nchi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Soma uchambuzi huu wa kina ili kuelewa kwanini Watanzania hawawezi kamwe kuandamana

    Ndugu zangu Watanzania, Kinachopelekea na kuchochea maandamano,machafuko na vurugu katika nchi yoyote ile kwa wananchi wake kuanza kumwagika na kumiminika mitaani kuandamana na kufanya vurugu kwa kiasi kikubwa huwa inatokana au kuchochewa na watu kukata tamaa na kukosa Matumaini ya kesho iliyo...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zaipa meno Hizbullah. Zasema kuanzia sasa si kundi la kigaidi tena

    Katibu mkuu wa jumuiya ya kiarabu mwishoni mwa wiki hii ameitembelea Lebanon na kukutana na kiongozi wa chama kinachoiwakilisha Hizbullah katika serikali ya Lebanon Bwana Hossam Zaki baada ya kukutana na kiongozi huyo alifanya mahojiano na vyombo vya habari kikiwemo Alqahera cha Misri na kusema...
  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Katika miaka 5-25 ya mabadiliko ya nchi na jamii ningependa kuona au kuchangia mambo yafuatayo ili kupata maendeleo yenye tija katika nchi yetu

    KWANZA AWALI YA YOTE NAMSHUKURU MUNGU KWA AMANI NA NEEMA ALIYOTUPA SISI KAMA TAIFA LAKINI YAFUATAYO NI MITAZAMIO YA MIAKA 5 HADI 25 NTAKAYOCHANGIA;- 1. Kulingana na mtazamo wangu miaka ijayo kutakuwa na ongezeko kubwa la watu na makazi hivyo kwa hiyo hatua inatupasa kama jamii tuzingatie hayo...
  4. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Watanzania na Wamalawi, Wazambia na Wakenya iko kwenye vitu vikuu vitatu.

    Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda...
  5. JamiiForums Tanzania Je, unadhani Mchakamchaka mzito wa Kuzunguka nchi nzima Milima na Mabonde kwa Mwakani ataweza Kweli au atasaidiwa na Chawa Majuha wake?

    Kila nikiangalia na kumpima kwa mambo kadhaa sioni kabisa kama hata ataweza Kuizunguka Mikoa Saba tu Nchini.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli jamani. Hivi chadema wakipewa nchi itakuwaje? Maana msomi ni tundu lisu pekee. Baraza la mawazili itakuwaje?

    Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
  7. JamiiForums Tanzania Sababu zipi zilimfanya Mwl.Nyerere kuiingiza nchi katika ujamaa na chama kimoja?

    Wakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi na uchumi wa soko huria kabla Nyerere hajabadilisha mfumo ni kutupeleka kwenye chama kimoja na ujamaa mwaka 1965 na 1967. Ni hoja zipi Mwl Nyerere alizitumia alipofanya hayo mabadiliko makubwa hivyo ambayo yalitegemewa kuwa na hatimaye...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi bora kwa kila jambo

    Nirahisi kuibeza Tanzania kwasababu una Amani. Kuna nchi hata mahali pakusemea hapapo. Kila siku ni maangaiko ya risasa mabomu ya kutoa machozi Tanzania Sisi nikicheko. Tukishiba ugari tunaanza maneno. Fikilia ungezaliwa nchi zenye Vita ungekuwa wapo. Ebu fikilia wakimbizi wanavyoteseka...
  9. JamiiForums Tanzania Ikitokea upinzani ukashika DOLA utakuta nchi ipo hoi bin taaban.

    Ni kana kwamba makada wa chama changu ccm wanadmfukuzana na muda kwa kukopa na kukuza deni la taifa kuwa kasi sana huku rasilimali zikibebwa na wageni KWA kisingizio cha mikataba ya uwekezaji!! Najaribu kuvuta picha tuendapo napaona pagumu n hatuna pa kushika bila kujali nani atakua mshika...
  10. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nguvu ya vijana kwenye urithi wa nchi

    Vijana ni kundi la watu ambalo lipo kati ya umri wa miaka 18 mpaka 40, hii hutofautiana kwa baadhi ya jamii nyingine. Kundi hili ndio kubwa zaidi kwenye nchi yetu na linaongezeka kwa kasi kila siku(Sensa 2012-2022). Katika kipindi hichi cha ujana ndicho kinapaswa Vijana wapewe Elimu na Mafunzo...
  11. JamiiForums Tanzania Katika nchi za East Africa hakuna nchi inayopitia kipindi kigumu kama Tanzania. Yanayoendelea Kenya ni tabia tu.....

    Ugweee..nimekosa salam ya haraka kuwasabahi ndg zangu. Hawa Z Generation nchini Kenya ni muenendo na miendelezo ya tabia ya wananchi waliosomeshwa na serikali zao za nyuma...hapa namzungumzia Moi na wengine waliofanya vema. Kinachoendelea nchini Kenya ni sahihi na haki kabisa. Hapa Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wasanii Kenya wako na Wananchi, hii ni Kinyume na wasanii wa nchi ya wakujikomba(Tanzania)

    Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii. Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 ijayoTanzania

    Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Tanzania, nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi na utajiri wa tamaduni, inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Katika maono yetu ya Tanzania Tuitakayo, ni muhimu kuibua fikra...
  14. JamiiForums Tanzania Athari za nchi kukopa kupitiliza kwa miradi isiyo na tija ni kwa wananchi

    Wakuu, Mtafutaji, mhifadhi na mtoaji kilichowekwa kwenye mkoba kasoma bajeti yake ikinakisi ndio mahitaji ya nchi kujiendesha. Kudai kwamba nchi inakopa kwa sababu inauwezo wa kukopesheka na kulipa deni ni dharau kwa wananchi ambao ndio walipa kodi lakini wenyewe hawanufaiki na matokeo ya...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar ipo na sisi ni Tanzania bara, kwanini wasioitwe Tanzania Visiwani?

    Muungano wetu ni wa nchi zilizokuwa Tanganyika na Zanzibar. Leo hii viongozi wanaogopa na kuona aibu kutaja Tanganyika ila wazanzibari wanaona fahari kuitaja Zanzibar, wana bendera yao, wimbo wao wa Taifa, wana bunge lao, Rais wao, serikali yao, mahakama zao. Kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wanamilikisha Kodi za wananchi na mikopo ya nchi Kwa Rais,

    Je mliosomea Sheria mtusaidie, ni Sheria Gani ya nchi inayosema Fedha zinazokusanywa na serikali Kwa niaba ya wananchi ni za Rais, Je kipengele Gani kinachosema Fedha tunazoangaikia kufanya kazi Kila siku na kuilipa Kodi serikali zitakuwa ni Rais. Haiingii akilini ,kitu pesa yangu nalipia Kodi...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Msaada haraka Chanjo ya manjano(yellow fever) nataka kusafiri nje ya nchi

    Habari wana jamii, samahani ndugu yenu nimepata safari nnje ya nchi sasa sijui chanjo ya manjano inachukua mda gani kudungwa dosi na kupata cheti chake maana safari ipo karibu sana. Naombeni msaada kwa wazoefu tafadhali
  18. JamiiForums Tanzania Mfumo wa demokrasia unafanya nchi ziwe na mikopo mikubwa isiyolipika.

    Kila siku demokrasia inazidi kujithibitisha kama mfumo wa hovyo sana na haufai kutumika kama mfumo wa utawala. Zamani nchi zilipoongozwa na wafalme nchi ilikuwa ni mali ya mfalme na vizazi vyake. Nchi ilikuwa kama mali yao binafsi na waliitunza kama mali binafsi. Wafalme wengi walikuwa makini...
  19. JamiiForums Tanzania Hakuna shirika linalofanya utafiti kubaini nchi zenye wanafiki wengi zaidi duniani?

    Tumekuwa tukisikia mashirika kadhaa yakifanya tafiti kubaini mambo kama vile 1. Nchi yenye furaha zaidi. 2. Nchi yenye watu wenye IQ kubwa zaidi. 3. Nchi yenye uhuru wa kutoa maoni nk. Je, hakuna shirika linalofanya utafiti kubaini nchi yenye wanafiki wengi zaidi duniani? Hii record huenda...
  20. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kero za nchi yetu (Tanzania) tuziondoe namna hii

    UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi kubwa(kwa eneo na idadi ya watu) barani Afrika.Ni nchi iliyojaliwa rasilimali nyingi na za kutosha,imejaliwa kuwa na watu wenye akili na vipaji.Aidha Tanzania ni kisiwa cha amani.Pamoja na utajiri huo ,bado nchi yetu inachangamoto lukuki.Umasikini,ukosefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…