nchi

  1. JamiiForums Tanzania Kama hatulumchangia Lissu hela za kununua gari, kwa nini anaamini tutampa kura aqe Rais wa nchi?

    Mambo mengine ni kufanya tathmini tu ya kawaida, Lissu aliitisha mchango kwa nguvu kubwa sana, lakini alichopata ni cha kununua pikipiki ya SUN-LG. Anapata wapi nguvu ya kuamini tutampa kura?
  2. JamiiForums Tanzania HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA ILETWE ?

    WAHENGA WAHENGA Habari zenu bana wahenga wa miaka ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona sasa hivi WATURUKI ..........2024 wana tamba ile mbayaaaaa............... je wahenga HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA kuanza kutumika ???
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hata wageni wameshajua kuwa Tanzania ni nchi ambayo watu wake wanaishi kwa mazingaombwe

    Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo watu wanaishi kwa mazingaombwe. Miujiza inayokuwa claimed kufanywa na hawa wachungaji ni mazingaombwe ambayo yako formalised na hakuna tofauti na yale ya akina mwanamarundi au power mabula. Ndo mana hata akina prince dube au ateba nao wameenda kitafuta...
  4. JamiiForums Tanzania TUGHE yalalamikia uwepo wa Kanuni inayokiuka Katiba ya Nchi

    Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimelalamikia uwepo wa Kanuni inayokiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayowazuia watumishi wa umma kujihusisha na masuala ya wafanyakazi, jambo ambalo limekuwa kero na kuzuia ukuaji wa vyama hivyo pamoja na kudhoofisha hima...
  5. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa waasi nchini Syria asema aomba amani na Israel, nchi za Ulaya na Marekani

    Amesema kuwa amechoka kupigana kwasababu zisizo na mbele wala nyuma, ameomba kuungwa mkono na Israel, Ulaya na Marekani. Huu ni ushindi mkubwa na ukombozi kwa makobazi. Chanzo: Adhuhuri Live (UTV).
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wafahamu wajinga wa aina 2 wanaoiumiza nchi

    Katika hii dunia, tunao watu wajinga sana wa aina mbili: Wajinga wenye kaujanja fulani, wenye uwezo wa kupewa elimu na kuacha ujinga. Wajinga wenye upumbavu wa kuwatotosha, uliowasahaulisha Mwenyezi Mungu na kuwafanya kujihisi kuwa na kauungu ndani yao. Tusichoke kutoa elimu ili tulinusuru...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lissu Ataiongoza Vipi CHADEMA wakati Muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Mnyimeni kura ili aendelee Kuzurura ulaya na Marekani.

    Ndugu zangu Watanzania, Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama wakati na muda wote.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana. Chama kinahitaji Kiongozi na viongozi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Trump kwa nchi washirika wake wa kibiashara huenda ukaifanya Marekani iishie kujipiga risasi yenyewe mguuni

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump akiwa sasa yupo kwenye maandilizi ya kurejea tena kushika usukani na kuliongoza taifa la Marekani Januari mwaka 2025, ameanza kujenga uhasama na nchi washirika wake wa kibiashara kwa kutoa vitisho kwa nchi mbalimbali duniani, huku akitilia mkazo sera ya...
  9. JamiiForums Tanzania Inakiwaje Nchi ya Misri imekosa nabii hata mmoja?

    Kwanza naomba kujua ni sababu zipi wazungu waliziona kwa misri na nchi nyengine za mashariki ya kati kuziunganisha na bara la Afrika? Je ni usalama au Kuwagawa waarabu? Jambo la pili inakuwaje nchi kama Misri ambayo inahistoria kubwa mno,imeshindwa kutoa hata nabii mmoja,Kiongozi(sayansi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Biteko anafaa kuwa rais baasa ya Samia kuongoza nchi kwa takribani 40 years mana hatujawahi kuwa na rais aina hii.

    Hakina Samia ni rais na nunu nchi haijawahi kuwa na rais kama huyu tangu tupate uhuru. Rais mpole na msikivu Rais mpenda maendeleo tena kimya kimya bila kelele eti kishindo cha samia kama ilivyokuwa kwa jpm After 10 years to come unemployment rate iliyotengenezwa na jpm itakuwa imeisha na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua nchi hii ina wenyewe, uliza tenda zote za mabilioni za huduma kwenye mradi wa bwawa la Nyerere nani walipewa!

    Ninaangalia hapa list ya wale wote waliopewa tenda za kutoa huduma kwenye mradi wa Nyerere nabaki kutikisa kichwa tu. Tenda hizi zilikuwa ni za mabilioni na kwa ajili ya ku-supply kila kitu, kuanzia chakula, vifaa, huduma nk. Sana sana ulinzi ndio naona walipewa Suma JKT. Naona majina hapa ya...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Serikali mpya ya Syria inajipanga kurejesha mahusiano na nchi za magharibi huku ikiipa Iran mkono wa kwaheri

    Ufaransa yarejesha bendera katika ubalozi wa Damascus huku mamlaka mpya ya Syria ikijenga mawasiliano na nchi za Magharibi. Ufaransa ilipandisha bendera yake katika ubalozi wake wa Damascus siku ya Jumanne kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12 na maafisa wa Umoja wa Ulaya walijitayarisha...
  13. JamiiForums Tanzania Hali ya Elimu katika Nchi Yetu Sasa

    Habari wanajamvi, Naamini tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kufunga mwaka wa 2024. Mungu amekuwa mwema kwetu, na ni kwa kudra zake tunaendelea kuishi. Jana nilimtembelea rafiki yangu mmoja. Yeye na mke wake ni waalimu wa sekondari. Tuliongea mengi, na mojawapo ya tulivyovigusia ni hali ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kwa CHADEMA kumpa Tundu Lissu nafasi awe Rais wa nchi kuliko kumpa uenyekiti wa chama

    Friends and Our Enemies, Siku zote tumekuwa tunasema hapa kuwa shida kubwa cha CHADEMA na hususani mwenyekiti wa chama hiko ni kushindwa kuandaa succession plan ya chama chao. Sisi hatuna shida na kuwa chama hiko waasisi wao ni KASKAZINI...Ni cham ambacho kimepitia mawimbi mengi makubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ipi kazi ngumu kati ya kuongoza nchi na kuongoza chama cha siasa?

    Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa . Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rasimalimali za nchi ni muhimu kulindwa na kila mtu , uwanja wa Taifa ni miongoni mwa rasimalimali muhimu Kwa maendeleo ya vipaji vya soka

    Niende Moja Kwa Moja kwenye maada ujenzi wa uwanja wa mpira ni gharama kubwa sana lakini inauma sana kuona Watanzania wachache Wana haribu nyenzo zilizipo ndani ya uwanja huo. Mashabiki wa Klabu ya Simba siyo mara ya kwanza kufanya uharibu wa miundo mbinu Kwa uwanja wa TAIFA. Hivyo Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu anaweza kuivusha nchi lakini hawezi kukivusha chama chake!

    Haya maajabu au dharau kwa watanzania? Kwamba baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wanasema Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama chao lakini hao hao wanasema anafaa(alifaa mwaka 2020) kuongoza nchi nzima ya Tanzania. Tutafakari! Demokrasia iwe kwa vitendo siyo kwa maneno matupu ya majukwaani au...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Wazo langu: amani ya kweli itapatika Mashariki ya kati kwa kuigawanya nchi ya Syria kuwa nchi

    Wadau hamjamboni nyote Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika Mataifa ya Syria na Lebanon yagawanywe kama ifuatayo Syria igawanywe kuwa nchi 2 Lebanon igawanywe kuwa nchi 2 Siku njema
  19. JamiiForums Tanzania Nchi za Kiislamu Zinazotoa Hukumu ya Kifo kwa Kuacha Uislamu

    Katika baadhi ya nchi za Kiislamu, sheria za kidini (Sharia) zinaweza kumhukumu mtu anayekataa au kuacha imani ya Uislamu kwa adhabu kali, ikiwa ni pamoja na hukumu ya kifo. Hii ni kutokana na tafsiri za sheria za Kiislamu kuhusu “kufuru” au “apostasy” (kuasi dini). Ingawa si nchi zote za...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania haipo kwenye mpango wa 2025 wa internet ya StarLink ya Elon Musk; zipo nchi mbili za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji. Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya kisasa kabisa zipo DRC na Uganda pekee utoka E.A. ambazo zinaungana na Kenya na Rwanda kupata huduma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…