nchi

  1. JamiiForums Tanzania Benki ya biashara Tanzania (TCB) kushirikiana na Serikali kupanua biashara nje ya nchi

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Arusha, Agosti 30, 2024 - Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kupanua wigo wa uwekezaji nje ya mipaka ya nchi. Hayo yameelezwa wakati wa kikao kazi cha siku tatu kinachohitimishwa hivi leo jijini Arusha. Kikao hicho...
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe awajibu polisi, ataka ushahidi wa zoom- ila yuko nje ya nchi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mbowe-polisi-watoe-ushahidi-mipango-ya-maandamano-kikao-cha-zoom--4744332
  3. JamiiForums Tanzania Hii nchi ambao wako nje ya utumishi wa umma wana possibility kubwa ya kutajirika kuliko watumishi wa umma.

    Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii. Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha. Makampuni yatakutafuta usiku na mchana uweke sura yako na sauti yako kwenye biashara zao. Mtumishi wa UMMA huwezi kucheza na social...
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa maslahi mapana ya nchi ya Tanzania, Wabunge hawa hawatakiwi kukosa kwenye bunge la 2025-2030

    Huu ni utabiri juu ya nini kitatokea 2025 hadi 2030, itakuwa ni wakati wa kuwakomoa watanganyika. Nchi itapigwa mnada bila hofu yoyote kwa sababu watanganyika hao hao viongozi ndio wanasapoti uuzaji huo uendelee. Wananchi wa Ngorongoro wataondolewa ngorongoro wapende wasipende. Rasilimali...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zimehimizwa kujifunza toka kwa China ili ziweze kupata maendeleo ya kasi

    Maendeleo ya kasi ya kiuchumi na kijamii ya China, yamekuwa ni mambo yanayojadiliwa kwa kina na wasomi wengi duniani, ikiwa ni pamoja na wale wa nchi za Afrika. Moja kati ya mambo ya msingi yanayotajwa kuwa ni kiini cha maendeleo hayo ni njia ya China ya kujiletea maendeleo, ambayo wataalam wa...
  6. JamiiForums Tanzania Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
  7. JamiiForums Tanzania Kweli nchi hii inatafunwa, Rais Samia amekiri jinsi wakuu wa mashirika ya Umma, wanavyojidai, jinsi wanavyoiba pesa za Umma!

    Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wamasai wapewe maua yao kwa kuipenda nchi yao!

    Wamasai ni wazalendo, na masomo ya kiraia wametupa: "Ilikuwa Ngorongoro, tukayasikia Loliondo." Kwa hakika hawa hata kama wangekuwa Gaza, Mossad wangenyoosha mikono. Haipo shaka hawa ndugu wanaipenda nchi yao kuliko wapalestina! Wangekuwa chama, wasingeibiwa kura na katiba waitakayo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hilo la UMEME Nchi nzima hongera Serikali.

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa KUTIMIZA WAJIBU wake kwa kuhakikisha Tanzania nzima inao mtandao wa mwanga wa nishati ya umeme karibu Miji na Vijiji vyote. Tunaweza kuona ni jambo dogo lakini kwa wenzetu hiyo ni habari kubwa na maendeleo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Inasemekana NATO wamemtaka Zelensky akimbie Nchi, je ni kweli?

    Nasikia NATO wamemshauri Zele akimbilie Poland kujificha kunusuru maisha yake.
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya maandamano yanayoanza kushamiri ni dalili njema kwa afya ya nchi

    Polisi walitumia nguvu kubwa mpaka ya akiba kuzuia kongamano la vijana wa CHADEMA kule Mbeya kwa kuwatenda unyama na kuwatweza vibaya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA. Kabla hakujapoa, Ngorongoro ikainuka, wamasai wakajaa barabarani kudai haki yao ya kutambuliwa kama raia huru wa nchi hii ambapo...
  12. JamiiForums Tanzania Je, naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi bachelor degree?

    Habari wana JF, Mimi ni mwanachuo wa diploma mwaka wa pili nilikuwa naulizia kwa wazoefu kuwa naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi kusomea bachelor degree na kama ni ndio, vigezo vyake na sites za ku'apply ni zipi?
  13. JamiiForums Tanzania Katika nchi zinazopenda dini duniani, Tanzania ipo nafasi ya tano

    Utafiti ulifanyika,watu wakaulizwa kama dini ni ya maana katika maisha yao; Ya kwanza ni 1. Indonesia. 2. Senegal 3. Pakistan 4. Mali 5. Tanzania. Waliofanya utafiti wanaitwa Pew Research Center
  14. JamiiForums Tanzania Hii nchi ina matahira wa kutosha. Inakuwaje mtu ajivunie pesa za msaada wa COVID-19?

    Hello! Miaka 2, 3 iliyopita tulipata billions and billions kutoka kwa Wazungu ili tukabiliane na athari za COVID-19. Pesa zile nyingi zilikwenda kwenye elimu. Zilijenga vyoo vya shule na kujenga madarasa mengi hapa nchini. Wachache tuliona ni jambo jema lakini tulitoa kasoro. Inamaana bila...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Kiongozi Mkuu upinzani Lebanon ataka Hezbollah wapokonywe silaha kuepusha majanga zaidi, magaidi hawezi ishinda Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kutokea Lebanon Wenye nchi yao sasa wamecharuka wanataka Hezbollah wafurushwe nchini mwao na Serikali yao iwe na mamlaka kamili ya kutawala Kwa nchi yote ya Lebanon Madhara ya Hezbollah kuendesha shughuli zao ni makubwa sana hivyo ni wakati muafaka kikundi...
  16. JamiiForums Tanzania Wasanii wanaomba Support kwa Wananchi, lakini wao hawatoi support kwa Wananchi

    Wakuu Tunaishi kwenye nchi ambayo wasanii wanawaomba sana wananchi wawape support kwny muziki wao au kazi zao sanaa lakini wananchi hao hao wakipata shida kama kutekwa, kuonewa, kukamatwa na kuandamana hutokaa uwaone wasanii hao wakitetea wala kuwakingia kifua wananchi Tunaishi kwny nchi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Serikali boresheni mfumo wa kidigitali kupokea maoni ya watu kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu nchi yao

    Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi. Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini biashara ya kitumwa ilichelewa kuharamishwa nchi za kiarabu na mpaka sasa inaendelea kimagendo ?

    Uingereza - 1833 Ufaransa - 1848 Marekani - 1865 Saudi Arabia na Yemen 1962, Oman 1970 Mauritania 1981 Hadi leo Biashara hizi zinaendelea kimagendo -Libya -Western Sahara Kwa nchi kama Saudi Arabia mpaka leo kuna unyanyasaji unaendelea kama kuporwa paspoti, vipigo, kubakwa, kulalishwa njaa...
  19. JamiiForums Tanzania Hii nchi ina watu wako talented sana

    Hii ni talent nyingine iliyopo Tanzania. Tuisupport kwa hali na mali. Huu ni mfano tu wa talents nyingi zinazopatikana katika nchi yetu. All the best. Nionyeshe Njia https://youtu.be/3mbpuIq7Nx0?si=nPosM5gXcZUXkAnZ Sijui Kuhusu Kesho https://youtu.be/eLEB5_q74lc?si=IQsKFOW0uJWNt6zo
  20. JamiiForums Tanzania Mimi nikiwa Mtanzania tena mzazi mwenye uchungu na matukio ya utekaji, hii inanifanya niichukie nchi yangu. Njii ipi nzuri ya kutatua ili tatizo?

    🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu. Kiukweli kunahaja wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…