mtu yeyote amewahi kumsikia mtu mwenye wake wengi analalamika kunyimwa unyumba...
  14. JamiiForums Tanzania Simu kutoka mkoani: Tuliooa/olewa na wachaga ndoa zipo mashakani

    Kila mzazi au ndugu wa ndugu yake aliyeowa mchaga roho iko juu juu ya trend yanayotaokana na kuowa mchaga au kuolewa na mchaga Hofu imetanda kila mmoja akowaza hatma yake siku za usoni je nitaliki au nikomae maana jamii imejaWa sumu kali juu ya hao jamaa Kila mtu roho ipo juu wazazi wanapiga...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke / Mwanaume si ndugu katika ndoa.

    Tutalazimisha sana katika imani zetu,ya kwamba nyie ni mwili mmoja but infact siyo kweli, -Inaendelea...! 1. Kibiolojia mnaendelea kuwa watu wawili tofauti Kila mtu ana DNA yake, damu yake, ubongo wake, moyo wake. Huwezi kuhisi njaa ya mwenzako mwilini mwako, wala maumivu yake ya kichwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa zama hizi, kutegemea mkeo hatachepuka hadi kifo ni ndoto za mchana, shukuru kama bado anaweka mipaka inayolinda ndoa, familia na heshima yako.

    Kwa zama hizi, kutegemea kwamba mke hatachepuka hadi kifo ni ndoto za alinacha. Wanawake wengi wanaoelewa walishawahi kuwa na wapenzi; hata ukimuoa bikra, vishawishi ni vingi sana. Ongeza changamoto kwa wanaume kama kisukari, presha, tatizo la nguvu za kiume, stress na majukumu yanayoweza...
  17. JamiiForums Tanzania Wanandoa wakigombana waende kwa therapists wa ndoa badala ya wazazi au viongozi wa dini.

    Sijui kama kuna professional therapists wa ndoa (LMFT) Tanzania ila hawa ndio watu sahihi wa kwenda endapo ndoa imefika kuwa na matatizo makubwa. Watu waache kupoteza muda kukimbilia sijui kwa padri, mchungaji, wazazi au wasimamazi wa ndoa kwani matatizo ya karne hii ya mahusiano ni tofauti...
  18. JamiiForums Tanzania Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

    Pole nyingi ziwaendee wafiwa. Ukiangalia kwa umakini zaidi hili tukio, utagundua ndugu KWEKA ni shujaa, amepeleka ujumbe mzito kwa wanawake wenye tamaa na wababaishaji kwenye taasisi ya ndoa. Msingi wa ndoa ni kuishi pamoja mpaka mwisho wa maisha yenu. Dini ya kikristu ya hao waliokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ukioa / ukiolewa usifiche kama upo kwenye ndoa

    Ukiona mtu kaoa / kaolewa hampost Mr / Mrs ujue bado anatafuta soko. Be proud of your spouse
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wababa na Wamama wa Kimachame mnachangia sana kuvunja ndoa za mabinti zenu kwa tamaa za mali

    Habari zenu, Kwanini kila siku mlaumiwe nyinyi tu wamama wa kimachame kwa kuhusika na vifo vya waume zenu??? Wababa wa kimachame wekeni utaratibu wa kurithisha mali mabinti zenu, sio mnawapa watoto wa kiume peke yao. Nyie kina baba huwa mna tabia ya kuwambia mabinti zenu kuwa kwenu hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…