ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Kuna viongozi serikalini toka Tanzania bara mnaonwa kama wasaliti wa Tanzania bara; muda ukifika msije mkamlaumu mtu kwa yatakayowakuta

    Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika". Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
  2. M

    Hongereni Wazanzibari! hatua zenu si za kubeza; mnasuka usawa ndani ya Muungano. CCM Bara hatuna wasiwasi, kiongozi yeyote anaejiuzulu nafasi itajazwa

    Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi. Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
  3. S

    Tunajua Dr. Nchimbi kalazimishwa kujiuzulu na hili linaweza kuwa ndio chanzo cha mpasuko mkubwa ndani ya CCM utakaomwondoa Samia madarakani

    Kama kuna jambo moja ambalo Samia linamshinda katika uongozi wake, ni kuwa na uwezo wa kuona mbali katika baadhi ya maamuzi yake na kuletea kujijengea maadui wengi sana wa kisiasa. Kwa mfano, hadi sasa, hawa huwezi tena kuwaita watu wa Samia, pamoja na wale wanaowaunga mkono Dr. Nchimbi...
  4. Kilicho nyuma ya kujiuzulu kwa Nchimbi: Tetesi, ‘Yuda’, Katiba na mapambano ya ndani ya CCM

    Hatimaye, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amejiuzulu wadhifa wake baada ya miezi ya tetesi, mijadala ya kisiasa na mashambulizi yaliyokuwa yakimlenga ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Taarifa ya kujiuzulu kwake imetumwa kwenye akaunti zake za X...
  5. Kama wao tu ndani ya chama mtu akisema ukweli ana lazimishwa ajiuzulu ndio wawaletee katiba mpya?

    Ilianza na ndugai Now Emma.. Hiki chama hakitakuja kutoka kwa maneno na njia ya Amani.
  6. Kuna umuhimu wa CHADEMA kufukuza wachaga wote ndani ya chama chao, hawataweza kuendelea kuvumilia kudhalilishwa kwa Mbowe

    Wiki hii imeanza kwa wafuasia wa Lissu na Heche kumshambulia vikali mwasisi wa CHADEMA mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe baada ya yeye kuhudhuria sherehe za uzinduzi wa bwawa la umeme la Nyerere. Kiukweli Mbowe kadhalilishwa sana kwa siku kadhaa. Ninampongeza kwa ukimya wake kuonyesha ukomavu wa...
  7. Tetesi: Ndani ya masaa 48 Dr. Nchimbi Kung'atuka umakamu wa Rais kwa kujiuzulu

    Hii ni very classified information. Siongezi neno Mto wa mbu State of Illinois
  8. Mpasuko ndani ya CCM unaenda kuliponya taifa letu

    WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu. Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu.
  9. R

    Ona kosa la msimamizi wa haki. Kama anaweza kufaya hii akijua inakwenda hadharani, ya ndani je! Tarehe ya hukumu! Mwezi wa 19 & 21 Septembr, 2026

    Najua inaweza kuwa oversight, akapitiwa, lakini kwenye kitu sensitive kama hiki ku determine RIGHTS za watu hapashwi kufanya kosa hili!, kupitiwa. Ya ndani tusiyoyaona yakoje? Anapoandika proceedings anaandika vitu gani? vina reflect wanachokisema parties and their witnesses correctly? This is...
  10. CHADEMA kuandamwa na mikosi ya kisiasa na kiuchumi isiyokoma ni ishara ya wazi kua huenda kuna laana ndani ya chama hicho cha siasa nchini

    Kwa mfano we cheki, mwenyekiti wake taifa kukutwa ana kesi ya kujibu tofauti na walivyotarajia kwa kujiiga kifua sana tu kwamba hakuna lolote n.k, na kwahivyo wameumbuka hadharani na hiyo maana yake mwenyekiti huyo ataendelea kusota korokoroni. Huenda mkosi huu unatokana na utamaduni wa kiburi...
  11. CivilianCoin: WAJIBU wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Wasanii.

    Wajibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa wasanii unajikita katika kusimamia ulinzi na usalama wao, kuratibu vibali vya ukaazi na kazi kwa wasanii wa kigeni, na kusajili vyama au mashirikisho yao ya sanaa. Tofauti na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambayo inashughulika na...
  12. C

    Kwa tunapoelekea Tutakua Tunasalia ndani

    I hope mko poa wakuu. Hivi ni hili kanisa letu au yote ya kilokole michango ni mingi yaani hawaangalii unaingiza sh ngapi ni michango tu ata ukitoa ulichonacho unaambiwa ni kidogo mara sijui unamubia Mungu mara wewe ni kaidi. Mungu atanisamehe kwenye haya maamuzi. Kuna; -Mchango wa ujenzi...
  13. Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

    Habari wakuu, Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka. Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye. Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu...
  14. Kikosi cha Makomandoo wa IDF wajipenyeza ndani ya maeneo ya Hamas na kufanya tukio!

    Kikosi cha Makomandoo wasomi wa IDF kiliingia katika eneo linalodhibitiwa na Magaidi wa Hamas kusini mwa Gaza mapema Jumatano na kumkamata Sabri Abd al-Aal, afisa mkuu wa polisi wa Hamas mwenye cheo cha Aqid, sawa na kanali. Takriban saa saba usiku, kikosi cha takriban Makomandoo 15-20...
  15. SI KWELI Kikwete aomba Tundu Lissu kuachiwa ndani ya wiki hii maana Tanzania tuna amani.

    Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
  16. Kwa hali ilivyo ndani ya CHADEMA, huenda John Heche akajiuzulu kabla ya kubanduliwa madarakani na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa mwezi ujao..

    Kwasababu, mpaka sasa uhakika wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa John Heche kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema taifa na Baraza kuu la chadema taifa September 15 ni 100%. Pendekezo la azimio la kumbanudua John Heche madarakani linaungwa mkono na asilimia kubwa ya wajumbe wa...
  17. R

    Profesa aliyejiuzulu chuo cha Cambridge, Jason Arday akutwa amefariki ndani

    Professor wa chuo cha Cambridge aliyejiuzulu wiki iliyopita baada ya kukabiliwa na tuhuma za udanganyifu wa kitaaluma (plagiarism) pamoja na kuandamwa na vyombo vya habari amekutwa amefariki dunia Siku ya jana Agosti 14, 2026. Jason Arday, ambaye akiwa na umri wa miaka 37 mnamo mwaka 2023...
  18. Falsafa ya Kilimo: Shule ya maisha ndani ya udongo

    Watu wengi wakisikia neno kilimo, hukimbilia kwenye jembe, matope, jua kali, na uchovu. Lakini ukweli ni kwamba, kilimo sio kazi tu ya kuzalisha chakula; kilimo ni shule kubwa zaidi ya maisha. Kila hatua unayoiona kwenye shamba la mahindi, mboga, au matunda, ina somo kubwa la jinsi mwanadamu...
  19. Tanzania imeshindwa mitihani mitatu ya kimataifa ndani ya Agosti 2026

    Kutoka kwenye uhuru wa kisiasa hadi amani na uwazi wa matumizi ya fedha za umma, ripoti tatu za kimataifa zimeweka Tanzania kwenye mizani isiyopendeza. Kinachozua maswali si nafasi pekee ambazo nchi imepata, bali mwelekeo unaoonekana katika maeneo yanayogusa moja kwa moja utawala, usalama wa...
  20. Maisha yamebadilika sana, siku hizi mguu wa kutoka unafanana na mguu wa kubaki ndani

    Kuna ngoma ya Mulla Obo – Box One, kuna line anasema: “Mguu wa kutoka haufananishwi na wa kubaki ndani.” Kwa mazingira ya zamani, hii line ilikuwa na maana kubwa sana. Dunia ilikuwa bado haijawa interconnected kama ilivyo leo. Karibu kila kitu kilihitaji uwe physically present. Kama unataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…