ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Ujio wa waarabu/uislam na wazungu/ukristo ndani ya Afrika

    Uislamu ulianzishwa kwa Afrika katika karne ya 7, mwanzoni kupitia kimbilio la Waislamu wa mapema nchini Ethiopia na ushindi wa baadaye wa Waislamu na biashara katika Afrika Kaskazini. Dini hiyo ilienea kupitia njia za biashara kuvuka Jangwa la Sahara kuingia Afrika Magharibi na pwani ya Afrika...
  2. Chadema kupeleka saini 15 milioni umoja wa mataifa ni kutekenya mbuzi, Umoja wa Mataifa hauna nguvu ya kuingilia maamuzi ya ndani ya nchi

    Umoja wa Mataifa ni taasisi ya kidiplomasia, sio jeshi au mahakama ya dunia. Katika strategy ya hovyo ya chadema ni kupeleka saini umoja wa mataifa. Kama unaweza kukusanya saini 15 milioni, hizo ni kura za kushinda urais kabisa. Sasa kwa nini hao 15 milioni usiwageuze wakawa wapiga kura wako...
  3. Ndani ya CCM hamna kabisa watu wenye Hekima, Busara na Akili wanaosikilizwa?

    Nmeshangaa tu. Kuna watu wazima wengi na wasomi. Hakuna ambaye ana hekima,busara na akili akaweza mwelekeza samia haya mambo?
  4. Kwanini Lema amekuwa kimya ghafla baada ya Lissu kukamatwa? Je, anaaminika kiasi gani ndani ya CHADEMA?

    Kwenye haya mambo kuna michezo mingi, usaliti, double dealing na kadhalika. Niliona Lemma alipotea katika thin air mara baada ya Lissu kukamatwa. Ilikuwa ni mfadhaiko au kuna jambo alikuwa analijua mapema Ila hakumwambia Lissu au hakutakiwa kumwambia. Ukisoma uso wa Lemma pale katika mkutano...
  5. Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka kutembea siku Moja Moja na hapo ni misele tu kijiweni sio kwamba labda anaingia kazini ila anakula...
  6. Wataalam wa Ujenzi: Kwa nini Masink ya kunawia baada ya kutumia Choo yasiwe ndani ya Choo?

    Nimefikiria hii, mtu anamaliza kutumia choo alafu anatoka kuja kunawa nje ya choo, hii inaweza kusababisha kusafirisha uchafu na vimelea vya magonjwa kutoka chooni, mfano wakati wa kufungua mlango wa choo n.k Kwa nini masink yasiwekwe ndani, mtu anapomaliza kujisaidia ananawa ndani kabla ya...
  7. H

    Kwanini wanajeshi wakipindua nchi ndani ya Afrika wanaitwa"madikiteta" kabla ya kupindua wanaitwa"walinzi"wa nchi na watiifu?

    Huu ni ujinga kama wanajeshi ndiyo walinzi wa viongozi wa kisiasa na mipaka ya nchi muda wote ndani ya Afrika na wanaaminiwa kwanini wasiachiwe nchi za Kiafrika waziongoze kijeshi? Wanasiasa ni mzigo na gharama hivyo wanajeshi eakichukua nchi za Afrika baadhi ya wanasiasa wataondoka wenyewe
  8. DRC: Sumu ya Kimeta Yaua viboko 50 Ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Virunga

    Viboko katika Mbuga ya Taifa ya Virunga katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. / Getty Images Viboko wasiopungua 50 na wanyama wengine wakubwa ndani ya hifadhi ya taifa ya Virunga iliyoko katika eneo la mashariki mwa DRC, wameripotiwa kufa kutokana na sumu ya kimeta, msimamizi wa mbuga hiyo...
  9. NAUZA VITU HIVI VYA NDANI -Location Iringa

    1.HISENSE SMART TV NCH 55 INAMWEZ FULL DOCUMENT BEI 950k 2.Fridge ( Hisense) . Bei Laki550 3. Show Case Tsh200k, Radio Tsh 190 Mawasiliano :- WhatsApp 0769463336
  10. Mussa Zungu: Sioni sababu ya Wasiohusika na mechi ya Simba kuzungumza zaidi humu ndani (Bungeni)

    Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema haoni sababu ya baadhi ya wabunge wasiokuwa na uhusiano na Klabu ya Simba kuwa ndio wanaozungumza zaidi kuhusu mechi ya Simba wakati mchezo huo umepangwa kuchezwa kesho. Ametoa kauli hiyo leo Bungeni wakati wa maswali na majibu.
  11. Uwepo wa G55 ndani ya CHADEMA kunaonesha tangu mwanzo mapandikizi yalikuwepo

    Salaam wakuu, Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
  12. M

    G55. Ni kundi hatarishi kwa Chadema, Ni kundi la Mbowe? Kama ndivyo, Mbowe alikuwa pandikizi maalumu ndani ya Chadema?

    Chadema, inahitaji kuponywa, tokea uchaguzi wake kumpata Mwenyekiti wake, mpaka sasa, kuna majeraha bado, ni kazi ya uongozi sasa kuwakutanisha uongozi uliopita ili kuteta na kuondoa tofauti zilizopo Siamini ninachokiona ndani ya Chadema, Ifahamike, sina ufahamu wala uhakika juu ya niliyetaja...
  13. R

    Mbowe kama unaweza ingilia kati mpasuko huu ndani ya CHADEMA

    Kama huna upande wowote, ingilia kati. naamini unaweza kuepusha kupasuka chadema. Naamini busara zako ni kubwa kulinganisha na wengine. Ulikuwa na nafasi ya kuiba kura ukashinda. Hukufanya hivyo. Hilo linanipa uhakika kuwa unaweza kuwa msuluhishi mzuri....neutral one!
  14. Je, G55 ndio Wale Nyoka ndani ya CHADEMA?

    Habari za Jumapili! Kila chama kina watu ndumilakuwili,snitch, Wasaliti na Nyoka. Kijasusi Tofauti kubwa ya Nyoka na Panya ipo kwenye kujificha na kujihami. Nyoka anaweza kuingia katika Nyumba yako akakaa hata Miaka mitano Mpaka akawa chatu au Nyoka Mkubwa na wewe usijue kuwa ndani ya nyumba...
  15. G55 CHADEMA Ni Wazi kuwa ni Mizizi wa Historia Toka CCM..Je kwa CDM ni Mustakabali wa Demokrasia au Ni chanzo cha Mgawanyiko Ndani ya Chama Hicho?

    Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA. Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa mawasiliano ya kundi la WhatsApp linalojiita G55. Mawasiliano haya yalivuja wakati uongozi wa...
  16. Masoko ya hisa nchini Marekani yameporomoka na kupata hasira ya $6 trion ndani ya siku mbili tu.

    Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump aingie madarakani, hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya china kulipiza kisasi kwa kutoza ushuru...
  17. R

    Kabla hatujaanza kutumia smartphone ndani ya mablanketi, Miaka ya 90s na 2000s nyumba zilikuwa na chumba special kwajili ya computer (computer room)

    Ramani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha kuwashia unachoweza tumia dole gumba la mguu.
  18. Trafiki anusurika kichapo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali akidaiwa kusababisha Bajaj iwake moto

    Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi. Askari huyo alikimbilia basi...
  19. Ukiweka sumu kwenye chakula changu, hata kama sumu hiyo inaua ndani ya dakika 1, sifi. Sababu hii hapa

    Ndugu yangu, kumbuka kila wakati, katika dunia hii sio wote wanaofurahia mafanikio yako ya kimaisha, ya kikazi au ya kibiashara. Kwa sababu hiyo yamkini kuna watu wanapanga mbinu za kukuangamiza. Na wengine wanaweza kukuchukia tu hata kama huna pesa au cheo, wakatafuta njia ya kukuondoa duniani...
  20. Msaidizi wangu wa ndani anagawa vitu vyangu kwa wanandoa

    Jamani nina huzuni mwenzenu acheni tu na mvua hizi. Kama nilishawahi kukukosea humu kwanza nisamehe kuwa single parent jamani kila kitu kinakuzoom wewe sio mchezo. Unajitahidi wanao basi wasipate shida. Unajitesa kuweka mambo sawa ila kuna mtu anakuja kumlaghai dada wa kazi ampe vitu na huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…