ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. Mgogoro ni mkubwa ndani ya ndoa.

    Mzazi amesomesha watoto wake wakiume ni wrngi wasichana wwchache. Familia zikiwa nq tabia eti kwa sabab amesomeshaz ndio Madume ya miaka 34 yajazane nyumbni kwangu? Ile kuja na kusalimia sio mbaya, tatizo ni kambi. Hata kupata tunda inakuwa aibu? Kibaya ambacho ni kizuri hakuna dada...
  2. Mmuya aagiza kasi upatikanaji wa hati za ardhi sasa kupatikana ndani ya saa 48

    ★ Aelekeza kuanzishwa Kliniki ya Upimaji wa Mashamba ★ Awasisitiza wawekezaji kuendeleza maeneo yao kuepuka migogoro Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amesema kipaumbele cha Wizara kwa sasa ni kuongeza kasi ya utoaji wa hati za miliki za ardhi ili...
  3. Hayati Mkapa: Makosa yangu yalisababisha mafisadi kujenga ngome ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Hayati Benjamin Mkapa Katika kitabu chake "My Life, My Purpose" (2019) Ameeleza maeneo aliyofeli kama kiongozi 1. Kufeli Kukubwa Kuliko kote: Ubinafsishaji (Privatization) Anasema "Nilifanya Haraka Sana" "Tuliamini soko huria litatatua kila kitu. Tuliuza viwanda 400 kwa bei ya hasara...
  4. T

    Apartments kali zagundulika kuwepo kinyume cha sheria ndani ya gereza huko Indonesia

    Maafisa watano wa gereza Nchini Indonesia wamesimamishwa kazi baada ya uchunguzi kubaini uwepo wa vyumba vya kifahari vinavyofanana na ‘apartments’ ndani ya Gereza la Cibinong, lililopo Bogor karibu na Jakarta, ambavyo vinadaiwa kutumiwa na baadhi ya Wafungwa. Kwa mujibu wa uchunguzi...
  5. Vipi tutaondosha migogoro ndani ya ndoa zetu...

    Makala ya Kwanza: Siri ya Ndoa: Kwa Nini Mume Ndiye Mboreshaji na Mke Ndiye Mlinzi? Katika ulimwengu wa leo, mafanikio ya ndoa hayaji kwa bahati mbaya, Bali yanahitaji uelewa wa kina wa kisaikolojia—kile tunachoweza kukitea sayansi ya ndoa. Katika misingi ya kudumu...
  6. Vita ya kuwania madaraka ya urais 2030 ndani ya CCM inaweza kuleta anguko lake

    Kwa mara ya kwanza katika historia CCM itaelekea katika uchaguzi wa urais mwaka 2030 bila kuwa na mgombea yeyote maarufu, mwenye ushawawishi au anayeweza kubebwa au kujificha chini ya kanuni za utamaduni wa chama wa "muendelezo" wa Rais aliye madarakani. Hii inaweza kuwa fursa kubwa sana ya...
  7. W

    "SISEMI! MAKUBALIANO YETU NA DANGOTE YATABAKI SIRI” - Rais Ruto Akataa Kuweka Wazi Kilichoko Ndani.

    Rais William Ruto sasa amesema makubaliano kati ya Serikali ya Kenya na Mfanyabiashara Aliko Dangote kuhusu Refinery ya Lamu hayatawekwa wazi, huku akimuelekeza yeyote anayetaka kuyaona kutumia utaratibu wa Bunge kuyaomba. Kauli hii inakuja wakati mradi huo wa takriban Shilingi trilioni 2.2...
  8. Humu ndani kuna mtu nampenda nisaidieni kumwambia

    Mimi sio domo zege ila nahisi kawahiwa
  9. K

    Mtego wa Misaada ya Afya na Mapinduzi ya Kulinda Data: Ndani ya Uamuzi wa Ghana Kuisikitisha Marekani na Mtihani wa Kiutawala wa Tanzania

    Habari Kuu: Ghana Yaupiga Chini Mkataba wa Dola Milioni 109 Serikali ya Ghana, chini ya Rais John Dramani Mahama, ilikataa rasmi mkataba wa afya wa miaka mitano wenye thamani ya dola milioni 109 (zaidi ya bilioni 300 za Kitanzania) uliopendekezwa na serikali ya Marekani. Uamuzi huo...
  10. Tutumie siku ya kahawa duniani Leo october Mosi kunywa kahawa kukuza soko la ndani

    Leo Oktoba Mosi ni Siku ya Kahawa Duniani na kwa Tanzania ina maana kubwa sana. Umuhimu wake kwa Soko la Ndani: 1. Kutoka Kulima kwa Wazungu kwenda Kunywa kwa Watanzania Ukweli mchungu: Tanzania inazalisha tani 70,000 kwa mwaka, lakini 92-93% inaenda nje,.mtanzania mmoja anakunywa kikombe...
  11. Kama dini yako inakufundisha kuwa kuua mtu kunaweza kukupeleka mbiguni basi tambua haupo kwenye dini bali upo ndani ya CULT

    CULTC usually means a group with strong devotion to a particular leader, belief, or ideology, often involving unusual or extreme practices.
  12. Kwanini Iran haishambulii ndani ya mipaka ya Israel?

    Dhidi ya dhana kwamba Iran haishambulii ndani ya mipaka ya Israel, ukweli ni kwamba Iran imeshawahi na kuendelea kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Israel kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani (droni), kama ilivyotokea Aprili 2024 na katika wimbi la mashambulizi ya baadaye...
  13. 6/11/2026 ni hukumu ya Lissu, Watanganyika, siku hiyo tujitokeze kwa wingi sana kwa ajili ya Kuandamana kupinga/Kufurahia Hukumu !Asibaki ndani Mtu

    Ni Hukumu ya Kihistori Kati ya UOVU na WEMA.!!
  14. Dereva Kasuka Makulu: LATRA wanatuvuruga sana, na tunachokiomba sisi madereva swala letu la pointi lifutwe

    Mmoja wa madereva aliyejitambulisha Kasuka Makulu akiwasilisha malalamiko yake mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema: “Madereva tunanyanyasika, tumekuwa kama jalala, hatuthaminiwi ndani ya nchi. LATRA wanatuvuruga sana.” "Mheshimiwa waziri sisi madereva tumekuwa...
  15. 2030 Wakatoliki wana mgombea gani ndani ya CCM? Kafulila atatosha ?

    Mwaka 2030 sio mbali sana na kwa Hali ilivyo kama CCM hakitagawanyika na kusambaratika uhalisia mchungu ni wao kuendelea kutawala kupitia chaguzi za hadaa na nguvu ya vyombo vya dola. Tunachotakiwa kama raia wa nchi hii ni kuchagiza walete angalau wagombea wenye nafuu wenye akili na haya kiasi...
  16. Za ndani kabisaa. Kuna mapandikizi ndani ya Chadema yametumwa hivi karibuni kukiharibu chama. Yanajisahau hii sio Chadema ya Mbowe

    Yanatumia mbinu za kizamamani kama enzi zile za Nazi ya ujerumani. Kurekodi na kutuma taatifa huko CCM. Yanajifanya ni mamtu matiifu kwa Chadema lakini sio kweli. Soon yataaibika maana hii sio ile Chadema ya Mbowe.
  17. Mauzo ya Madini Yafikia TSh Trilioni 7.78 ndani ya Miezi Sita tu

    Sekta ya madini Tanzania imeendelea kuimarika, huku mauzo ya madini yakifikia TSh trilioni 7.78 katika miezi sita ya kwanza ya mwaka, hatua inayoonesha kuongezeka kwa shughuli za uchimbaji, biashara na uuzaji wa madini. Sekta hiyo pia imeendelea kuwa chanzo muhimu cha mapato ya Serikali na fedha...
  18. Tanzania Haikutoka Ukumbini UNGA Ilibakia Ndani Kumsikiliza Netanyau

    https://youtu.be/xPKCwnS7W0Y
  19. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aandamwa na tuhuma mpya za usaliti

    Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake, Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu wewe ni memba mkongwe hapa ndani acha kutumia picha za AI kudhalilisha dini za watu.

    Weee mzee Herbalist Dr MziziMkavu nimekerwa sana na bandiko lako la udhalilishaji wa dini ya Kikristo haswa dhehebu Katoliki. Umetumia picha ya kutengenezwa kuwadhalilisha watawa na makasisi wa kanisa Katoliki. Hata sisi tuna uwezo wa kutengeneza picha za madudu aliyofanya Mwamedi, kama kuoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…