nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Nchimbi hakuwa chawa ndani ya CCM alikemea maovu

    Mzee Warioba ameweka wazi👇
  2. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Kwa ninavyomfahamu Nchimbi siyo chawa, hata kwa matamko aliyokuwa akitoa

    Akizungumza leo, Agosti 28, 2026, katika Mkutano wa Wadau wa Masuala ya Kidemokrasia uliofanyika kwenye makao makuu ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema aliyekuwa makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa hajawai kuwa chawa "Kwa sababu mimi nasema...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sioni uwezekano wa kupata Katiba mpya kufikia 2030, asimulia mawasiliano na Nchimbi kabla ya kuondolewa CCM

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya katika kipindi kifupi kijacho, akionya kuwa nchi inaweza kuingia katika madhara makubwa zaidi ikiwa itafanya uchaguzi mwingine kwa mfumo wa sasa. Jaji Warioba amesema mchakato unaopendekezwa kufikia...
  4. JamiiForums Tanzania Nchimbi kufuata nyayo za Maalim Seif au kina Lowassa?

    Kujiuzulu kwa Emmanuel Nchimbi kutoka nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania na baadaye kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumemaliza kwa ghafla moja ya safari za kisiasa zilizokuwa zimefika kileleni mwa uongozi wa nchi. Nchimbi, ambaye kabla ya kuwa Makamu wa Rais alikuwa Katibu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mzee Butiku alikuwa anamkubali Nchimbi?

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Agosti 26, 2026 na M & S Podcast, alipoulizwa ni mwanasiasa gani anamkubali akamtaja aliyekuwa Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi Mzee Butiku amesema kama...
  6. JamiiForums Tanzania CCM kumfuta Dkt. Nchimbi uanachama: Je, anakoma moja kwa moja kuwa Makamu wa Rais?

    Jibu ni HAPANA. Ibara ya 47(4)(c) ya Katiba inaweka uanachama na udhamini wa chama cha siasa kama moja ya sifa za mtu kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais. Aidha, Ibara ya 47(4)(d) inamtaka mtu huyo kuwa na sifa zinazomwezesha kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi...
  7. JamiiForums Tanzania Nchimbi kawa mzalendo kuzidi CDF na IGP hongera nchimbi

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa maneno ya kijasiri ailyoyasema mbelel ya hadhira kuwa katika vitu vya msingi vya kuungana watanzania kwa faida ya sasa na vizazi vyetu ni kudai katiba mpya kwani katika ya sasa inampa Rais mmlaka makubwa sana ambayo anaweza kufanya chochote kile na hakuna...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

    Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania. Ametoweka kuogopa kutekwa Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nchimbi, Samia na Ndejembi lao moja

    Naona ni kama hawa wanatucheza au kutuosha. Sioni jipya wala la maana. Kila kitu kimefanyika kiCCMCCM. Wananchi wajiepushe kuingia mtego wa karata tatu. Wote ni wasanii na wananchi ni walengwa. Ni suala la kutumia akili. Ukimuona mbwa, jua kuna mwenyewe. Sijui Ndejembi nimuite nani na nini...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Nchimbi mbona Kikwete kanywea kunani?

    Kichwa kiko wazi. Nashangaa. Kunani? Ni mpango wa kutupiga changa la macho au? Nani ni nani katika hili? Je, kiraka kajitambua au kujitutumua? Tutegemee kumagufuliana kama ilivyotokea? Je, damu ya wahanga itawaacha wawe na amani na uhai kweli? Nahisi kuna kitu bado hatujakijua wakati huu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tuelimisheni makosa ya Nchimbi ni yapi??

    Machawa tupeni mrejesho maana hata makosa yenyewe watu wengi hawayajui.
  12. JamiiForums Tanzania Namwona Nchimbi akibebeshwa zigo la 29 October, 2025

    Kama mnavyojua hivi karibuni mh.Rais aliteua tume ya kuchunguza yale yaliyofanyika/tokea October 29 na sasa rasmi tume ndo iko mzigoni kufanya yao. Na kulingana na kilichotokea juzi kwa makamu wa Rais kujiuzulu na hapo hapo baada ya muda akafukuzwa na uanachama naona kabisa zigo akisukumiwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM ya sasa sio mali ya wananchi. Dk Nchimbi pamoja na kulazimishwa kujiuzulu anaonekana shujaa kwa taifa lake

    Kwamba CCM ni zaidi ya mtu mmoja kama ilivyokuwa zamani wakati wa chama kimoja. Kipindi hicho watu walilazimishwa kuzikubali fikra za mwenyekiti hata kama hazifai. Leo hii kila Mtanganyika anajua wazi Nchimbi amefanya uamuzi wa kulazimishwa kutokuwa pamoja na kundi la majambazi wa kisiasa ambao...
  14. JamiiForums Tanzania Ulizi kwa Emmanuel Nchimbi si Matakwa ya Samia wala CCM bali Katiba

    Kuna watu Wanahisi kwamba Samia Hassan au CCM wanaweza kumuondolea Ulinnzi Emmanuel Nchimbi. Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba. Sio yeye tu anapata ulinzi, bali yeye na watu wake wa karibu. Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, Makamu wa Rais akistaafu kuacha wadhifa, anaendelea kupata...
  15. JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Dkt. Nchimbi ni tukio kubwa sana kihistoria kwa siasa za Tanzania

    Ukubwa wa tukio hilo una sababu Kuu 3. 1. Cheo chake kilikuwa kikubwa sana Huyu si mbunge wa kawaida, Alikuwa: Katibu Mkuu wa CCM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Balozi Kumfukuza mtu aliyekaa kwenye viti hivyo 3 vikuu kwa muda mfupi, haijawahi kutokea mara nyingi. 2. Muda wake ni...
  16. JamiiForums Tanzania Chadema na Sarungi walifurahi nchimbi kujihudhuru Leo wanaumia Nchi kupata makamu mpya

    Mlifurahia Mheshimiwa kujihuzuru sahzi mnaumia kumpata Mh. Makamu mpya sasa mnafikir mambo yatasimama? Hivi mnaakili kweli nyie nyumbu Ndo maana mnaitwa MANYUMBU.
  17. JamiiForums Tanzania Karata pekee aliyo nayo Nchimbi ni kujiunga CHADEMA

    Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali. Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa ndugu Nchimbi kutoka cheo cha uMakamu hadi kutokuwa mwanachama kuna mafunzo mengi ya kujifunza

    Poromoro la kisiasa la ndugu nchimbi kutoka umakamu hadi kuwa raia wa kawaida asiye na chama kuna mambo mengi ya kujifunza kwa viongozi waliobaki: 1. Cheo ni dhamana au ni sawa na koti la kuazima hivyo tusiinue mabega juu. 2. Hakuna mkubwa kuliko chama. 2. Tuwe na nidhamu na maadili kwa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wadau kitendo Cha Nchimbi kufukuzwa kama nguruwe kwenye shamba la mihogo, je machawa wa humu jf na kwingineko watafukuzwaje?

    Ikiwa Nchimbi amefukuzwa kama nguruwe kwenye shamba la mihogo, hebu piga picha machawa wa humu jf na kwingineko namna watakavyofukuzwa.
  20. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Balozi Emmanuel Nchimbi?

    Linaweza kuwa swali la kijinga sana lakini lililobeba tafakuri kubwa Ukimya na kutoonekana kwake hadharani kumezua sintofahamu kubwa inayotoa mwanya wa speculations za kila aina Kwamba yuko house arrest Kwamba yuko mahali salama Kwamba kapokonywa simu zake zote na kuzuiwa kuonana na yeyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…