Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.
Hizi siasa za CCM zimefika kikomo. Kwamba Nchimbi kuonekana wakahisi italeta nafuu.
Nchimbi wa Mchongo. Halafu Nchimbi na Dubai wapi na wapi?
Mumelaani mnaoleta siasa kwenye maisha ya watu. Leo kwa Nchimbi kesho kwenu.
Kuna picha za Nchimbi zimeachiwa kuwa ameonekana Dubai mapumzikoni, tambueni kuwa picha hizo haziko kwa bahati mbaya ila zinatumika kuhamisha upepo mbaki kubishana juu ya uhalisia wa wapi alipo Nchimbi na msahau kutekwa kwa Twaha Mwaipaya pamoja na Vuguvugu la Maandano.
CCM wana kila mbinu ya...
=====
Aliyekuwa Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameonekana nchini Dubai hivi karibuni akiwa kwenye mapumziko, taarifa ambazo zinafuta uvumi uliokuwa ukienea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kutoonekana kwake wiki kadhaa tangu ajiuzulu
Taarifa za vyanzo mbalimbali zinaeleza kuwa Dkt...
Dk Nchimbi ni mkatoliki anapenda kwenda kanisani. Kama hajawekwa kizuizini kibabe huku akionyeshwa bastola basi kama ilivyozoeleka mruhusuni aende kanisani na kisha asalimie waumini na kutoa neno nini kilimsibu.
Yaani mtu alikuwa katibu mkuu wa chama na makamu wa Rais kitendo cha kufukuzwa bila kumpa nafasi ya kujielezea na sasa sitofahamu alipo inainyesha mapungufu makubwa ya CCM .
Yaani hawana uwezo wa kuhoji tena wamekuwa woga. Sasa ni matumbo tu
Huu uzi ni kwa ajili tu ya kumkumbusha mama la mama Tulia Ackson.
Baada ya kumaliza muda wake kimataifa usalama wake unashuka daraja kidogo kutoka ule wa Abdul na Wanu Hafidhi na kusogea daraja la Nchimbi na Polepole.
IPU ilikuwa inampa kinga ya kuvanish without trace.
Kwa hiyo a jitahidi...
Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana. Polisi wametusaliti na kuwa wauaji na watekaji wetu, wakijiunga na TISS katika udhalimu huu...
Wakati wananchi wanajitafuta mfano wameona hapa wafanye biashara zao au mambo mengine na ilo eneo cha kushangaza wala serikali ijahusika.
Baada ya mda unaona serikali imeingilia ilo eneo na kuanza kupangia watu,kufukuza watu kwa kisingizio cha muwekezaji.
Leo hata mkianzisha sehemu ambapo...
Yani uwe adui wa mfumo kwa kusema waTanzania watafute Katiba mpya???
Hukujiuzuru kipindi wanasiasa wanatekwa kila siku, wafanyabiashara wakiwa wanatekwa, miili zilipokuwa zikiokotwa kila siku, ulishuhudia Samia akivunja katiba ya chama chenu na ukazunguka kufanya naye kampeni nchi mzima alafu...
Kumbe hawa mabwana ni ndugu sasa ukoo unamfuatilia kwa karibu msigwa kuona mienendo yake baada ya mpendwa wao kuwekwa utumwani.
Kumbe kajamaa kamezira kimyakimya.
Kila mtu atafikiwa si mlisema anaupiga mwingi.
Kama ilivyo kwa binadamu wengine ni vizuri kujuliana hali na kuthamini uhai wa kila mtu kwa hiyo naelewa nikiona watu wanawaza yuko wapi bwana Ima.
Ila sisi sote tunajua quality ya mpinzani ambayo CCM hawawezi kucheka naye, Ima hamna kitu, yani kisa kusema “Pambanieni katiba”???
Yuko sehemu...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko makubwa katika safu ya watendaji wake wa mikoa, hatua ambayo imeacha maswali kuhusu sababu ya kubadilishwa kwa karibu makatibu wote wa mikoa ya kichama wakati chama kikijiandaa kuingia katika mchakato wa uchaguzi wa ndani.
Katika mabadiliko hayo...
Nchimbi amekuwa Muumini wenu miaka yote na kutokana na Vyeo alivyokuwa kuwa navyo akifika Kanisani mlikuwa mntambua kipekee hivyo mlikuwa mnampa viti maalumu vya kukaa pengine pale mbele kabisa.
Kama mlimtambua kwa cheo chake, kwa nini sasa haji Kanisani kwenu na nyie mmenyamaza kimya...
Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.
Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu...
Kweli dunia ni uwanja wa fujo,
Kila mmoja anapiga zake zikipasuka anatoweka.
Wapo waliovuma mitandanoni na kwenye siasa.
Wako wapi akina Humphrey Polepole Mdude,, Nchimbi na wengine waliovuma kwenye uringo wa siasa?
Wako wapi akina Rachael Dangwa na mitusi na vimbwanga vyake?
Wako wapi akina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.