nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Azam Media kwa Mapinduzi ya Tasni ya Habari Nchini

    Hakika nyie ni magwiji, Watanzania tunajivunia nyie kwa Sasa. Hongereni pia kwa kutoa vipaji vingi vinavyoenda tumika mahala pengine na vingine vinavyotumika mpaka sasa. Azam Media🙌🏻 👉🏻 Ahmedy Ally from Azam to Simba. 👉🏻 Ally Mayai from Azam to wizarani. 👉🏻 Charles Hillary from Azam to...
  2. JamiiForums Tanzania DOLA (the state) nawaomba muingilie Kati zuio la mikutano ya hadhara ya upinzani nchini kwa afya na mstakabali wa taifa letu!

    Najua nyie mpo loyal KWA taifa hili,mmelilinda tangu kuasisiwa kwake, Najua nyie Ndio mmeiruhusu ccm kuwa Chama Tawala tangu kuanzishwa kwake hadi leo,bila nyie CCM isingekuwepo madarakani Hadi leo! Najua mmewapenda upinzani na mmeulea KWA Namna Moja au nyingine Lakini hamkuweka wazi hisia...
  3. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa Bei ya chakula na dhana ya kufunguliwa kwa Mipaka Nchini

    Na Taban J Kumekuwa na nadharia kuwa, kupanda kwa bei ya mazao ya chakula kumesababishwa na kufunguliwa kwa mipaka. Jambo linalo pelekea mazao ya chakula kubebwa na majirani zetu wa Uganda na Kenya hivyo kusababisha upungufu wa chakula na kupelekea bei ya mazao kupanda. Huku lawama ikibebeshwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Gaidi la kijerumani lashambuli shule nchini Urusi na kuuwa watu 13 wakiwemo watoto 7

    Gaidi la kijerumani lenye mrengo wa neo-fascism limeshambulia shule moja nchini Urusi na kuua watu si chini ya 13 wakiwemo watoto 7. Waliojeruhiwa ni watu wazima 14 na watoto 7. Gaidi hilo la kijerumani lenye umri wa miaka 25 limetiwa nguvuni na tayari limefunguliwa kesi. Kwa mujibu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Apple inaanza kutengeneza iPhone 14 nchini India

    Apple Inc leo Jumatatu imesema itatengeneza toleo la simu za iPhone 14 nchini India, ikiwa ni mpango wake wa kuhamisha baadhi ya teknolojia za uzalishaji wa vifaa vya kamouni hiyo kutoka China. Kampuni hiyo ilizindua simu kuu ya iPhone 14 katika hafla ya mapema mwezi huu, ambapo iliangazia...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Osama El-labi ni bondia mzuri na anahitaji makocha wazuri tu ili kuja kuwa bingwa wa ndondi hapa nchini.

    Habari Jana usiku nlifuatilia mpambano kati ya emiliano patrick na Osama el-labi,kwa hakika nimevutiwa sana n kipaji cha huyu bondia chipukizi.Osama ametuonesha sisi wapenzi wa ndondi kuwa atakuja kuwa moja ya mabondia wazuri hapa nchini. Wito wangu ni kwa wadau wa ndondi kuweza kumpatia...
  7. JamiiForums Tanzania Mkuu wa kanisa la orthodox nchini urusi awaasa wanaoenda ukrane wasiogope kufa.

    Mkuu wa kanisa la orthodox nchini urusi,mwandani na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa nchini humo amewaambia makuruta watize wajibu wao na wasiogope kufa kwani hata wakifa wataenda kupumzika mbinguni. My take: Kiongozi huyu anajua hawatarudi urusi,ndio basi tena himars zinaenda kuwafyeka.Putin...
  8. JamiiForums Tanzania Simba Sc ijiandae na fitna nchini Angola

    By ELIUS KAMBILI NILIKUWA pale Luanda, Angola na Namungo iliyokwenda kucheza na Clube Desportivo 1 de Agosto mwaka jana. Lakini wageni hawakugusa mpira hata wa mazoezi kutokana na vihoja kutawala nje ya Uwanja. Simba msimu huu imepangwa kucheza na klabu hiyo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la kiwango cha riba nchini Marekani laathiri uchumi wa Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na janga la UVIKO-19, Marekani ilichapisha dola nyingi ili kuchochea uchumi. Lakini kuanzia mwaka huu, Marekani imegeuza sera ya kifedha na kuongeza viwango vya riba ili kukabiliana na mfumuko wa bei. Kitendo hicho kimekuwa moja ya vyanzo vikuu vya mfumuko...
  10. JamiiForums Tanzania Ufalme nchini uingereza hautakuwepo tena ifikapo mwaka 2106

    Maoni ya waingereza yanaonesha kwamba ufalme utaendelea kuwepo kwa uhakika mpaka mwaka 2036 na una uwezekano mkubwa wa kuwepo mwaka 2056. Hata hivyo maoni ya wengi ni kwamba hautakuwepo ifikapo mwaka 2106 _______________________ Support for establishing a republic instead of a monarchy was...
  11. JamiiForums Tanzania Serikalil: Hakuna mgonjwa wa Ebola nchini

    Serikali ya Tanzania imesema kuwa hakuna mgonjwa wa Ebola aliyeripotiwa nchini huku ikiwashauri wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo. Jana Uganda ilitangaza mlipuko huo baada ya watu sita kufariki huku mgonjwa mmoja vipimo vya maabara kuthibitisha kuwa anaugua ugonjwa huo katika...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

    NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Taarifa ilieleza mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola amefariki wilayani Mubende...
  13. JamiiForums Tanzania Matibabu ya Kiharusi (Stroke) nchini hugharimu Tsh. Milioni 5-15

    Daktari Bingwa wa Upasuaji Ubongo kutoka Taasisi ya Mifupa MOI, Dkt. Laurent Mchome amesema kumekuwa na ongezeko kubwa la Wagonjwa wa Kiharusi nchini na wanaokutwa na tatizo hilo sana ni watu wenye miaka 40 na kuendelea. Akielezea utaratibu wa gharama za Matibabu ya Ugonjwa huo ambao mara...
  14. J

    JamiiForums Tanzania CCM kushirikiana na cpv - Vietnam kukuza fursa za ajira nchini

    CCM KUSHIRIKIANA NA CPV - VIETNAM KUKUZA FURSA ZA AJIRA NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesisitiza umuhimu wa kuendeleza na kuimarisha zaidi ushirikiano wa kisiasa, kiuchumi na kijamii kati ya CCM na Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV), kupitia udugu...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani: Muuguzi Mkenya akiri makosa ya ulaghai wa mabilioni katika huduma za afya

    Muuguzi Mkenya mwenye umri wa miaka 42 amekiri makosa ya ulaghai katika huduma za afya, kusaidia ulaghai wa huduma za afya, kula njama ya kulipa na kupokea marupurupu, na makosa mengi ya kudanganya wachunguzi wa shirikisho la Marekani. ======= A 42-year-old Kenyan nurse has pleaded guilty to...
  16. JamiiForums Tanzania Uingereza yamfungia Mwakinyo, hatotakiwa tena kupigana nchini humo

    Bondia Hassan Mwakinyo amefungiwa kucheza nchini Uingereza, ikiwa ni siku kadhaa tangu alipozichapa na Liam Smith nchini humo na kupigwa kwa TKO, raundi ya nne. Kwa mujibu wa Mtandao wa ngumi za Kulipwa wa dunia (Boxrec), bondia huyo amefungiwa na Bodi ya Ngumi za Kulipwa Uingereza (BBBC)...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ninavyotafuna pisi kali kwa kufananishwa na mtu mmoja maarufu hapa nchini

    Wanawaje wote akili zao zinafanana. Unakumbuka ule mwaka Leicister city anachukua ubingwa wa EPL? Timu ilikuwa chini ya kocja Raniel Sasa kuna mzee mmoja pale England kaganana na Raniel copycopy Mzee choka mbaya mtoto wa mjino alivhoganya ni kuchonga siti zake mbili na kukatiza mitaa ya london...
  18. JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Uholanzi

  19. JamiiForums Tanzania TANESCO wameanza kutuandaa Kisaikolojia. Unakuja Mgao wa Umeme siku zijazo na Watu wanaanza kuingiza Nchini Majenereta

    Huu ni mwanzo... Tuanze kujiandaa na yale yajayo siku za usoni. Maji yameanza kupungua tena kwenye mabwawa. Tulicheleweshwa sana kimaendeleo. Sasa tutaweza kuifungua nchi vizuri na kurudisha uchumi uliokwama.
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua Nchini

    Serikali imetangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua katika baadhi ya maeneo baada ya uchunguzi kufanyika na kubaini wagonjwa 54 lakini hakuna taarifa ya kifo. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema uchunguzi wa sampuli za Julai hadi Agosti 2022 umeonesha mlipuko upo katika Halmashauri 7 zikiwemo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…