nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mm ni kilaza lakini Nchimbi yupo lockdown hata barua hakuandika yeye (hii ni nimeipata sehemu)

    Kutoka jikooni ,nchibi yupo lock down cm zake zinashikiliwa na mamlaka Alicheza kalata vzr ila Amesalitiwa mwishoni Huo ndo ukweli
  2. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

    https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi.. Inasemekana...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

    Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake. Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake halafu watu tunakuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mbona sioni hashtag free Dr Emanuel Nchimbi mpaka sasahivi? WATANZANIA mmeanza kuzoea upotevu wa watu? Hay Mimi naanza FREE DR NCHIMBI

    Kwamba hqtujui kama huyu mtu hayupo kwa familia yake, hayupo ikulu? Na hajulikani alipo mpaka muda huu? Nawashauri msikate tamaaa nyinyi semeni freeee Tundu Lissu Free Dr Nchimbi ukimnya WENU ni hatari kwako na kwangu maana hatuko salama mpaka tukimbilie kenyaaaaa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Nchimbi kujiuzulu na kutoonekana hadharani, alKitangulia mbele za haki kwa natural death, watakwepa lawama?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na pia ni hatari ninayaiona iwapo hilo litatokea japo hatuombei ila tusisahai kifo ni wakati wowote na kws yoyote. NB: Kama yuko kwenye depression na ana magonjwa ya kiutu uzima kama vile pressure au kisukari, basi risk inaongezeka na hii ni hatari zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

    Na. M. M. Mwanakijiji Wanasifia "Katiba yetu nzuri" Wanasema wameridhia EN ajiuzulu Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine Wakampitisha Bungeni Wakaenda kumuapisha Ikulu Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga... Siku tano baadaye...
  7. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais aliyejiuzulu Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi?

    Tangu ajiuzulu wadhifa wake amekuwa kimya mno. Je, ameenda kijijini kwake kwenda kulima na Kufuga? Emmanuel Nchimbi, nakukumbusha kumbuka viapo vyako ulivyoapa!
  8. JamiiForums Tanzania Kawaida: Kamati Kuu ilimuita Nchimbi lakini kwa sababu ya kiburi na kudharau chama aligoma kuja, tukamfukuza

    wenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwa kushirikiana na NEC, ilitoa maelekezo ya Balozi Emmanuel Nchimbi kuitwa katika vikao vya maadili, lakini alikaidi maelekezo hayo. Kawaida amesema hayo leo Agosti 29...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi anaweza kuja kuwafunga watu kwa Uhaini

    Mara nyingi ukimchukia mtu unaweza kujikuta umeingia kwenye makosa na utata mwingi. Kwa jinsi nilivyofuatilia kesi ya Lissu ni kuwa kumteka Makamu wa Rais, kumtishia n.k ndio ugaidi halisi. Mzee warioba ameonyesha kuwa Nchimbi hakupokea simu yake huku ikidaiwa kuwa amenyang'anywa simu na...
  10. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Dk Nchimbi sio justification kuwa katiba ya sasa inafaa. Haifai na tunatakiwa tupambane tupate katiba mpya

    Nimesikia mahala Mwenyekiti wa CCM akijinasibu kuwa Katiba hii ya CCM yq mwaka 1977 inafaa kisa tu wameweza kumfukuza Nchimbi uanachama na kuweka makamu mwingine. Huu ni uongo na uzandiki. Hii Katiba haifai hata kidogo . Ni katiba ambayo haikutungwa na wananchi bali ilitungwa na wanaCCM...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna uhakika kiasi gani kwamba ni kweli Nchimbi mwenyewe amejiuzulu siasa?

    Ni vigumu kuamini Nchimbi mwenye miaka 54 amestafuu siasa na utumishi wa umma ikiwa hatajitokeza hadharani mwenyewe kusema au kuthibitisha amestaafu siasa kwa hiyari yake. Kujiuzulu nafasi ya umakamu inawezekana lakini kustaafu kabisa siasa haiingii akilini. Anstaafu siasa na utumishi wa umma...
  12. JamiiForums Tanzania Mitaani wananchi wanaamini mpishi wa Dk Nchimbi alikula chakula chenye sumu akafa. Serikali ipo kimya na haikanushi

    Hii inaleta picha kamili kuwa wanachoamini wananchi kina ukweli. Vifo vya viongozi wengi wa CCM vina utata ndio maana CCM ni chama cha watu waovu kama alivyosema Humphrey Polepole.
  13. JamiiForums Tanzania Facebook: Je huu ndiyo u-Yuda Iscariote wa Nchimbi?

    Kutoka chanzo cha Facebook;- 👉YA NCHIMBI IPO HIVI - Nimetrace data kuanzia Q692-92 na Zile za Ts629/002/7722/003 za mwezi wa 4 na 8 zote zinaonesha kwanza kabisa ! 👉Mifumo wake wa simu ilikuwa traced , na kosa zaidi alikuwa anawasiliana na x , na y, na z wa Chadema sasa mchezo upo hivi...
  14. JamiiForums Tanzania Nchimbi alijipangia tarehe ya kujiuzulu rasmi ambayo ni 04/09/2026 huo muda angefanya kazi na nani? Au hajui athari za tukio alilolifanya?

    Alitoa barua ya kustaff tar 25/9/2026 na kujipangia kuwa atajihuzuru tar.4/9/2026 sijajua alitaka afanye nini ofsni huo muda na nani na wapi ? Ili Hali ashaonyesha usaliti mkubwa kwa Taifa na kwa chama au naye hajui athari za aliyoyafanya? Au tuseme uchawi upo 🤣 Nadhani naye Bado hajui amefanya...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Dk Nchimbi amefukuzwa CCM kama mbwa, we kidampa usie na mbele wala nyuma unahangaika nini kusifia uovu wa CCM

    Nchimbi ni mmoja wa Watanganyika walioipambania CCM tangu akiwa kijana mpaka leo hii anakuja kufukuzwa kwa kuktaa uchawa na kupinga maovu We kidampa ambae kumiliki tu smart phone unajiona CCM mali ya baba yako na kutetea uchawa na uovu una nini cha maana?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nitoe wito kwa Mabalozi, Familia na Washirika wa Nchimbi tokeni nje ya Nchi

    Upinzani wa Syria, Libya, Yemen na mataifa mengi walifanikiwa kubadilisha mfumo katili kwa kuweza kuanzisha "Parallel institutes" Watanzania hawakumpa Uhalali Samia hivyo wako tayari kumpa uhalali mtu yoyote anayepinga na Samia. Nchimbi alishiriki uchafuzi wa October 29, ila baada ya kupishana...
  17. JamiiForums Tanzania Nchimbi anaweza kututajia watekaji wote kwa majina

    Hadi wanapoishi na familia zao, Hata kwa kutumia anonymous accounts za mitandao ya kijamii. Hili ni jambo muhimu sana.
  18. JamiiForums Tanzania KATI YA SAMIA NA NCHIMBI UTAMCHAGUA NANI?

    Wanajamvi. Kuachana na mambo ya CCM ,,, ikawa uchaguzi wa Rais wagombea ni huru. Kati ya Samia na NCHIMBI UTAMCHAGUA nani? Au ninyi wana CCM ukiwekwa Uchaguzi huru ndani ya chama nani atashinda kati ya hawa wawili?
  19. JamiiForums Tanzania Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

    Wa Tanzania 🇹🇿 hili swala la Nchimbi lililosimamisha nchi tafsiri yake imekaaje? Kuna maswali najiuliza hapa Naomba ku share nanyi Hawa wafuasi waliojitokeza kumsifia Nchimbi na kumuona shujaa ni wana CCM wenyewe au ni wanachama wa vyama vingine? Je, nani anajua Nchimbi amejiuzulu kwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aeleza wasiwasi simu za Nchimbi kutopokelewa 'Sikuizi ukisema ukweli umeanzisha fitina'

    Jaji Mstaafu, Joseph Warioba, ameeleza wasiwasi wake kuhusu mazingira yaliyogubika kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ikiwemo kitendo cha simu zake kutopokelewa na kuwepo kwa taarifa za kupokonywa simu na kuwekwa chini ya ulinzi mkali. Akizungumza leo Agosti 28...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…