ndo

NDO Limited was an Internet service provider (ISP) in the United Kingdom. Originally established in 1995, originating from NetDirect which was one of the first ISPs in the UK.

View More On Wikipedia.org
  1. BABU NYAU

    Haya ndo maajabu sita ya kula Nanasi kwa afya yako.. 🍍

    Nanasi ni tunda lenye virutubisho vingi vinavyosaidia afya ya mwili kwa ujumla. Likiwa limeiva vizuri, lina ladha tamu na pia lina faida nyingi kiafya.. 1. Husaidia mneng'enyo wa chakula.. Nanasi lina kimeng’enyo kinachoitwa bromelain, ambacho husaidia kuvunja protini kwenye chakula na...
  2. figganigga

    Zanzibar ya leo ndo ile aliyoiona Amani Abeid Karume. Asante Samia Suluhu

    Wakati Tanganyika tukiuana sisi kwa sisi 29.10.2025, wakati Tanganyika tukitekana, Wakati Tanganyika tuukipeana kesi za Uhujumu uchumi na uhaini. Wakati Tanganyika tukiwaletea figisu watu wetu wenye akili nyingi kma Mzee Warioba, Nchimbi, Tundu Lissu, Polepole na wengine wengi. Wakati taarifa...
  3. M

    Leo tuachane na Forbes na kampuni hizi ndo zenye uwekezaji mkubwa Tanzania na nje ya Tanzania

    1. Bakhresa group of companies 2.taifa group of companies 3.oilcom group of companies 4.lake energies group 5.amsons group of companies 6.metl group of companies 7.azania group of companies 8.motisun group of companies 9.mac group of companies 10.murzah group of companies 11.gsm group...
  4. Lexus SUV

    Wakuu mbona isaya yunge Jana kwenye siku yake alitembea mwenyewe au ndo Ile tunaita ,HIS FAMILY IS HIMSELF FAMILY ?

    Ile ana walk along white carpet to the altar , au Kuna nini Nyuma , au wazazi wote hawapo ? ITS A PROOF REMINDER THAT IF YOU ARE BORN A MAN , YOU NEED TO LIVE AS A MAN , NO MATTER WHAT HAPPEN.....
  5. figganigga

    Philbert Paschal ndo nabii peke alitabiri kesi ya Tundu Lissu kwa Usahihi

    Philbert Paschal ndo nabii peke alitabiri kesi ya Tundu Lissu kwa Usahihi. Wengine walikuwa wanabahatisha na kwenda na upepo. Huu ni utabiri wa tatatu nimeona kwake. Nasubiri aseme kuna kiongozi aliiba kura akijua atafika 2030 kumbe hatafika. Kuna mtabiri mwingine kasema atarogwa afe kabla ya...
  6. DR HAYA LAND

    Leo ndo tutajua kama MTU mwenye Elimu kubwa anaweza kukubali kutumika

    Leo ndo siku itakayowapa heshima wasomi au heshima yao kupotea Moja kwa Moja .
  7. D

    Ndo mana nchi za africa hatuwezi kuendelea. Tunadiscus very trivial

    Yaani hata wabunge wameingia hiyo trap ya kudiscuss ushoga. Wenzetu wazungu wanajadili issue kubwa kubwa kama uwekezaji eti sisi tunadiscuss ushoga siku nzima. Au uwezo wetu wa mambo ni mdogo kiasi hatuelewi tuanzie wapi tuoshoe wapi. Hivi mashoga mkiwaacha wanazuia vipi mikataba mikubwa...
  8. figganigga

    Revealed by Maingu: Wanawake ndo chanzo cha Unyanyasaji wa Kijinsia. Wanaume hawapendi Kelele

    Wakina Baba ni wema sana, wakina mama ndo wanasababisha Baba atafute mchepuko ili kupoza moyo wake sehemu yenye utulivu. Unakuta mama anáongea sana káma chiriku Anamyima Baba utulivu na wakina Baba walivyoumbwa hawajazoea kusikia makelele" Mkaguzi WA Jeshi la Polisi kutoka Dawati la jinsia na...
  9. britanicca

    Karafuu imekalishwa na alizeti 2026

    Kwenye alizeti wamepata mtu aisee! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni Britanicca
  10. Sifi Leo

    Lema anasema njia ya chuki haitasaidia CHADEMA, kuing'oa ccm huyu jamaa ni kichaa, CHADEMA wasipende ccm ndo watatoboa? "Stupid"

    Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm? Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
  11. Gunner11

    Eti anasema hapendi kutembea uchi, alafu yuko uchi. Haya ndo maadili kweli?

    Watoto wa mjini wanausemi wao siku hizi wanasema, "aibu utaona wewe" Vipi maoni yenu, tukubali hii ni kawaida tu ama joto la El Nino?
  12. instinct desire

    Wafuasi CHADEMA na wanaharakati wa CHADEMA, Heshimuni Viongozi kwasababu serikali ni madhabahu ya Mungu hapa Duniani

    Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika. Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu...
  13. Gunner11

    Memories and attachments to pain ndo msingi wa suffering.

    Sometimes kinacho tu umiza sio, watu, ni kumbukumbu. Imagine, mtu wako wa karibu, anaondoka maishani mwako. Means that hauta mwona tena maisha yako yote. Then flashbacks za mambo mliyo experience, the way alikumake feel, alafu ndo hivyo tena. Kuna film moja nilicheki juzi kati, inaelezea how...
  14. Gunner11

    Watanzania na waafrika kwa ujumla tumerasimisha bullying kama kitu cha kawaida tu

    Binafsi, nimekuja kuona watanzania wengi na waafrika kwa ujumla tumerasimisha bullying kama kitu cha kawaida tu. Mfano mzuri ni katika hili jukwaa, Kuna watu wanaishi na trauma na hawajui watu wako broken to the point hawawezi mpa pongezi mtu, au mtu akija na shida akaelezea kwa uchungu...
  15. Gunner11

    Huu ndo ukweli Mchungu kuhusu Watanzania

    Watanzania hawajafunzwa namna bora ya ku reason na kuja na judgements zao wenyewe.. Yaani ndo maana hata kwenye siasa ni rahisi sana kuwashika, maana hawafanyi logic, wanafata nani anasema sana. Wabongo wengi ni kama kondoo, all it takes ni atokee kondoo mmoja mjanja aanzishe safari na wote...
  16. Minjingu Jingu

    GSM ni muda sana sisi Wananchi hujatukumbuka. Ndo chanzo cha Team kulega lega

    please Moderator hii imejirudi delete
  17. Minjingu Jingu

    GSM ni muda sana sisi Wananchi hujatukumbuka. Ndo chanzo cha Team kulega lega

    GSM mara ya mwisho umetupa supu chapati ni lini? Huoni kama hili linasababisha wanayanga tukose morali wa kushangilia team na kujaa uwanjani? Nadhani unapaswa kujiangalia katika hilo. Andaa shughuli watu tupige supu na chapati angalau mbilimbili roho zetu zitulie. Tuwe na morali na mapenzi kwa...
  18. Mama Ametufikia

    Hakuna watu Wana akili sana kama wanasiasa, kupitia Elnino ndo nimeamini.

    Issue ya Elnino imeonesha kuwa wanasiasa ni Genius
  19. Minjingu Jingu

    Chief Mangungu wa Simba ndo muda wake huu sasa

    Sasa hivi mmesahau. Match ya pili tukija wachapa mtaanza kutoa milio chief Mangungu andoke. Je kwa sasa aendelee au bado yupo yupo kwanza? Tuambiane mapema nyie mikia. Maana yeye ndo huwa mnamwangushia Jumba bovu. Maana kwa sasa tumewapumzisha naye baada ya kuwaachia mpate ushindi hii match moja.
  20. Sifi Leo

    Unaweza usinielewe, kila kumbukizi ya tarehe yakifo cha Nyerere watumishi wengi,wanaambukizwa ukimwi, ndo siku condom nyingi hugaiwa.

    Ili niliwai liandika sana na kuandika sana, lakini nikaonekanika ni kibwengo tu nisiyejielewa, nilidhiakiwa sana na kubezwa Kitendo cha kuunganisha siku ya kumbukizi ya kifo cha Hayati mwalimu Julias Kabarage Nyerere na siku ya kilele cha mbio za mwenge kitaifa ni kumzalilsh Mwalimu. Hii ina...
Back
Top Bottom