nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ishugulikie kushamiri kwa uuzwaji wa vifaa vya nyumbani ambavyo vimekwishatumika

    Ninaliona hili kwa hapa Arusha na sijajua kama Serikali inaufuatiliaji wa kujiridhisha uhalali wa kila kinachouzwa kwenye hizi yadi. Kumekuwa na masoko yanayoibuka yaliyosheheni vifaa/vyombo mbalimbali kama Majiko, Meza, Vitanda, Magodoro, TV, Feni n.k. Ningetamani kama inawezekana kuanzishwe...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID-19 kwa wafanyakazi wa Mashirika ya Kimataifa yaliyoko nchini iratibiwa na nani?

    Baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hasani kuruhusu chanjo ya COVID-19 nchini baada ya kushauriwa na watalaamu wetu, na kwamba mashirika ya kimataifa yalioko hapa nchini yanaruhusiwa kufanya chanjo hiyo kwa wafanyakazi wake. Sasa kitu ambacho sijakielewa/Sikifahamuni kuwa je ni hospitali gani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi za kuupata/kuukosa Ukuu wa Wilaya nchini

    #kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kwa ufupi njia rahisi za kuukwa nafasi ya kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya nchini ni 1)uwe ni mwanachama wa chama cha upinzani nchini na hasa chadema,halafu ukiwa kwenye chama hiki uwe mkosoaji mkubwa wa chama tawala ccm.Wewe kwenye mitandao,mikutano...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, una taarifa za changamoto ya mifumo ya TEHAMA nchini hasa kukosekana kwa huduma ya malipo up (control number)?

    Ni takribani mwezi Sasa malipo ya serikali hayafanyiki kwenye taasisi mbalimbali baada ya kile kinachodaiwa mfumo wa hazina unaotoa control number kushindwa kufanya hivyo. Kutokana na changamoto ya control number fedha lazima zitakuwa zinapigwa kwa sababu huduma zinatolewa manually kitu ambacho...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kweli Rais Samia umedhamiria kuleta maendeleo nchini?

    Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli. DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliupa kiki na umaarufu upinzani nchini lakini Samia amewanyamazisha kabisa!!

    Inavyoonekana siasa ni mchezo mgumu sana kuusoma na kuucheza, vitu vingi kwenye siasa vinategemea probability. Kipindi cha hayati wapinzani walitumia ukandamizaji uliokuwepo kuomba sympathe ya dunia na kusema kweli dunia nzima ilisimama pamoja nao. Kipindi cha huyu mama wapinzani wameachiwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea nchini Tuanze tu kampeni ya kuboresha Magereza vinginevyo tuwe na katiba mpya

    Hii nchi wote sisi ni wafungwa au mahabusu watarajiwa, tusipojiandaa kuishi vyema mahabusu tukadhani tupo salama tutaingizwa huko na patakua si sehemu salama kiafya na kimalazi kukaa. Nchi za wenzetu wameboresha Magereza maana wanajua upo uwezekano bila hatia ukahama nyumbani kwako na kwenda...
  8. JamiiForums Tanzania Kuachia wahalifu kwa muda mfupi ni hatari inayokuja nchini

    Ni katika kipindi cha siku 100 madarakani, Rais anaachia wahalifu kwa sababu anazozijua. Baadhi ya wahalifu wamekuwa mahabusu tangu awamu ya 4 ya Kikwete wakati Rais Samia akiwa ni waziri tu! Je, ni kweli katika siku 100 ameweza kugundua watu hawa walionewa? Kweli rais wetu anaamini serikali...
  9. JamiiForums Tanzania Kanusho la kuwepo kwa Mayai ya Kuku kutoka nje ya Nchi yaliyosababisha kushuka kwa bei ya Mayai Nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Dodoma, Juni 17, 2021 A: UVUMI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA UWEPO WA MAYAI YA KUKU KUTOKA NJE YA NCHI YALIYOSABABISHA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI Ndugu waandishi wa Habari, Tarehe 14/06/2021 Wizara ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kundi la vijana ni silaha kubwa ya mageuzi vizazi vijavyo hapa nchini Tanzania

    Ndugu wanajamvi leo nataka nigusie kuhusu wimbi letu la vijana wa hili taifa la Tanzania: Moja, vijana tupambane katika kutafuta riziki ya kila siku vijana tujikubali na tuweze kuuachia ubongo uweze kutafsiri vyema namna ya kupambana na maisha ya kawaida ya kila sikh na so kutegemea mtu ama...
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ufafanuzi kuhusu BBI huko nchini Kenya

    Kwa yeyote anaeielewa vzuri BBI nchini kenya anieleweshe, ni kitu gani na dhima yake hasa ni ipi na je inaweza leta athari gani kwenye siasa za Kenya
  12. J

    JamiiForums Tanzania Shaka atoa somo kwa vyama vya siasa nchini

    "Hakuna chama chochote cha siasa chenye wajibu wala haki ya kumuamrisha Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama au kutoa shindikizo katika maamuzi ya Rais hususani juu ya muda, wakati na namna ya kuwaona Wananchi ndani ya nchi anayoiongoza. Madai ya kuandika barua na...
  13. JamiiForums Tanzania Upungufu wa mafuta ya kula nchini

    Kuna jambo haliniingii kichwani. Jana nimemuona Waziri Mkenda na Balozi wa Netherlands hapa nchini Tanzania wakiwa ARUSHA wakizungumzia juu ya upungufu wa mafuta ya kula. Sijamuelewa maana huku mafuta yapo na ya kutosha na hayana wanunuzi. Wao wanataka mafuta yapi?
  14. JamiiForums Tanzania Nina elimu ya Kidato cha nne naweza kupata scholarship nchini Canada?

    Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko Je, kulingana na...
  15. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Qatar, fursa ya Kombe la Dunia 2022 hiyo inakuja

    Good afternoon jamiiforums Ndugu zangu mnaofanya kazi ubalozi wa Tanzania huko mjini Doha nchini Qatar, kombe la dunia la mwaka 2022 lipo njiani linakuja, tunaomba mjipange hata kama budget ni finyi fanyeni kile kidogo kilicho ndani ya uwezo wetu. SEPTEMBER, 2018 - JPM: "Mabalozi sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums wakipiga 'Presha' kamwe huwezi kubaki salama. Hongereni nyote!

    Leo GENTAMYCINE nawapigia ' Salute ' JF Members wote kwani mnafanya Kazi kubwa sana ya ' Kuibua ' mambo mazito na makubwa ya Kuisaidia nchi ya Tanzania huenda kuliko mnavyojua. Nakumbuka huko nyuma miaka Miwili imepita niliwahi kusema hapa hapa kuwa kama kuna Mshauri Mkuu namba Moja wa Rais au...
  17. JamiiForums Tanzania Orodha ya bidhaa ambazo Serikali inatakiwa izizuie kuingia nchini

    Binafsi naamini ukosefu wa ajira unasababishwa na kujilemaza na kuruhusu nchi iagize nje kila aina ya takataka, kuna aina za bidhaa iwapo zitakosekeana Vijana automatically watajifunza namna ya kutengeneza na kujipatia ajira na kipato, na wala sio bidhaa za ulazima kwamba zikikosekana nchi...
  18. JamiiForums Tanzania 2021 - Oktoba 2025: Muda mwafaka wa wapinzani nchini Tanzania kujijenga ili kufanya mageuzi ya kisiasa

    Salaam wana jamvi, Twende kwenye mada tajwa moja kwa moja. Tukianza na utawala wa awamu ya tano wa John pombe magufuli ambako tulishuhudia mtikisiko mkubwa wa upinzani nchini Tanzania ambao uliosukumwa na matumizi mabaya ya demokrasia hayo yalithibitishwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya wahamia Mombasa kutoka Nairobi. Je, hii ni sawa?

    Tanzanian High Commissioner to Kenya Dr John Simbachawene has moved to new consulate offices in Kizingo, Mombasa County, reports The Standard. The envoy, who is rooting for faster integration of tourism activities in Kenya and Tanzania in a bid to boost intra-boundary trade, said closer working...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Salehe Songolo, aliyetengeneza Meli za MV Mbeya na MV Songea afariki Dunia

    Mmiliki wa kampuni ya songoro Marine amefariki Dunia akiwa mkoani Mbeya Mwananchi limeripoti.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…