nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais wamejishau kuwa X imefungiwa hapa nchini? X haiurusiwi kisheria

    Wanatumia x ili kupasha habari watu kimakosa.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kituo cha usambazaji kilichojengwa na Wachina nchini Tanzania charahisisha biashara ya kikanda kote Afrika Mashariki

    Kwenye ghorofa ya tatu ya Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, majora mengi ya vitambaa yaliyopangwa vizuri yamejaza rafu huku wateja kutoka kila pembe ya nchi na nje ya nchi wakiingia ndani. Na kwa Ayoub Katuga...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha minazi [dwarf] nchini Kenya. Mnazi 1 matunda 200+

    ..Kenya wameanza kuachana na Minazi ya kienyeji East African Tall. ..wamekuja na minazi ya kisasa, mifupi, toka India ambayo ina uzalishaji mkubwa. ..Kuna umuhimu wa Tanzania kutafuta mbegu mbadala ya minazi yetu ya asili ili kuongeza tija ktk kilimo cha minazi. ..fuatilia hapa chini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji wa Haki za Binadamu nchini Venezuela chini ya Nicolás Maduro

    Tangu Nicolás Maduro achukue hatamu za uongozi mwaka 2013, Venezuela imepitia misukosuko mikubwa ya kisiasa na kijamii ambayo imesababisha shutuma nzito za ukiukwaji wa haki za binadamu. Mashirika ya kimataifa yamekuwa yakiandika ripoti mbalimbali zinazoonyesha mbinu za kimfumo zinazotumiwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Tujadili pamoja: Kuna haja na faida tena ya kuwa na TISS nchini?

    Nchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3; 1. Kiuchumi 2. Kijamii 3. Kisiasa Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni lazima mifumo ihakikishe siasa za nchi hii ni za kidemokrasia kweli. Vyama vya kisiasa vinashindana...
  6. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondokana na hii kero ya madereva wa malori kutekwa au kuuawa nchini DR Congo?

    Wakuu kwa wiki kadhaa sasa mitandaoni kumeenea habari za madereva hasa wa Tanzania na Zambia kupata matatizo nchini Congo. Kuna hadi ambao wamepoteza maisha. Kimsingi dereva akiingia tu Congo usalama unakuwa mashakani. Huko kuna vikundi vya kihalifu vinavyopora malori. Je, nini kifanyike...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kocha Gamondi: Ushindi wa Tanzania ni heshima kwa waliopoteza maisha Oktoba 29

    Kocha mkuu Tanzania Miguel Gamond baada ya kuiwezesha Tanzania kufuzu hatua ya kumi na sita bora kwa mara ya kwanza, Amesema ushindi huu ni muhimu sana kwa soka la Tanzania na mafanikio waliyoyapata anayatoa kama heshima kwa watu walipoteza maisha yao oktoba 29. Kocha Gamondi alitoa kauli hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

    UTANGULIZI Mwaka 2017 Raisi Duterte alianzisha vita kali dhidi ya Madawa ya Kulevya nchini Ufilipino. Aliaua maelfu wa watu aliodai ni watumiaji na wauzaji wa madawa. Alienda hadi mbele ya kadamnasi na kujisifu kwamba wakati ni Meya wa Davao alikuwa anatembea usiku na kupiga watu risasi...
  9. JamiiForums Tanzania BASATA: MC na DJ mtakiwa kujisajili na kuwa na kibali hai ifikapo 31 Januari, 2026

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekumbusha kuwa, kwa mujibu wa Kanuni za BASATA za mwaka 2018 na Tozo za mwaka 2025, waongoza sherehe, burudani na matukio (MC) pamoja na Manju Muziki (DJ) wanatakiwa kupata vibali vya BASATA kabla ya kufanya kazi za sanaa. BASATA imeelekeza wahusika wote...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo wa China wachochea maingiliano ya kilimo na kubadili maisha ya vijijini nchini Ethiopia

    China na nchi za Afrika zimekuwa na ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, biashara na ushumi, utamaduni, sayansi na teknolojia, kilimo, na sekta nyingine nyingi. Ushirikiano huu umekuwa na manufaa sana kwa nchi za Afrika, kwani zimeweza kupata maendeleo katika sekta husika...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa China waleta unafuu kwa jamii zinazokabiliwa na uhaba wa huduma za matibabu nchini Sudan Kusini

    Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa China ilipowasili katika eneo la makazi yake kando ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba. Desemba 6...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Makumbusho ya kijiolojia yaliyojengwa na China yachochea ukuaji wa sekta ya utalii nchini Tanzania

    China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa ikisaidia nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika, kufikia maendeleo kulingana na mazingira halisi ya nchi husika. Juhudi hizo za China zinaonekana katika maeneo mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo, afya, uchumi na biashara, na ujenzi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Show ya jana ya Marioo nchini kenya

    https://x.com/Ulimwengu01/status/2003003287298326658?s=20
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka huu ndo nimejua kuwa CCM ni chama pekee kinachosimamia agenda ya Amani ya Tanzania yetu. Hongera CCM kwa hili

    Kuna vyama nchini vinatumwa na mabeberu kuharibu amani ya Tanzania yetu, wanahangaika kwa mabeberu mpaka wameitwa masokwe lakini bado. Mfano; Hiki chama cha Chadema ndicho chama cha vurugu nchini, kipo radhi kikeshe bunge la ulaya kwa lengo la kuhatarisha amani ya Tanzania yetu. Ni vema wakajua...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini masheikh wa BAKWATA hawasapoti demokrasia, utawala bora na haki nchini?

    Demokrasia na haki ni kinyume na mafundisho ya dini ya Uislamu? Kwa nini masheikh wa BAKWATA na taasisi zao marafiki kama umoja wa wahadhiri hawajihusishi kudai uwepo wa Demokrasia, utawala bora kudumishwa kwa haki sambamba na kupinga matendo maovu ya utekaji, ukandamizaji na uporaji wa haki...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ona mzaha mwingine: MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ameti

    MJUMBE maalum wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. Naledi Pandor, aliyeshughulikia mgogoro nchini Tanzania, ametinga nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … Dk. Pandor, aliteuliwa na SADC kuwa mwalikishi wake maalum wa kushughulikia mgogoro wa kisiasa nchini Tanzania...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yaliyotikisa 2025 nchini Tanzania, namba 8 ni maajabu

    Hapa ni orodha ya matukio yaliyotikisa nchini tanzania 2025 Maandamano na Mauaji ya Raia (Oktoba 29) Maandamano makubwa dhidi ya serikali, ambapo maelfu ya raia waliuawa au kujeruhiwa baada ya polisi kutumia nguvu kupita kiasi. Samia Kutangazwa Mshindi wa Uchaguzi Bila Kura kuhesabiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hali ya usalama nchini inazidi kuwa tete

    Kilichokuwa kiwe uchaguzi mkuu Tanzania kwa mujibu wa katiba yake, kimepita na yaliyotokea sote tunayafahamu! Bado taifa halijatulia, bado fukuto lipo, la dhuluma, la maumivu, la ukatili mkubwa uliitokea nknk Hofu kwa upande wa pili ni kubwa zaidi.. Nadhani intelijensia inawapenyezea hali...
  19. JamiiForums Tanzania Paul Makonda kuiongoza Taifa Stars AFCON 2025 nchini Morocco

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ndiye ataongoza msafara wa Tanzania katika Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, mwaka huu hadi Januari 18, mwakani. Hilo limethibitishwa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...
  20. JamiiForums Tanzania Fursa ya kuingiza Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (uono) Tanzania

    Habari Jamii Forums PART 1 Ninataarifa A to Z kuhusu biashara ya kuimport Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (UONO) Tanzania lakini ninamtaji mdogo sana nahitaji Mtu wa kushirikiana nae. ZINAKOPATIKANA BIDHAA KWA BEI RAHISI. Hizo bidhaa zinapatikana kwa bei ya Chini Mozambique 🇲🇿 katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…